Hahahaa braza huo mtihani unanipa ngoja nifikirie kwanzasister mi utaniweka kundi gani??
Kwanza mvujisha taarifa na mvujishwaaji wa hizo taarifa wanatakiwa wajitathimini wote. Wengi wao huwa ni matahira wote.
Mtu mwenye busara atatongoza mwenye busara. Asiye na busara mara nyingi atatongoza matahira wenzake.
Wewe mwanamke/mwanamme unashindwa kumsoma mtu hata kwenye chatting?
Kasoro kwangu tu ndo huji tehhapo kwenye kusambaza umbea nimesikia baridi ghafla .kama nipo vile.maana nikiwa na umbea hakuna nyumba siingii pm huko
nimemrudisha wapi na lini ??Afadhali umemrudisha dada yangu wewe
ahaaaa ngoja nikuad kwenye nyumba zangu za umbea .usijali nikipata umbea najuja fastaKasoro kwangu tu ndo huji teh
Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.Asante kwa ujumbe. Tatizo siku hizi tumeendelea sana, mambo ya kuchunguzana na kusomana mwezi miezi waliweza wazee wetu, siku hizi ukikonyeza tu wameshakubali, baada ya siku chache kelele kibao, huyu mtu gani, sijui hafai kabisa........
Hahaa hapo shida ipo kweli..you should have pride at least lolNi kweli, you need 3D eye to ascertain spoilers.
Yaani kweli Khantwe umeshindwa kunijua jukwaani basi tumehamia Pm more than two weeks or on month unashindwa kunijua mimi ni mtu wa namna gani japo 40%... au nikishakuja pm tu fasta umenipa namba, umenipa location.... hahaha aigoo
Aiseee! Na n kweli chartng iwekweAigooo..chatting zisikudanganye ndugu, Kuna watu wengine hawafanani kabisa na chatting zao. Unaweza ona mtu anacomment kichungaji ukasema mtu si ndio huyu? Hatari sana sheikh
mimi tu ndio ulinipiga kibuti kisha sijakutangazaMbona haya mambo yako miaka yote. hayajaanza leo wala jana
We pambana na hali yako tu
Hahaa ni shida mkuu haya mambo ni kuwa makini tu kifupi ukiwa humu usijisahauAiseee! Na n kweli chartng iwekwe
Mbali na haya mambo maana
Unaemdania sie
Unakuta yule unaemuona
Ndyo anabusaka kumbe
Ndyi moto wa kifuuu zaid
Ya bashite
Triple A
Yamekukuta nn bibie?
Au umetumwa na Tundu Lissu?
Sent From Ikulu-Magogoni street
wengine vipofu kabisa yaani...wanashindwa kujua nyeupe na nyekunduBasi gen mimi nitakuwa na uwezo mkubwa wa kun'gamua tabia za mtu...
Kilichokusukuma uandike uzi nilikiona pia na mimi. Hivi watu wa namna ile inahitaji hadubini kuwachungulia kweli?
ila nyie undugu wenu wa mbali halafu ww ndio unauforce
Mkuu kati ya sehemu za kuwa makini ni JF, unaweza kutongozwa hata na mkeo.
Na unapotaka kumfuata mtu pm Kuepusha yote hayo lazima umsome kuanzia siku anapost JF hadi leo...na pm usifike tu ukaanza kujiachia achia kama upo sebuleni kwako
Umeona kumuongezea mdogo wangu mke wa pili haitoshi leo unataka kututenganisha kiundugu....ila nyie undugu wenu wa mbali halafu ww ndio unauforce