Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Kujifunza namna ya kuishi na watu .. dawa low profile akufukunyue asikupate vilivyo..

Usipoteze muda ukishaona rangi nyekundu.

Usipende kujadili wenzio kama wewe hupendi kujadiliwa ..

Acha kutaka kujua wanasema nini juu yako hayakuhusu.

Mtu akileta person issue kwenye jukwaa mfuate pm mweleze hutaki shobo za kisengerema...

Akijadili person issue hakuna haja ya kujibu ni kumuignore tu akiendelea mtie kwenye ignore list usione na wala asikuone..

Maisha mafupi sana dili na maisha yako hayamuhusu mtu ishi utakavyo na si kama watavyo.. huwezi ridhisha dunia but play your part .
Nakupendaga tu vile uko real.

Hongera umeongea ukweli wa vile mambo yanapaswa kuwa.

Nimekupenda buree!
 
Ha ha ha
Unanijulia hali kila siku umekuwa daktari wangu?
Jamani nikikupa namba tuwe marafiki unaanza kunitongoza!Nikikataa unakasirika,nikiomba hela unanitangaza
Haaaaa unajua tatzo kuna watu uwa wanajua kila mwanamke ni kumtongoza tu.

Muda mwingine urafiki unatosha sana
 
Naona thread ya wahenga hii...

Ila mmenikumbusha taahira alintext pm akanambia.." Dada nimependa lips zako,upo wapi nije nizinyonye"

Sasa taahira kama hilo unalijibu ili iweje...kuna mataahira wengi sana PM..

I agree kwamba unaeza msoma mtu thru text na unavochat nae PM..

Cc😀aby

Azinyonye kwani zimekuwa chuchu?
 



Nmeshindwa kuvumilia wacha
Tu nicheke aiseeee!!!
Nlishasema jf babu kubwa
Kama tu magruo ya wasap

Ila kuna member wanaenda
Kukimbia id zao jf iko moto
Co kawaida

Mkishindwa kuelewana
Lazma mboga na ugali
Zimwangwe pahali moja

[Color= yellow]Triple A[/color]
unaniruhusu hii comment yako nimCC fulani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi niulize tu,mtu unaweza kuwa mweusi afu K ikawa nyeupe??
ALAFU NYEUSI NAYO NI RANGI MWEEE!
Ndio hapo rafiki. Mana kuihalisia ni jambo la kawaida. Inashangaza sana watu wanapoligeuza kuwa ni ajabu.

Labda hawajajua kama nyeusi nayo ni rangi. Teh teh teh.
 
Mbona wake za watu kama wewe wenye wapenzi huku hujawasema ili waache hiyo tabia mbaya ya kuwa na michepuko huku JF?.......je ni haki wake za watu kama akina fulani kuwa na wapenzi wengine huku JF na kuliwa free?
Hapana...sio vizuri kabisa.
Jf ni kama mtaani kwako tu.Hata mtaani au kazini watu kuchepuka sio vizuri na haitowah kuwa vizuri ila ndio inatokea.
 
Back
Top Bottom