Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Kujifunza namna ya kuishi na watu .. dawa low profile akufukunyue asikupate vilivyo..

Usipoteze muda ukishaona rangi nyekundu.

Usipende kujadili wenzio kama wewe hupendi kujadiliwa ..

Acha kutaka kujua wanasema nini juu yako hayakuhusu.

Mtu akileta person issue kwenye jukwaa mfuate pm mweleze hutaki shobo za kisengerema...

Akijadili person issue hakuna haja ya kujibu ni kumuignore tu akiendelea mtie kwenye ignore list usione na wala asikuone..

Maisha mafupi sana dili na maisha yako hayamuhusu mtu ishi utakavyo na si kama watavyo.. huwezi ridhisha dunia but play your part .
 
Sawa Antonio nitawambia kwani na nyie mkipewa papuchi ndio mtangaze jamaan kama umeachwa au mmeachana piga kimya tu maisha mengine yaendelee
Mi ata nikipewa uwa naunyuti tu shunie inabaki kuwa siri ya kojoleo

Tatzo mnawapa wehu ndo mana mnatangazwa wakati tunaojitambua mnatunyima
 
Naona thread ya wahenga hii...

Ila mmenikumbusha taahira alintext pm akanambia.." Dada nimependa lips zako,upo wapi nije nizinyonye"

Sasa taahira kama hilo unalijibu ili iweje...kuna mataahira wengi sana PM..

I agree kwamba unaeza msoma mtu thru text na unavochat nae PM..

Cc😀aby
 
Kujifunza namna ya kuishi na watu .. dawa low profile akufukunyue asikupate vilivyo..

Usipoteze muda ukishaona rangi nyekundu.

Usipende kujadili wenzio kama wewe hupendi kujadiliwa ..

Acha kutaka kujua wanasema nini juu yako hayakuhusu.

Mtu akileta person issue kwenye jukwaa mfuate pm mweleze hutaki shobo za kisengerema...

Akijadili person issue hakuna haja ya kujibu ni kumuignore tu akiendelea mtie kwenye ignore list usione na wala asikuone..

Maisha mafupi sana dili na maisha yako hayamuhusu mtu ishi utakavyo na si kama watavyo.. huwezi ridhisha dunia but play your part .
wee dada nimekupenda!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Back
Top Bottom