Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Kumbe ndoani kuna ndoano kiasi hicho
Usijitese bwana mara moja moja sio mbaya ilimradi ucheze mechi salamaMtu namuona mara moja kwa miezi mitatu. Nikivunga si ntakufa na genye eti?
Make your man proud beside... All in all sawa you ave apoint wat is necessary is to keep your man happy, pia sio kila mwanaume mchelewaji ila ukiona anachelewa amekutana na wenzake si unajua story zetu wanaume huwa haziishi na dili nyingine tunazipata pitia mazungumzo so sometimes inabidi... Ila kuchelewa kama nina sababu ya muhimu usininyime tamu tafadhalihvi toxic9 unashidnwa nn kuwah kurud nyumban na kutaka sex mapema walau saa 4 usiku jaman? yaan ww uje saa 6 usingiz umechanganyia yaan km ni safar nipo chalinze we uanze kumuamsha mwenzako
haya tusema umewah kuja unashidwa nn kumuomba mkeo mapema tu ? yaan nimelala weee unaniskilizia tu navyokoroma uanze kunipapasa !hv unadhan sie hisia zetu zipo juu km nyie? hapana kwakweli chepukeni tu !
bas wknd ubaki hom mnjunjane vya uhakika kutwa kukaa bar na kubet !kwendeni zenu!
Salama kabisaUsijitese bwana mara moja moja sio mbaya ilimradi ucheze mechi salama
Make your man proud beside... All in all sawa you ave apoint wat is necessary is to keep your man happy, pia sio kila mwanaume mchelewaji ila ukiona anachelewa amekutana na wenzake si unajua story zetu wanaume huwa haziishi na dili nyingine tunazipata pitia mazungumzo so sometimes inabidi... Ila kuchelewa kama nina sababu ya muhimu usininyime tamu tafadhali
Msaidie he substitute sigara na bidhaa nyingine kama anaweza pombe jaribu kama itasaidia, mimi nikinywa pombe silali bila hata kupiga mswaki, tabia ujenga mazoeasasa kwann hutaka kupiga mswak usku km unajua umevuta? huhis km unamkera mwenzako!au kwajili umenitolea mahari unafanya upendavyo kisa mie mke!
wengine sigara zimetuletea mapumu ! najua sana wanawake ni silaha tosha lakini mtu anakuambia nisipovuta siwez fanya kitu chcht na kweli anakuwaga km zezeta nifanyeje mm !jaman ifike pahala mtuonee huruma !
haha khaa !yeye pombe na sigara twenda vyote !anavuta huku anakunywa ! nadhan ht mirungi,tandam,ugoro,tumbaku, atakuwa anavutaMsaidie he substitute sigara na bidhaa nyingine kama anaweza pombe jaribu kama itasaidia, mimi nikinywa pombe silali bila hata kupiga mswaki, tabia ujenga mazoea
[emoji106] [emoji106] Afya kwanzaSalama kabisa
Hahahahaha sasa substitute vyote hivyo na kitumbua, mpe kitumbua mpaka awe hoi asiweze hata kuwaza vileo, mpe mbunye mama yani kwa kweli mwanamke anaempa mume wake mbunye huwa ni nadra sana mwanaume kuchomoka, ngoja nikupe siri sisi wanaume tunapenda mgegedo asikuambie mtuhaha khaa !yeye pombe na sigara twenda vyote !anavuta huku anakunywa ! nadhan ht mirungi,tandam,ugoro,tumbaku, atakuwa anavuta
Hahahahaha sasa substitute vyote hivyo na kitumbua, moe kitumbua mpaka awe hoi asiweze hata kuwaza vileo, mpe mbunye mama yani kwa kweli mwanamke anaempa mume wake mbunye huwa ni nadra sana mwanaume kuchomoka, ngoja nikupe siri sisi wanaume tunapenda mgegedo asikuambie mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vyote hivyo mtu mmojahaha khaa !yeye pombe na sigara twenda vyote !anavuta huku anakunywa ! nadhan ht mirungi,tandam,ugoro,tumbaku, atakuwa anavuta
ile harufu ya mdomon hakuna awezaye nielewa !hata siku 1 ! nahisg hvyo aisee !sio kusema ananuka mdomo hana tatizo hilo akiwa hajavuta anakuwa poa tu husikii harufu weee ngj avute ![emoji23] [emoji23] [emoji23] vyote hivyo mtu mmoja
wengine hawajigusi amini nakwambia.usipoomba mnakaa hata miezi .hii ni tabia ya kipuuzi kabisa.yani kuwa na watoto imekuwa ndio sababu mara sijui nini mimi namwangalia tu.nikiamua kuelekeza mashambulizi nje mwezi tu ananinunia.ujinga sanaKusoma hujui hata picha huoni? Sio lazima utingishwe tingishwe ndo ujue mtu anataka. Kuna namna mwamamke atakugusa gusa usingizini sass wewe ndo inabidi uamke na kujiongeza gemuni.
hahahaha ! huenda unamboa humridhishi ! jiulize kwanza !lolwengine hawajigusi amini nakwambia.usipoomba mnakaa hata miezi .hii ni tabia ya kipuuzi kabisa.yani kuwa na watoto imekuwa ndio sababu mara sijui nini mimi namwangalia tu.nikiamua kuelekeza mashambulizi nje mwezi tu ananinunia.ujinga sana
Cheza kwa step... Angalia siku zako vizuri ili usije ikamata mimba bila plans... Mpe kitu shemeji tumia vizuizi mimba, mbona mtafurahia ndoahahhhaha !yaan nikimpa dudu ataacha kuvuta uanihakikishia hilo? si nitazaa kila mwezi mie sasa !haya kaka nimekuelewa !
hii naianza leo tena naiomba mwenyewe!
woyooooo !haya kaka ! ngoja hisia zirud zilikoenda !lolCheza kwa step... Angalia siku zako vizuri ili usije ikamata mimba bila plans... Mpe kitu shemeji tumia vizuizi mimba, mbona mtafurahia ndoa
Ni ni ngumu sana kumlizisha mwanamke but we are trying... Asili ya mwanaume sio kukata tamaawanawake ni watu wa ajabu sana. ukiacha kumgusa wiki 2 tu ananuna. halafu inakuwa kama mimi ndo nashida sana ya hiyo kitu huwa sielewi kabisa
Na upuuzi. Mtoto ndo asababishe baba kusahauliwa sasawengine hawajigusi amini nakwambia.usipoomba mnakaa hata miezi .hii ni tabia ya kipuuzi kabisa.yani kuwa na watoto imekuwa ndio sababu mara sijui nini mimi namwangalia tu.nikiamua kuelekeza mashambulizi nje mwezi tu ananinunia.ujinga sana