Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwa mpango huu tutafika kweli?!

hahaha wwe mridhshe mkeo uone km hamtaenjoy !tatizo lenu mk wa binafsi sana sana !hamjali wake zenu hamjui wanavaa nn mpo mpo tu km maguruwe leo hii niwe na hamu na ww kwa kipi haswa!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
hahaha wwe mridhshe mkeo uone km hamtaenjoy !tatizo lenu mk wa binafsi sana sana !hamjali wake zenu hamjui wanavaa nn mpo mpo tu km maguruwe leo hii niwe na hamu na ww kwa kipi haswa!
Haahhaha hili ndo kimbilio lenu.. Yaani hata kama nikikupa kila kitu.. Ukifika kwa shoga zako wewe ndo kimbele mbele kunisema vibaya..!
 
Sasa ukiomba unaambiwa unaleta usumbufu nisipoomba unasema nitachina. Kuchepuka sipendi sasa Kilichobaki ni kubaka tu..!
Kama unaanza kuomba papuchi kwa mwanamke pole, mbona kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe kwamba leo nataka mechi...

Mfano, wa kwangu mimi ananianza tangu yupo kazini. Utaona anatuma vimeseji vya uchokozi na simu kila wakati basi hapo najua leo mechi najiandaa mapema. Na akija tutaanzia sebuleni tulipopokeana, tukimaliza tunaenda kuoga, huko nako tunaendelea. Baada ya hapo tunaenda kula, tunapiga story na kucheki movie, usipoangalia tunapiga tena [emoji85] kisha tunaenda zetu kulala. Huo usingizi wake hapo sidhani kama kuna nguvu ya kuamka ucku wa manane, mpaka alfajiri tena.
 
Haahhaha hili ndo kimbilio lenu.. Yaani hata kama nikikupa kila kitu.. Ukifika kwa shoga zako wewe ndo kimbele mbele kunisema vibaya..!

hahaa hyo anakuwa na yake tu !niamini
 
Kama unaanza kuomba papuchi kwa mwanamke pole, mbona kuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe kwamba leo nataka mechi...

Mfano, wa kwangu mimi ananianza tangu yupo kazini. Utaona anatuma vimeseji vya uchokozi na simu kila wakati basi hapo najua leo mechi najiandaa mapema. Na akija tutaanzia sebuleni tulipopokeana, tukimaliza tunaenda kuoga, huko nako tunaendelea. Baada ya hapo tunaenda kula, tunapiga story na kucheki movie, usipoangalia tunapiga tena [emoji85] kisha tunaenda zetu kulala. Huo usingizi wake hapo sidhani kama kuna nguvu ya kuamka ucku wa manane, mpaka alfajiri tena.

huyo ndo mwanamume bwana ! mwingine ht sms ukiona imeandikwa toka kwa hubby ujue umbea wa mjini anakupa !au anakupa habari ya msiba ! hongera!mshikilie
 
Aisee..! Mfundishe mwenzio MBITIYAZA maana naona yeye yupo nyuma kweli kwenye mambo hayo..!
 
ahahha huon nimempa kudos !yeye mumewe huwa anamuandaa kisaikolojia toka akiwa ofisini huko ! wengine sasa ni amerud na misigara yake na mipombe yake paap anakupekenyua mapajan !arghhhhhhh
 
huyo ndo mwanamume bwana ! mwingine ht sms ukiona imeandikwa toka kwa hubby ujue umbea wa mjini anakupa !au anakupa habari ya msiba ! hongera!mshikilie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume nao wambea kumbe
 
*Hakuna kazi ngumu Kama kumtoa mwanamke kwenye kochi kumpeleka kitandani wanaume mnaijua hili, ukijaribu utasikia tu "niache Mimi..sikuja kwa ajiri ya mambo hayo"sa ulikuja kuchaji simu Au??* [emoji125]‍♂[emoji125]‍♂[emoji125]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom