Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Kichwa cha habari kingekufanya usifungue.Kumbuka cjaingia kwenye jukwaa la MMU nimeingia kwenye New posts ndo nikakutana na hii kitu
Kichwa cha habari kingekufanya usifungue.Kumbuka cjaingia kwenye jukwaa la MMU nimeingia kwenye New posts ndo nikakutana na hii kitu
Mkuu hiyo kitu ni haki yako kama anakubania anza uchunguzi isije kuwa kuna mtu anakusaidiaYaani bora hata huyo wako anaamka mnaanza game, me wa kwangu haamki ndiyo kwanza atakupiga hadi mateke, kuhusu kuomba game hata ile wakati wa kawaida ndiyo hawezi kabisa yaani nisipoomba mm na kuforce force hamna kitu ntapata kabisa. Huwa sielewi huyu mwanamke kuna mtu anamkanyaga huko nje au ni nn
Hongera!Mimi namuamsha ila kijanja...naweka mkono kwenye lolipop nashika taratiiiibu...anaamka tunaanza mazoezi...
Asante mkuu...mapenzi ni ubunifu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] techinique nzuri hyo
Kabisa mkuu alafu hakuna kitu kizuri kama mwanamke akiiomba mwenyeweAsante mkuu...mapenzi ni ubunifu...
Nakukubali sana fundi mkuuSipendi kuamshwa usiku wa manane, tufanye kabla ya kulala au alfajiri kabla hatujaamka
kabla hamjaamka mtafanya ndotoni?Sipendi kuamshwa usiku wa manane, tufanye kabla ya kulala au alfajiri kabla hatujaamka
Usingizi muhimu sanaNakukubali sana fundi mkuu
Tutafanyaje wakati hatujaamka?kabla hamjaamka mtafanya ndotoni?
apo ukiamka mwili mwepesi ubongo unakua activeMimi namuamsha ila kijanja...naweka mkono kwenye lolipop nashika taratiiiibu...anaamka tunaanza mazoezi...
Kanichwekesha alivyooandika kwa hisia KaliAnti mbona umefurahai
Dongo limepiga pale peneyewe nn?
hahaha ndo wewe juu umesema mnafanya kabla hamjaamka .angalia tenaTutafanyaje wakati hatujaamka?
Ila tukiwa na mzuka kutiana nako kutamu sanaUsingizi muhimu sana
Umenielewa vibaya. Nimesema tufanye kabla hatujalala na asubuhi ule muda tunajiandaa kuamka. Usiku sana ni kero hata stimu hakuna.hahaha ndo wewe juu umesema mnafanya kabla hamjaamka .angalia tena
Mi nikishalala mimelala, fanya juhudi umalize shida zako kabla sijasinzia.Ila tukiwa na mzuka kutiana nako kutamu sana
Siku huwa hazifananiMi nikishalala mimelala, fanya juhudi umalize shida zako kabla sijasinzia.
Ati kumbe nakusumbuaga?.Ha ha ha ha ha
Dah mna raha .tunaodate na tuto twa geti Kali tunaumia sna..kuonana kwa kukavizia tu tena ni mchana unakula goli chache kanarudi kwako hahaha.Umenielewa vibaya. Nimesema tufanye kabla hatujalala na asubuhi ule muda tunajiandaa kuamka. Usiku sana ni kero hata stimu hakuna.