Hata wewe ulivyopanga mara yakwanza chumba siulikuwa unatembea na funguo za vitasa wakujue na wewe unachumba???
Mimi mzima sijui wewe na hii wkeenda!!???mwaliko??hahahaha!
Yaani umenichekeshaje sasa?
Mzima lakini?
Oyaa, hebu sema kesho jioni tukutane wapi kwa ajili ya the needful?Hata wewe ulivyopanga mara yakwanza chumba siulikuwa unatembea na funguo za vitasa wakujue na wewe unachumba???
Ushamba kwa asiyejua nini maana ya kuwepo luksi katika suruali mimi mwanangu funguo yangu ya bajaji ikombele kama tai!watakujuaje kwanza ushaenda baa unatoka na King'asti unadroo atensheni za watu wajui kama king'asti unakipandisha baja au mkoko??sasa wanaona kitu kinapanda bajaji bonge la usipooni au unasemaje Tulizoushamba tu.mbona uzi kama huu ulisha pita hapa last year.mm huwa nauweka mfukoni ukimbelea nchi za magharibi utaona walivyo zoea
Mkuu wewe sema asubuhi nije tunywe wote kithuthio mahali gani??Oyaa, hebu sema kesho jioni tukutane wapi kwa ajili ya the needful?
Kwa wanaume kwa sababu hawana bochi naona ni bora kushika mkononi hizo funguo kwani zikiwekwa mifuko yao ya suruali na shati hazikai vizuri mifuko inatuna wanakuwa kama wachuuzi wa Kariakoo
dack dack mi funguo za gari langu huwa najitwisha kichwani, huwa ninakuwa nimebeba box kubwa, limeandikwa, funguo za gari yangu zimepumzika, do not disturbHivi mtu akiwa na gari funguo hazikai mfukoni ni lazima ashike mkononi atembee nazo au ni ushamba tu.:shut-mouth::shut-mouth:
Hata wewe ulivyopanga mara yakwanza chumba siulikuwa unatembea na funguo za vitasa wakujue na wewe unachumba???
Hivi mtu akiwa na gari funguo hazikai mfukoni ni lazima ashike mkononi atembee nazo au ni ushamba tu.:shut-mouth::shut-mouth:
Asubuhi ntakuwa namtumikia mkoloni, mambo yote jioni kakgiza kakishaanza kuingia. Usisahau kuwa na petroli kwenye kikopo.Mkuu wewe sema asubuhi nije tunywe wote kithuthio mahali gani??
Mie siwezi kutoka, niko eda. Nna talaka rejea hapa naona paw anataka kuniuza kwa mwekezaji mpya. Jicho langu linakutazama, ama ushanyakuliwa kule white party?Mimi mzima sijui wewe na hii wkeenda!!???mwaliko??
Mimi mwenyewe nakupigia mahesabu jinsi ya kutupa ndowano kumbe nawewe unania karibu tuunge ujamaa!:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:Mie siwezi kutoka, niko eda. Nna talaka rejea hapa naona paw anataka kuniuza kwa mwekezaji mpya. Jicho langu linakutazama, ama ushanyakuliwa kule white party?
Ngoja niombe kibali kwa mshua ili aagize fbi wakuchunguze.Mimi mwenyewe nakupigia mahesabu jinsi ya kutupa ndowano kumbe nawewe unania karibu tuunge ujamaa!:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
Mkuu Mtambuzi nakuomba usije kutoa maelezo yenye dalili za kunifelisha najua wewe.......haya nasubiri copy yangu!Ngoja niombe kibali kwa mshua ili aagize fbi wakuchunguze.
kaka Mtambuzi (25, huwezi kuwa babangu lol), naomba unipatie cv ya huyu braza. Afu uniambie jana hukuwa hewani ulienda wapi na maza alikuwa kwangu!