Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Ni ni ngumu sana kumlizisha mwanamke but we are trying... Asili ya mwanaume sio kukata tamaa

yaan hyo sentensi mie had nakufa sikubaliani nayo !mm ni mwanamke lakin hakuna mtu mwepesi kuridhika km mwanamke ! amini nikuambialo mwanamke mwenye hulka ya 'ukike'(achana na wale wanaojiuza) huwa ni mtu wa kuridhika !chonde chonde usimfanye akaamua kugive up ndo mnarudi huku kuwa haturidhiki !
mwanamke akichoka timbiwli zenu hata hyo hamu ya dudu huwa haipo !anaweza kaa ht mwaka asitaman kududuliwa ! jiangalien kwanza nyendo zenu ndo mje mseme haya !
ni sehem ndogo sana kumnasa mwanamke !uzuri kuna baadhi ya wanaume humu huwa wanaeleza huwa naishia kubatabasamu tu ! ukiona mwanamke analilia mambo makubwa muepe mapema !wanawake tunapenda vitu vidogo vidogo mno jaman ! nashindwa ht kuorodhesha !
tatizo linakuja mnajisahau mnajifanya mpo busy huko nje na wanaume wenzenu ukiuliza wanakuambia oh tunatafuta deals !sawa tafuta deal laKini kumbuka una mke uwah kurud,mletee mkeo vizawad vidogo dogo ht pipi kifua !sasa ww toka ajifungue had amekuza mtoto 6yrs hujawah mletea hata chupi,hereni,pedi,mtandio.,nguo!

Akiumwa mkumbushe kunywa dawa yaan ww jitoe ufaham mpigie simu,usiku ukiamka mfunike shuka kama kajifunua , nedna naye kanisani ,msaidie kufua ,kupika ..... nk nk hapo mwanamke habanduki !

ukiona mwanamume kila siku analia na huu msemo kuwa wanawake hawaridhiki huyo ni LOOSER ! mkafie FRONT
 
hahahaha ! huenda unamboa umridhishi ! jiulize kwanza !lol
mmh mwanzo hakuwa hivi.tulikuwa tunafurahia sana.na kila tukifanya nina uhakika anafika maana huwa mke wangu hanifichi asipofika anasema.tatizo amekuwa hana hamu ya kufanya mara kwa mara.mwanzo tulikuwa tunafanya kwa wiki mara 2 mpaka 3 now tunakaa wiki.
 
Na upuuzi. Mtoto ndo asababishe baba kusahauliwa sasa
anaona watoto ni bora kuliko mimi.wakati mimi ndio nimempa hao watoto. na ajabu zaidi ni pale ninapoamua kumchunia kitandani.mnuno na vijembe havipungui. wanawake mungu anawaona
 
Yaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] anamkanyaga
 
mmh mwanzo hakuwa hivi.tulikuwa tunafurahia sana.na kila tukifanya nina uhakika anafika maana huwa mke wangu hanifichi asipofika anasema.tatizo amekuwa hana hamu ya kufanya mara kwa mara.mwanzo tulikuwa tunafanya kwa wiki mara 2 mpaka 3 now tunakaa wiki.

yaan ukinielewa vzr utajua kuna shida !either umemwachia mweyew kulea mtoto !watoto wanasumbua sana inafika usk huna ham ya dudu kbs !jitahd kukaa naye sehem faragha muulze kwann hatak kusex !anzeni mbali na hizo stry !km ni mtoto atasema mtotot anamchosha !msaidie ukirud hom mchukue mtoto ukazunguke naye kitaa walau masaa 3 rudi mkabidhi !jaman malezi yanachosha sana sana !

pia niliwah soma sehem mwanamke anayenyoshesha huwa hana sana ya kusex !hyo ni kweli !sijui wanasayansi wanasema mtoto anaponyonya ni km kufika orgasm sijui mara ngapi !

la mwisho huenda shetan kampitia !
 
labda kwa sababu ananyonyesha.sina uhakika lakini
 
yaan hyo sentensi mie had nakufa sikubaliani nayo !mm ni mwanamke lakin hakuna mtu mwepesi kuridhika km mwanamke ! amini nikuambialo mwanamke mwenye hulka ya 'ukike'(achana na wale wanaojiuza) huwa ni mtu wa kuridhika !chonde chonde usimfanye akaamua kugive up ndo mnarudi huku kuwa haturidhiki !
mwanamke akichoka timbiwli zenu hata hyo hamu ya dudu huwa haipo !anaweza kaa ht mwaka asitaman kududuliwa ! jiangalien kwanza nyendo zenu ndo mje mseme haya !
ni sehem ndogo sana kumnasa mwanamke !uzuri kuna baadhi ya wanaume humu huwa wanaeleza huwa naishia kubatabasamu tu ! ukiona mwanamke analilia mambo makubwa muepe mapema !wanawake tunapenda vitu vidogo vidogo mno jaman ! nashindwa ht kuorodhesha !
tatizo linakuja mnajisahau mnajifanya mpo busy huko nje na wanaume wenzenu ukiuliza wanakuambia oh tunatafuta deals !sawa tafuta deal laKini kumbuka una mke uwah kurud,mletee mkeo vizawad vidogo dogo ht pipi kifua !sasa ww toka ajifungue had amekuza mtoto 6yrs hujawah mletea hata chupi,hereni,pedi,mtandio.,nguo!

Akiumwa mkumbushe kunywa dawa yaan ww jitoe ufaham mpigie simu,usiku ukiamka mfunike shuka kama kajifunua , nedna naye kanisani ,msaidie kufua ,kupika ..... nk nk hapo mwanamke habanduki !

ukiona mwanamume kila siku analia na huu msemo kuwa wanawake hawaridhiki huyo ni LOOSER ! mkafie FRONT
Usiwasemee wenzako.
 
Hii kitu na mimi inanikera sana, ujue raha sana upo na mtoto siku analikurupua mechi inaanza yaani inakuwaga raha sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom