Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Kivipi jamaan tena ujue matahira sio lazima wachanganyikiwe nawaza tu hapa jitu zima kumbe ni tahira yaan linajifanya listaarabu kumbe ni tahira
Kwa hiyo ndiyo umeniacha hivyo?

Ujue hayo maneno yako yamefanya nijitafakari saana.....

Ebu unitumie pm uniambie sio mimi niache kujistukia bwana..
 
Maisha yanaenda kasi sana...hv ni kweli wadada wamekuwa desperate kimapenzi kiasi hiki?mpaka kufikia hatua ya kuchukuliana na wengine walifikia hatua ya kutoleana siri zote za PM zao hapa sebuleni,Mtoto wa kike kweli kabisa unajua fulani na fulani wana mahusiano na wewe unaenda mbali zaidi kujiingiza humohumo kwa kidume huyohuyo...hv huwa mnatafakari kabla?Na wewe mwanaume mwenzangu hivi hujiulizi huyu binti kama anajua fika kwamba una mahusiano na flani halafu still anajileta kwako hv unapata tafsiri gani juu ya huyo binti????
 
Ila inategemea umeliwa vp jamani....mtu ukimla mwenzio ukamtapeli sio uungwana kuna watu hawana siri kbs anakuja na kumuadithia mtu mwingine wa humu.

Ukitaka kujua JF watu wana habari zako subiri uanzishiwe zogo.
yaani kweli kabisaa
siku ukiingia18 za watu wanataja mpk rangi ya chupi uliyovaa siku hiyoo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Maisha yanaenda kasi sana...hv ni kweli wadada wamekuwa desperate kimapenzi kiasi hiki?mpaka kufikia hatua ya kuchukuliana na wengine walifikia hatua ya kutoleana siri zote za PM zao hapa sebuleni,Mtoto wa kike kweli kabisa unajua fulani na fulani wana mahusiano na wewe unaenda mbali zaidi kujiingiza humohumo kwa kidume huyohuyo...hv huwa mnatafakari kabla?Na wewe mwanaume mwenzangu hivi hujiulizi huyu binti kama anajua fika kwamba una mahusiano na flani halafu still anajileta kwako hv unapata tafsiri gani juu ya huyo binti????
Wanawake huwa hatupendani mkuu ni wivu na roho mbaya anaona mwenzie anafaidi kumbe siri anaijua mwenyewe na babe wake
 
Ukiina hivyo ujue mtu kala cha mbavu,kaachwa na bado ana machungu kabisa.
sasa kukataliwa ndo uniharibie wenzio wasinile...?!!
wanaume mkitula kaeni tu kimyaa jamanii...mtafanya wenzenu tuwanyimee

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom