Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Mimi naona kikubwa ni kuheshimiana.
Sidhani kama mtu unaweza ukaonana nae mkawa na mahusiano mkaheshimiana halafu baadae mje mtangazane.
Tatizo lazima mmoja aanze kumchokoza mwenzake... Na kumwonyeshea dharau za wazi..
Sasa geniveros unadhani mtu atamalizaje hasira yake bila kuandika madhaifu yako na wewe?
Mimi Mtu nikishakuwa na mawasiliano naye hata nikikuta anatukanwa mahali napita kama sioni.
Kwa sababu nikichangia lazima atachukia na akichukia kama ana udhaifu wangu atauleta tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili
 
Mtahadarishe tu hakuna
Sehem salama maana
Kokote ukililoroga tu lazma
Ulinywe

[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mie kwa kweli siku yangu ikifikaaa[emoji57] [emoji86] [emoji86] [emoji85] [emoji85] [emoji85] sijui yaani ntavaa pensi ganii

na watu wanasubiriaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
"""""hata kama nilileta uongo """"

Are you serious niendelee kuku qoute kumbe unajua ni uongo?
Mwanaume wa wapi wa kumezea uongo? Labda kwenu kama wanamezea....

Nilidhani kuna la zaidi labda kwenye groups mmeambizana kumbe ni ishu ya Rai...

uwe na wakati mwema aseeh....
Unaona unavyojidhihirisha ulivyo mbea? Ha ha ha ile siku hawa kufanya makosa kukuchamba. Maana ulikuwa haueleweki unatetea au una shutumu.
Acha kuwa kigeugeu , wewe ni mwanaume kuwa na msimamo.
Si ulikimbia jf ? Ha ha ha kilichokurudisha..
Hii ni chungu meza hivyo hivyo dawa chungu ndiyo huwa inatibu.
Good day

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi zangu sambazeni whole jf i dont care

kwanza nilivyo mkyuti sasaa....[emoji12] [emoji12] [emoji12] mtajua wenyeweee[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Naomba kuja Piiiiemu nikuone Mdada mkyuti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom