Naomba kuwauliza ninyi wenye magari, kwanini huwa hampendi kuweka funguo
za gari mfukoni ama katika mkoba (kwa kina mama), badala yake mnaweka
mezani ama mnaendelea kuishika mkononi.sababu ni nini?
mtajuaje kama nimepaki surf hapo njee? tena uwa nabonyeza rimoti utasikia tu chwiiii chwiii
wengine wanafanya hivyo kwa majigambo kuonyesha kuwa wanamiliki gari.
Wengi tu mbona wanaweka mfukuni pia.
wewe umekutana na wale wenye MAJIGAMBO na KUJIONYESHA(show off)
Naomba kuwauliza ninyi wenye magari, kwanini huwa hampendi kuweka funguo
za gari mfukoni ama katika mkoba (kwa kina mama), badala yake mnaweka
mezani ama mnaendelea kuishika mkononi.sababu ni nini?
he heeee, chezeya mujini.....
kuna situ tulienda k/party na shostito wangu. wenyewe tumekodi zetu bajaj ikatushusha hapo.
mezani tukakaka na anti mmoja hivi, funguo mkononi bibiii, shurti akienda kucheza mkono wenye funguo juu.....
ikafika muda wa kuondoka si tukaomba lift atusogeze kituo cha daladala, akasema gari imejaa alikuja na wenzie, tukamwambia poa. shostito wangu akaniambia haiwezekani, hao mashosti waliojaza gari wako wapi? mbona yupo hapa na sisi muda wote huo hatujawaona? tukaamua tufanye ushushushu..... tukamuaga tunatangulia kuwahi usafiri.
siku hiyo hatukuwa na kazi ya maana, tukajibanza sehemu huko nje tunasubiri tuone gari lake.
baada ya muda kadhaa akatoka, tukamuona huyoooooo anaelekea kituo cha daladala, funguo sasa zimetiwa mkobani, lol! chezeya watoto wa mujini wewe

Hata boda boda zina rimotimtajuaje kama nimepaki surf hapo njee? tena uwa nabonyeza rimoti utasikia tu chwiiii chwiii