Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Kwanini hamtuamshi usiku kutaka dyudyu?

Umenielewa vibaya. Nimesema tufanye kabla hatujalala na asubuhi ule muda tunajiandaa kuamka. Usiku sana ni kero hata stimu hakuna.
Lets say mna mtoto wa miaka miwli ambaye hapendi kulala na dada, na hata kitanda chake hataki kulala huko, why not msipange mgegedo usiku? Maana pia mtoto ana kauzibe so hapo ni kukurupushana tu midnight
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom