Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Naona thread ya wahenga hii...

Ila mmenikumbusha taahira alintext pm akanambia.." Dada nimependa lips zako,upo wapi nije nizinyonye"

Sasa taahira kama hilo unalijibu ili iweje...kuna mataahira wengi sana PM..

I agree kwamba unaeza msoma mtu thru text na unavochat nae PM..

Cc😀aby
PM hizo mimi nazipotezea tu ujinga mtupu....


sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom