rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,713
Kuna watu wanachuki na watu ambao hawana mahusiano yao hawawajui zaidi ya picha
Wanadamu watu wa ajabu sana,
Wengine watu wazima wababa wamama ila wanafiki waliotukuka
Kutongozana jambo la kawaida sana
Kuwa na mahusiano jambo la kawaida sana
Kugegedana jambo la kawaida sana
Ila kwakuwa watu wamejawa na Chuki basi itakua shughuli pevu as if as wao ni mabikra hawajawahi hata