Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

K ladha shoga angu acha wachague rangi.
Wanaume wa jf bhana wanapenda mteremko
sio mteremko wanapenda misifa ya kijingaa..tu

huyo anaesema nyeusi ukute yeyee...huo mpweke(dudu)wake kama nuktaa...ila watu wanamhifadhi tuuu

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kwa sababu wewe mnafiki,hutongozi wa mtaani kwako ili usionekane malaya
Haya ndio yanapingwa na mtoa mada.Kama unawalala wake za watu humu na kuna haja gani kulitangaza?huoni unakuwa mshamba fulani amaizing?
Alafu kwani wewe unapotoka na mke wa mtu huoni kuwa unakuwa 'cheap' kama yeye?Kwa sababu naamini una mahusiano yako au mke kabisa na wala hujayaheshimu vilevile.
Kwa hiyo bora uchawi kuliko unafiki.
My dear nimejitangaza kwa nia njema tu ili kama mtu anajijua ni mke wa mtu hapa JF aanze kunikimbia mapema nikienda kwenye pm yake ili abaki salama!
 
Back
Top Bottom