Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

ahhah zipo za manati za kulazimisha saaaaana !nataman nikukabidhi MTAENDANA!au hukumpenda siku ile !uzuri mpole!
Tatizo langu ni moja...huwa napenda sana wanaume wapole lkn linapokuja suala la kupata mtu permanent naishia kupata wakorofiiii balaa.
Teh...pambana na mzigo wako. Huyo ni chaguo lakoooo...chaguo lakoo [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji443] [emoji442] [emoji442] [emoji442]
 
ahahha kwanza ht ww mwenyew mkorofi ! mie nadhan ninamvumilia coz ni mpole !hakuna kingine!nami napenda mwanamume mpole!
 
huenda shoga huna majukumu mchana ! mie saa 3 nalala !sasa ww saa7 unaniamsha hv kweli wewe huna dalili ya wanga? hapana kwakweli! hv na uchovu wa siku nzima hizo genye zinatokeaga wapi wenzetu!
Umekuja kwenye ndoa ili ulitumikie jukumu lako ipasavyo...tatizo mabinti wengi wa kileo mnapenda ndoa kama fashion,yani ukiolewa utatangaza kwa kila mtu ila dhamira na mlengo wa kuolewa hujui.... Acha wanaume tuchepuke maana bado wanawake mlio ndani ya ndoa hamjajua thamani ya ndoa...
 
hhaha namtia stress gan sasa km mtu anakuambia mie toka primary navuta !bas wakat huo alikua anatiwa stress na wazaz wake ! mie na masigara kwakwel siwez !bora pombe naweza vumilia
Mpe penzi atasahau sigara, siajabu kuna vitu anavikosa, unajua penzi linabadili hulka ya mtu, wanawake mna silaha kubwa sana sema hamjui how to trigger
 
Umekuja kwenye ndoa ili ulitumikie jukumu lako ipasavyo...tatizo mabinti wengi wa kileo mnapenda ndoa kama fashion,yani ukiolewa utatangaza kwa kila mtu ila dhamira na mlengo wa kuolewa hujui.... Acha wanaume tuchepuke maana bado wanawake mlio ndani ya ndoa hamjajua thamani ya ndoa...

hvi toxic9 unashidnwa nn kuwah kurud nyumban na kutaka sex mapema walau saa 4 usiku jaman? yaan ww uje saa 6 usingiz umechanganyia yaan km ni safar nipo chalinze we uanze kumuamsha mwenzako
haya tusema umewah kuja unashidwa nn kumuomba mkeo mapema tu ? yaan nimelala weee unaniskilizia tu navyokoroma uanze kunipapasa !hv unadhan sie hisia zetu zipo juu km nyie? hapana kwakweli chepukeni tu !

bas wknd ubaki hom mnjunjane vya uhakika kutwa kukaa bar na kubet !kwendeni zenu!
 
cb595983b6cd9c822d63a4a099b043c4.jpg

Nilipoona hivyo nikatafuta mchepuko
 
hvi toxic9 unashidnwa nn kuwah kurud nyumban na kutaka sex mapema walau saa 4 usiku jaman? yaan ww uje saa 6 usingiz umechanganyia yaan km ni safar nipo chalinze we uanze kumuamsha mwenzako
haya tusema umewah kuja unashidwa nn kumuomba mkeo mapema tu ? yaan nimelala weee unaniskilizia tu navyokoroma uanze kunipapasa !hv unadhan sie hisia zetu zipo juu km nyie? hapana kwakweli chepukeni tu !

bas wknd ubaki hom mnjunjane vya uhakika kutwa kukaa bar na kubet !kwendeni zenu!
Raha kugegeda muda una hamu nayo, siyo kulazimishana bila hamu..!
 
Mpe penzi atasahau sigara, siajabu kuna vitu anavikosa, unajua penzi linabadili hulka ya mtu, wanawake mna silaha kubwa sana sema hamjui how to trigger

sasa kwann hutaka kupiga mswak usku km unajua umevuta? huhis km unamkera mwenzako!au kwajili umenitolea mahari unafanya upendavyo kisa mie mke!
wengine sigara zimetuletea mapumu ! najua sana wanawake ni silaha tosha lakini mtu anakuambia nisipovuta siwez fanya kitu chcht na kweli anakuwaga km zezeta nifanyeje mm !jaman ifike pahala mtuonee huruma !
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]oyoooo..
wako anasmoke[emoji15] ? Kerroo
 
Mbiti mimi sio mkorofi hata kidogo, ukorofi wangu uko hapa tu jf. Sina ukorofi hata kidogo ndo maana naonewa sometimes.

ahhaahah uwi bas nisamehe ! mie ni mkorofi ila nikipata right men huwa nakuwa mpole sana mrad ajali hisia zangu !mie men mkorofi weka mbali na mm sikawii kumlaza ndan aisee !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom