Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Binafsi siwezi kumchoma mwanaume na maji ya moto, Kama kuchepuka achepuke kwa raha zake atakavyojisikia yeye, Usingizi ni kitu cha Muhimu sana kwa binadamu.

Ushawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa kukosa usingizi ?
Jee hujawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa ajili ya 'Pambano'?
Halafu unajaribu kufananisha 'pambano' na Vitu vya kijinga!
 
Ushawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa kukosa usingizi ?
Jee hujawahi kusikia Mtu kajinyonga kwa ajili ya 'Pambano'?
Halafu unajaribu kufananisha 'pambano' na Vitu vya kijinga!
 
Usingizi hauna dudu au dude.
Cha muhimu kama usingizi umekata mwamshe mwenzako
Watu wanachelewa airport reporting time kwa ajili ya usingizi sembuse dyudyu
By the way raha na starehe ya usingizi huwezi linganisha na pyupyu so zote statehe na ukiona mtu haamki kachagua starehe anayoipenda zaidi
 
Yaani mpaka tuamke sisi mmekuwa mnalala wengine wabinafsi yaani mkilala tusipowaamsha ndio basi tena.

Hii inaudhi sana mbona kama hamtaki tukiwaamsha mnapiga kazi kama mlikuwa macho vile kumbe mnakuwa mnatuchora tuu.

Tuamsheni bwana acheni dharau kwani raha si yetu sote.
Yaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nn
 
Usingizi hauna dudu au dude.
Cha muhimu kama usingizi umekata mwamshe mwenzako
Watu wanachelewa airport reporting time kwa ajili ya usingizi sembuse dyudyu
By the way raha na starehe ya usingizi huwezi linganisha na pyupyu so zote statehe na ukiona mtu haamki kachagua starehe anayoipenda zaidi
hahahaha
 
Wakati mwingine ili kuweka rekodi sawa, bora usubiri user department iamshe maombi... vinginevyo utaitwa mbakaji na mengine meeeengi
Kuna changamoto kubwa sana kama user department itakua na maumbile ya kuchelewa kushika moto
Uamke usingizini ukiwa hoii na usingizi then uanze kuchochea moto kwa nusu saa inahitaji uvumilivu otherwise itakubidi uwashe moto kwa kutumia mafuta ya taa ili ule mapema urudi kwenye starehe pendwa ya usingizi la sivyo
::::ananibaaaaaaaaakkkk:::
 
Ungekuwa busy kutafuta pesa usingekuwa na muda wa kuingia MMU mida hii
Kumbuka cjaingia kwenye jukwaa la MMU nimeingia kwenye New posts ndo nikakutana na hii kitu
 
Yaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nn
Hapana nakuhakikishi ni wanawake wengi walio kwenye ndoa wako hivyo
Hamu ya tendo la ndo ni tatizo kwa wengi sababu ziko nyingi kubwa ikiwa misongo
Unaweza dhani ana mtu na wanaume wengi hukimbilia hii sababu na kukuta unaongeza tatizo.
Solution ni kujikita sana kutafuta sababu na wewe(mume) ndo sehemu kubwa ya suluhu au chanzo
 
Kusoma hujui hata picha huoni? Sio lazima utingishwe tingishwe ndo ujue mtu anataka. Kuna namna mwamamke atakugusa gusa usingizini sass wewe ndo inabidi uamke na kujiongeza gemuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom