Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

ninavyojua mimi ni kujionyesha kwamba kaja na gari au mazoea ya kujiweka juu.kwaupande wangu hua naeka mfukoni pind tu ninapopak gari na ku lock.nafanya hivyo coz binafs nikieka sehem tofaut nirahs sana kuisahau
 
Inabidi babangu Mtambuzi akutunuku cheti za udakuzi na umbea mtoto wa kike. Ushushuhu ulisomea jamhuri ipi? Yaani nimecheka kama mazuri.
he heeee, chezeya mujini.....
kuna situ tulienda k/party na shostito wangu. wenyewe tumekodi zetu bajaj ikatushusha hapo.
mezani tukakaka na anti mmoja hivi, funguo mkononi bibiii, shurti akienda kucheza mkono wenye funguo juu.....
ikafika muda wa kuondoka si tukaomba lift atusogeze kituo cha daladala, akasema gari imejaa alikuja na wenzie, tukamwambia poa. shostito wangu akaniambia haiwezekani, hao mashosti waliojaza gari wako wapi? mbona yupo hapa na sisi muda wote huo hatujawaona? tukaamua tufanye ushushushu..... tukamuaga tunatangulia kuwahi usafiri.
siku hiyo hatukuwa na kazi ya maana, tukajibanza sehemu huko nje tunasubiri tuone gari lake.
baada ya muda kadhaa akatoka, tukamuona huyoooooo anaelekea kituo cha daladala, funguo sasa zimetiwa mkobani, lol! chezeya watoto wa mujini wewe
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi FP kwa uchokonoaji nimekukubali,unajua kweli kuchokonoa!
ha haaa, sasa ntafuzu vipi kuwa mtoto wa mujini bila kuchokonoa?
inabidi kujifunza watoto wa mujini wanaishije ili ule nao sahani moja....
kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Umenikumbusha 1992 nilienda kwa baba mdogo tandika nikalala siku 3 manake wanae walikuwa wanapata kipaimara. Nilishangaa jirani kuna wadada wakubwa wamepanga vyumba vya udongo. Ukiwaona wanatoka humo utawataka. Dhahabu za maana na enzi hizo hakuna ingilishi goldi mweeh. Wananukia perfume na udi balaa. Nikamuuliza mama mdogo kwani hawa na dhahabu zote hizo wanashindwa kupanga nyumba nzuri? Akaniambia wanakodisha dhahabu .wanangu. Nikabaki majicho kodoo!
ha haaa, sasa ntafuzu vipi kuwa mtoto wa mujini bila kuchokonoa?
inabidi kujifunza watoto wa mujini wanaishije ili ule nao sahani moja....
kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Inabidi babangu Mtambuzi akutunuku cheti za udakuzi na umbea mtoto wa kike. Ushushuhu ulisomea jamhuri ipi? Yaani nimecheka kama mazuri.
h haaa, rafiki ukinyanyaswa udaku utaufanya tu bila kwenda kozi.....
unafikiri alivyokuwa anaturingishia mchezo?
halafu tunaomba kutushusha kituoni tu anakataa
 
Umenikumbusha 1992 nilienda kwa baba mdogo tandika nikalala siku 3 manake wanae walikuwa wanapata kipaimara. Nilishangaa jirani kuna wadada wakubwa wamepanga vyumba vya udongo. Ukiwaona wanatoka humo utawataka. Dhahabu za maana na enzi hizo hakuna ingilishi goldi mweeh. Wananukia perfume na udi balaa. Nikamuuliza mama mdogo kwani hawa na dhahabu zote hizo wanashindwa kupanga nyumba nzuri? Akaniambia wanakodisha dhahabu .wanangu. Nikabaki majicho kodoo!
ha haaaa...... wanakodi mtama, mweeeeeeeeeeeeeeeeeeee...........................
kuku wenyewe ndo hawa hawa akina Bishanga, lol!
 
Last edited by a moderator:
mtajuaje kama nimepaki surf hapo njee? tena uwa nabonyeza rimoti utasikia tu chwiiii chwiii

Duh... meimissje surf lol.... ukija mza upite mtaani kwetu walau nii.tie machoni...
 
Naomba kuwauliza ninyi wenye magari, kwanini huwa hampendi kuweka funguo
za gari mfukoni ama katika mkoba (kwa kina mama), badala yake mnaweka
mezani ama mnaendelea kuishika mkononi.sababu ni nini?

inategemea, kama mahali ninaposhuka hapachukui muda mrefu kuondoka huwa cweki funguo kwenye mkoba kuepusha usumbufu wa kufungua na kufunga mkoba, lakini kama nitachukua muda mrefu huwa funguo naitupia kwenye mkoba.
 
Hakuna kitu kinatoboa mifuko ya sereware kama funguo.......hatuzing'inizi mikononi kwa bahati mbaya,sababu ni hiyo.

Ha ha......kwa hiyo funguo za gari ni wembe.....hata jeans zinatoboa.......ama kweli ishi upendavyo.....
 
Preta nimekumissije aise. Mimi hata zile za kulock kibaiskeli changu huwa naweka mezani. Utajuaje namiliki baiskeli bana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom