Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini si umeuongea me nimeamua tu kuuendeleza ujue humu kila mtu na utahira wake jf shikamooo
Mamdogo nakudai kwa kuniita tahira.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] yaani kweli kabisaa
siku ukiingia18 za watu wanataja mpk rangi ya chupi uliyovaa siku hiyoo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Kama namuona rubii atakavyonilipizia kisasi siku hiyo....[emoji23] [emoji23]
 
Hawakukosea wahenga walivyosema wanawake hatupendani jamaan geni umeniogopesha aisee umakini unahitajika kuonyeshana picha vipiiii khaa jf jamaan
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi zangu sambazeni whole jf i dont care

kwanza nilivyo mkyuti sasaa....[emoji12] [emoji12] [emoji12] mtajua wenyeweee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
kuna mambo ya kawaida sana kwenye jamii kama kulalana but humu ukimlala mwanamke akikupiga kibuti unamtangaza kwa mabaya

mbona wengine humu tumepigwa vibuti tumevumilia tu
Teh teh ..Pole sana mzee
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi zangu sambazeni whole jf i dont care

kwanza nilivyo mkyuti sasaa....[emoji12] [emoji12] [emoji12] mtajua wenyeweee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na me wasambiziane tu kwakweli sijali lolote na wakikaa waonyeshane tu huyu ndio shunie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bamdogo humu kila mtu ana utahira wake ila wengine vimezidi jaman tena unakuta ni janaume na heshima zake kumbe ni tahira

Mimi mnanikeraga tu hao wanaume hamuwataji tukawajua hao matahira....

Ngoja nitafute wa kutongoza nije nimwanike jukwaa la wakubwa niwe complete Tahira kabisa... wapange shoga zako ikiwezekana muunge bundle la GB10 kabisa maana nitaupload picha hadi za watoto wa ndugu zake
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sasa kukataliwa ndo uniharibie wenzio wasinile...?!!
wanaume mkitula kaeni tu kimyaa jamanii...mtafanya wenzenu tuwanyimee

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Eti wenyewe kutaja unapoishi na mwonekano yako na kazi yako ndio wanaonaga wamekuumbua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes watu wajua tu watu wa JF ndio wa mtaani na akili zao ndio hizo hizo tena watu wala hawahitaji kumfaham huyo mtu na wala humwaribii ila unaonekana chizi fresh mmoja na kuwapa watu ubuyu
 
Wanawake huwa hatupendani mkuu ni wivu na roho mbaya anaona mwenzie anafaidi kumbe siri anaijua mwenyewe na babe wake
Kweli akili zenu wanawake mnazijua wenyewe...ID fake...maisha fake.....story fake still bado unamwonea wivu na roho mbaya.???hivi utandawazi ndo umefanya siku hizi watoto wa kike hata haiba hamna?mtoto wa kike ana ujasiri wa kuzungumza namna alivyo gegedwa kwenye public Kweliiiii???..Labda mi bado naishi na fikra za kipindi cha Enzi za Mwalim ndo mana nashangaa haya ninayo yaonaga humu
 
Mimi mnanikeraga tu hao wanaume hamuwataji tukawajua hao matahira....

Ngoja nitafute wa kutongoza nije nimwanike jukwaa la wakubwa niwe complete Tahira kabisa... wapange shoga zako ikiwezekana muunge bundle la GB10 kabisa maana nitaupload picha hadi za watoto wa ndugu zake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] tukikumata tunakupima mkojo tuuu
wweeeeeehhh

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Mimi mnanikeraga tu hao wanaume hamuwataji tukawajua hao matahira....

Ngoja nitafute wa kutongoza nije nimwanike jukwaa la wakubwa niwe complete Tahira kabisa... wapange shoga zako ikiwezekana muunge bundle la GB10 kabisa maana nitaupload picha hadi za watoto wa ndugu zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bamdogo povu veep
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom