Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,570
- 94,861
ndo hivyo yaaniDemi umenichekesha sana rafiki
ndo hivyo yaaniDemi umenichekesha sana rafiki
Wanaume wa Dar mpaka muamshwe.Yaani mpaka tuamke sisi mmekuwa mnalala wengine wabinafsi yaani mkilala tusipowaamsha ndio basi tena.
Hii inaudhi sana mbona kama hamtaki tukiwaamsha mnapiga kazi kama mlikuwa macho vile kumbe mnakuwa mnatuchora tuu.
Tuamsheni bwana acheni dharau kwani raha si yetu sote.