Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Usingizi hauna dudu au dude.
Cha muhimu kama usingizi umekata mwamshe mwenzako
Watu wanachelewa airport reporting time kwa ajili ya usingizi sembuse dyudyu
By the way raha na starehe ya usingizi huwezi linganisha na pyupyu so zote statehe na ukiona mtu haamki kachagua starehe anayoipenda zaidi
Kama wako umekata ndo umuamshe mwenzako? Huo ni ubinafsi kilo ngapi. Wako ukikata subiri na yeye ukate. Vinginevyo mgonganishe kabla hamjalala wote, ili mkilala mko bwaksi.
 
Hahahaaaa mambo hayo.Mkuu me nimewahi amshwa mara 1 daa kale Katoto balaa
 
yaan hyo sentensi mie had nakufa sikubaliani nayo !mm ni mwanamke lakin hakuna mtu mwepesi kuridhika km mwanamke ! amini nikuambialo mwanamke mwenye hulka ya 'ukike'(achana na wale wanaojiuza) huwa ni mtu wa kuridhika !chonde chonde usimfanye akaamua kugive up ndo mnarudi huku kuwa haturidhiki !
mwanamke akichoka timbiwli zenu hata hyo hamu ya dudu huwa haipo !anaweza kaa ht mwaka asitaman kududuliwa ! jiangalien kwanza nyendo zenu ndo mje mseme haya !
ni sehem ndogo sana kumnasa mwanamke !uzuri kuna baadhi ya wanaume humu huwa wanaeleza huwa naishia kubatabasamu tu ! ukiona mwanamke analilia mambo makubwa muepe mapema !wanawake tunapenda vitu vidogo vidogo mno jaman ! nashindwa ht kuorodhesha !
tatizo linakuja mnajisahau mnajifanya mpo busy huko nje na wanaume wenzenu ukiuliza wanakuambia oh tunatafuta deals !sawa tafuta deal laKini kumbuka una mke uwah kurud,mletee mkeo vizawad vidogo dogo ht pipi kifua !sasa ww toka ajifungue had amekuza mtoto 6yrs hujawah mletea hata chupi,hereni,pedi,mtandio.,nguo!

Akiumwa mkumbushe kunywa dawa yaan ww jitoe ufaham mpigie simu,usiku ukiamka mfunike shuka kama kajifunua , nedna naye kanisani ,msaidie kufua ,kupika ..... nk nk hapo mwanamke habanduki !

ukiona mwanamume kila siku analia na huu msemo kuwa wanawake hawaridhiki huyo ni LOOSER ! mkafie FRONT
Tatizoa hivyo ulivyovitaja hapo hata tukiwapa aslimia tisini bado mnaleta dharau, hatujui tuwapendaje wanawake kuna kazi kubwa sana kumsoma nini hasa mwanamke ndiyo hitaji lake.... Sema kwa nafasi yako usijumuishe na wakaina fatuma kila mwanamke na hitaji lake
 
hvi toxic9 unashidnwa nn kuwah kurud nyumban na kutaka sex mapema walau saa 4 usiku jaman? yaan ww uje saa 6 usingiz umechanganyia yaan km ni safar nipo chalinze we uanze kumuamsha mwenzako
haya tusema umewah kuja unashidwa nn kumuomba mkeo mapema tu ? yaan nimelala weee unaniskilizia tu navyokoroma uanze kunipapasa !hv unadhan sie hisia zetu zipo juu km nyie? hapana kwakweli chepukeni tu !

bas wknd ubaki hom mnjunjane vya uhakika kutwa kukaa bar na kubet !kwendeni zenu!
Kwanza kwann nikuombe?! Kwann wewe usijiongeze ukahakikisha unanipa saa nne ili nisikusumbue baadae?! Kwani nyege nnazo mie peke yangu?!
 
Kwanza kwann nikuombe?! Kwann wewe usijiongeze ukahakikisha unanipa saa nne ili nisikusumbue baadae?! Kwani nyege nnazo mie peke yangu?!

hapo nasemea km mie sijisikii wewe unayejiskia ndo uwahi !
 
Tatizoa hivyo ulivyovitaja hapo hata tukiwapa aslimia tisini bado mnaleta dharau, hatujui tuwapendaje wanawake kuna kazi kubwa sana kumsoma nini hasa mwanamke ndiyo hitaji lake.... Sema kwa nafasi yako usijumuishe na wakaina fatuma kila mwanamke na hitaji lake

unahakika umewah kumpa haya mkeo walau 80%akakudharau?
 
Wengine hawapendi kuamshwa.. akishapiga gemu safi kabla hajalala, alafu huo usingizi wake uje umuamshe unatafuta ngumi. So mpaka alfajiri anaamka na morning glory kuanza vema siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom