figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,010
- 64,045
Umenikumbusha 1992 nilienda kwa baba mdogo tandika nikalala siku 3 manake wanae walikuwa wanapata kipaimara. Nilishangaa jirani kuna wadada wakubwa wamepanga vyumba vya udongo. Ukiwaona wanatoka humo utawataka. Dhahabu za maana na enzi hizo hakuna ingilishi goldi mweeh. Wananukia perfume na udi balaa. Nikamuuliza mama mdogo kwani hawa na dhahabu zote hizo wanashindwa kupanga nyumba nzuri? Akaniambia wanakodisha dhahabu .wanangu. Nikabaki majicho kodoo!
makubwa!. mia