Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Naona thread ya wahenga hii...

Ila mmenikumbusha taahira alintext pm akanambia.." Dada nimependa lips zako,upo wapi nije nizinyonye"

Sasa taahira kama hilo unalijibu ili iweje...kuna mataahira wengi sana PM..

I agree kwamba unaeza msoma mtu thru text na unavochat nae PM..

Cc😀aby
Dawa yake kumwomba hela au Iphone 7 akome na umalaya wake.
 
Hahaaaa. Wanaona wakirudi ndio poa ili watu wajue kama wamekulana.

Ila my dada hii ni hatari sana.
yaani kudhalillishana kungine huku
watu wengine hovyooo

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom