Kwanini DSTV ni ghali sana?

Kwanini DSTV ni ghali sana?

Mkuu hata Huko South Africa sio USD 30 Kama ulivyowema Malipo ya premium package South Africa ni Rand 665 ambayo ni sawa na Kama USD 62.1833 ambayo ni Kama 105000 tsh. Hivi.

Sent from my iPad using JamiiForums
Inawezekana ulikuwa au unaendelea kulipishwa zaidi ya bei, hebu tembelea hapa http://www.multichoice.co.za/multichoice/view/multichoice/en/page44135 utagundua dstv extra ni rand 380, na hiyo si thibitishi kwa kupitia mtandao tu bali hata kwa mkazi wa huko anayethibitisha unafuu wa bei tofauti na kwetu.
 
Tuwe Wakweli Bwana Dstv Ni Level Zingine, Hasa Channel Zile Za KENYA.

Hakuna anayepinga kama Dstv Wanaquality...tunachojadili kwanini wawe na bei za juu ? Wakati kwengine nchi zingine bei ziko chini ? Na kwanini watumie dola ? :what:
 
Mkuu Mandule sisi wengine sio wanasiasa nazungumza what I just paid sasa kama utanikatalia it's up to you.
 
DStv subscriptions: A regional price comparison

By Tendai Mupaso
December 16th, 2013

MultiChoice Zimbabwe last week officially launched the DStv Explora in Zimbabwe and the official Zimbabwe price of $425 was a talking point compared to regional prices. As a follow-up, we have compiled regional DStv subscription rates across the 5 most popular bouquets.

More countries will be added and updated continuously and you can visit our Data and Research page for more comparisons.
[TABLE="class: tablepress tablepress-id-2 dataTable"]
[TR="class: row-1 odd"]
[TH="class: column-1 sorting"]Country[/TH]
[TH="class: column-2 sorting"]Access (USD)[/TH]
[TH="class: column-3 sorting"]Family (USD)[/TH]
[TH="class: column-4 sorting"]Compact (USD)[/TH]
[TH="class: column-5 sorting"]Compact Plus (USD)[/TH]
[TH="class: column-6 sorting"]Premium (USD)[/TH]
[/TR]
[TR="class: row-2 even"]
[TD="class: column-1"]Zimbabwe[/TD]
[TD="class: column-2"]US$10[/TD]
[TD="class: column-3"]US$20[/TD]
[TD="class: column-4"]US$32[/TD]
[TD="class: column-5"]US$52[/TD]
[TD="class: column-6"]US$72[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-3 odd"]
[TD="class: column-1"]South Africa[/TD]
[TD="class: column-2"] (US$9.29)[/TD]
[TD="class: column-3"]R175 (US$16.43)[/TD]
[TD="class: column-4"]R275 (US$25.81)[/TD]
[TD="class: column-5"]N/A[/TD]
[TD="class: column-6"]R625 (US$58.67)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-4 even"]
[TD="class: column-1"]Botswana[/TD]
[TD="class: column-2"]P80 (US$8.92)[/TD]
[TD="class: column-3"]P140 (US$15.61)[/TD]
[TD="class: column-4"]P230 (US$25.64)[/TD]
[TD="class: column-5"]P365 (US$40.70)[/TD]
[TD="class: column-6"]P535 (US$59.65)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-5 odd"]
[TD="class: column-1"]Zambia[/TD]
[TD="class: column-2"]K 55.6 (US$10.06)[/TD]
[TD="class: column-3"]K 111.2 (US$20.12)[/TD]
[TD="class: column-4"]K 172.36 (US$31.19)[/TD]
[TD="class: column-5"]K 289.12 (US$52.32)[/TD]
[TD="class: column-6"]K 450.36 (US$81.49)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-6 even"]
[TD="class: column-1"]Namibia[/TD]
[TD="class: column-2"]N$80 (US$7.51)[/TD]
[TD="class: column-3"]N$156 (US$14.64)[/TD]
[TD="class: column-4"]N$290 (US$27.22)[/TD]
[TD="class: column-5"]N/A[/TD]
[TD="class: column-6"]N$620 (US$58.20)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-7 odd"]
[TD="class: column-1"]Kenya[/TD]
[TD="class: column-2"]Kshs. 880 (US$10.09)[/TD]
[TD="class: column-3"]Kshs. 1760 (US$20.19)[/TD]
[TD="class: column-4"]Kshs. 2816 (US$32.30)[/TD]
[TD="class: column-5"]Kshs. 4576 (US$52.48)[/TD]
[TD="class: column-6"]Kshs. 7216 (US$82.76)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-8 even"]
[TD="class: column-1"]Mozambique[/TD]
[TD="class: column-2"]US$11[/TD]
[TD="class: column-3"]N/A[/TD]
[TD="class: column-4"]US$30[/TD]
[TD="class: column-5"]US$67[/TD]
[TD="class: column-6"]US$81[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-9 odd"]
[TD="class: column-1"]Nigeria[/TD]
[TD="class: column-2"]N1800 (US$11.20)[/TD]
[TD="class: column-3"]N3000 (US$18.66)[/TD]
[TD="class: column-4"]N5000 (US$31.10)[/TD]
[TD="class: column-5"]N7850 (US$48.83)[/TD]
[TD="class: column-6"]N11650 (US$72.46)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-10 even"]
[TD="class: column-1"]Ghana[/TD]
[TD="class: column-2"]GHC 23 (US$9.58)[/TD]
[TD="class: column-3"]GHC 46 (US$19.17)[/TD]
[TD="class: column-4"]GHC 76 (US$31.67)[/TD]
[TD="class: column-5"]GHC 120 (US$50)[/TD]
[TD="class: column-6"]GHC 189 (US$78.75)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-11 odd"]
[TD="class: column-1"]Tanzania[/TD]
[TD="class: column-2"]TSH 16500 (US$10)[/TD]
[TD="class: column-3"]TSH 33000 (US$19.99)[/TD]
[TD="class: column-4"]TSH 52500 (US$31.80)[/TD]
[TD="class: column-5"]TSH 85000 (US$51.49)[/TD]
[TD="class: column-6"]TSH 134000 (US$81.18)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-12 even"]
[TD="class: column-1"]Swaziland[/TD]
[TD="class: column-2"]E110 (US$10.33)[/TD]
[TD="class: column-3"]E175 (US$16.43)[/TD]
[TD="class: column-4"]E275 (25.81)[/TD]
[TD="class: column-5"]E440 (41.30)[/TD]
[TD="class: column-6"]E625 (58.67)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-13 odd"]
[TD="class: column-1"]Uganda[/TD]
[TD="class: column-2"]USH 354500[/TD]
[TD="class: column-3"]USH 360000[/TD]
[TD="class: column-4"]USH 380000[/TD]
[TD="class: column-5"]USH 401600[/TD]
[TD="class: column-6"]USH 425000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NB:Hii price ilikuwa ni ya December 2013,South Africa mwaka huu bei imepanda zaidi ya hiyo inayoonekana hapo.Bei ya DSTV inapungua kadri idadi ya customer wanavyokuwa wengi kwenye nchi husika nakumbuka hili wakati DSTV walivyotaka kuonyesha ligi ya Tanzania,dau lao lilikuwa dogo wakidai kuwa Tanzania kulikuwa na wateja wachache wa DSTV

Unaweza kusoma zaidi hizi link
http://selfservice.dstv.com/self-service/announcements/dstv-pricing-from-1-april-2014/

http://dstvkenyaaccredited.blogspot.com/p/dstv-kenya-packages.html

http://bigeye.ug/dstv-uganda-equipment-prices-slashed/
 
Wacha hizo we! Inaonekana pasipo shaka wewe ni mmojawapo wa watu walio kwenye huuu mtandao wa kuibia watanzania. Ngoja nikuwekee listi ya malipo kwa tv za nchi nyingine uone jinsi nyinyi milivyo wezi!
Hiyo list unaitafutia wapi? Tunaisubiri tuone hizo dola 30 kwa Premium kama ulivyosema,Au umechungulia ukaona inavyokuumbua ukaamua kuingia mitini
 
Changamsha bongo yako ktk issues kama hizi kwanini DSTV ina haki ya kuonyesha hizo Ligi na bado inatumia nguvu za pesa kuhakikishaTaasisi kama TCRA inazizua Tv stations nyingine zisionyeshe hizo Ligi hata kama wanarusha kupitia Tv washirika wengine. Ni rushwa tu na umasikini na ujinga wa watawala wetu wakiungwa mkono na mtu kama wewe.
Hivi wewe unajua maana ya hati miliki au unaongea tu kwa kujifurahisha, kwanza turudi kwenye maada yenyewe kuna sababu nyingi zinazo fanya malipo ya dstv yatafautiane nchi moja hadi nyingine 1.viwango vya kodi wanayolipishwa hawa dstv pamoja na vifaa kama decoder zao n.k. nikubwa tafauti na wanavyolipa kwao southafrica hivyo nawenyewe wanaongeza gharama ya malipo kwa watumiaji ili kufidia hasara. Kitu kingine ni kwamba hati miliki ya kurusha matangazo ya EpL. Wanayo Skysport hivyo dstv wanauziwa matangazo tena kwa bei mbaya ndo maana tunaona subsahara yote dstv peke yao ndo wanonyesha epl, na northafrica beNsports ndo wanaonyesha epl. Ushauri wangu tujaribu kumshawishi Azamtv anunue hati miliki ya kuonyesha epl, ilituone kama ataendelea kutuchaji 12500, kwa mwezi.
 
Hata Nigeria pia ni cheap hata wanafunzi wa vyuo wanazo hostel ndio maana kwenye reality show SA na 9Ja wana viewers wengi....

Nakumbuka bigbrother ya 2010 akina Uti, Sheila na Mwisho walikuwa wana discuss hii kitu mpk Uti akashangaa kwann Dstv kwa EA na baadhi ya Southern ni ghali compare to SA na West Africa.

Economics dynamics, DSTV ni ghali kwa Afrika Mashariki kwa sababu subscriber base, ama tuseme watu wenye uwezo wa kulipia ni wachache kulinganisha na Afrika Kusini.

Hapa unaangalia takwimu za middle class, watu wa kima cha chini. Kwa Tanzania, watu wa kima cha kati, yaani middle class base/people ni ndogo mno, takwimu zinaonesha kima cha kati ni asilimia 12 tu.

Kwa hali hii, inabidi watu wachache wenye uwezo wa kulipa kutozwa malipo makubwa. Kwa nchi zenye watu wengi wenye uwezo wa kulipia DSTV, gharama inapungua. Hata gharama za simu ziko hivyo.
 
Hivi wewe unajua maana ya hati miliki au unaongea tu kwa kujifurahisha, kwanza turudi kwenye maada yenyewe kuna sababu nyingi zinazo fanya malipo ya dstv yatafautiane nchi moja hadi nyingine 1.viwango vya kodi wanayolipishwa hawa dstv pamoja na vifaa kama decoder zao n.k. nikubwa tafauti na wanavyolipa kwao southafrica hivyo nawenyewe wanaongeza gharama ya malipo kwa watumiaji ili kufidia hasara. Kitu kingine ni kwamba hati miliki ya kurusha matangazo ya EpL. Wanayo Skysport hivyo dstv wanauziwa matangazo tena kwa bei mbaya ndo maana tunaona subsahara yote dstv peke yao ndo wanonyesha epl, na northafrica beNsports ndo wanaonyesha epl. Ushauri wangu tujaribu kumshawishi Azamtv anunue hati miliki ya kuonyesha epl, ilituone kama ataendelea kutuchaji
12500, kwa mwezi.
Azam Tv hana uwezo wa kununua hakimiliki za kuonesha ligi ya Uingereza kutokana na hali halisi ya kiuchumi na nchi anazotarajia kurusha matangazo. Haki za kurusha matangazo zinamilikiwa na mkusanyiko wa makampuni makubwa mno Duniani kutokana gharama za kununua hizo haki.
 
Hivi wewe unajua maana ya hati miliki au unaongea tu kwa kujifurahisha, kwanza turudi kwenye maada yenyewe kuna sababu nyingi zinazo fanya malipo ya dstv yatafautiane nchi moja hadi nyingine 1.viwango vya kodi wanayolipishwa hawa dstv pamoja na vifaa kama decoder zao n.k. nikubwa tafauti na wanavyolipa kwao southafrica hivyo nawenyewe wanaongeza gharama ya malipo kwa watumiaji ili kufidia hasara. Kitu kingine ni kwamba hati miliki ya kurusha matangazo ya EpL. Wanayo Skysport hivyo dstv wanauziwa matangazo tena kwa bei mbaya ndo maana tunaona subsahara yote dstv peke yao ndo wanonyesha epl, na northafrica beNsports ndo wanaonyesha epl. Ushauri wangu tujaribu kumshawishi Azamtv anunue hati miliki ya kuonyesha epl, ilituone kama ataendelea kutuchaji 12500, kwa mwezi.

Hee hee hee... Ni kweli... ni DSTV tu wanauziwa kwa bei mbaya. Channels nyingine hawauziwi kwa bei mbaya! Danganyeni wajinga kama ninyi!
 
DStv subscriptions: A regional price comparison

By Tendai Mupaso
December 16th, 2013

MultiChoice Zimbabwe last week officially launched the DStv Explora in Zimbabwe and the official Zimbabwe price of $425 was a talking point compared to regional prices. As a follow-up, we have compiled regional DStv subscription rates across the 5 most popular bouquets.

More countries will be added and updated continuously and you can visit our Data and Research page for more comparisons.
[TABLE="class: tablepress tablepress-id-2 dataTable"]
[TR="class: row-1 odd"]
[TH="class: column-1 sorting"]Country[/TH]
[TH="class: column-2 sorting"]Access (USD)[/TH]
[TH="class: column-3 sorting"]Family (USD)[/TH]
[TH="class: column-4 sorting"]Compact (USD)[/TH]
[TH="class: column-5 sorting"]Compact Plus (USD)[/TH]
[TH="class: column-6 sorting"]Premium (USD)[/TH]
[/TR]
[TR="class: row-2 even"]
[TD="class: column-1"]Zimbabwe[/TD]
[TD="class: column-2"]US$10[/TD]
[TD="class: column-3"]US$20[/TD]
[TD="class: column-4"]US$32[/TD]
[TD="class: column-5"]US$52[/TD]
[TD="class: column-6"]US$72[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-3 odd"]
[TD="class: column-1"]South Africa[/TD]
[TD="class: column-2"] (US$9.29)[/TD]
[TD="class: column-3"]R175 (US$16.43)[/TD]
[TD="class: column-4"]R275 (US$25.81)[/TD]
[TD="class: column-5"]N/A[/TD]
[TD="class: column-6"]R625 (US$58.67)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-4 even"]
[TD="class: column-1"]Botswana[/TD]
[TD="class: column-2"]P80 (US$8.92)[/TD]
[TD="class: column-3"]P140 (US$15.61)[/TD]
[TD="class: column-4"]P230 (US$25.64)[/TD]
[TD="class: column-5"]P365 (US$40.70)[/TD]
[TD="class: column-6"]P535 (US$59.65)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-5 odd"]
[TD="class: column-1"]Zambia[/TD]
[TD="class: column-2"]K 55.6 (US$10.06)[/TD]
[TD="class: column-3"]K 111.2 (US$20.12)[/TD]
[TD="class: column-4"]K 172.36 (US$31.19)[/TD]
[TD="class: column-5"]K 289.12 (US$52.32)[/TD]
[TD="class: column-6"]K 450.36 (US$81.49)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-6 even"]
[TD="class: column-1"]Namibia[/TD]
[TD="class: column-2"]N$80 (US$7.51)[/TD]
[TD="class: column-3"]N$156 (US$14.64)[/TD]
[TD="class: column-4"]N$290 (US$27.22)[/TD]
[TD="class: column-5"]N/A[/TD]
[TD="class: column-6"]N$620 (US$58.20)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-7 odd"]
[TD="class: column-1"]Kenya[/TD]
[TD="class: column-2"]Kshs. 880 (US$10.09)[/TD]
[TD="class: column-3"]Kshs. 1760 (US$20.19)[/TD]
[TD="class: column-4"]Kshs. 2816 (US$32.30)[/TD]
[TD="class: column-5"]Kshs. 4576 (US$52.48)[/TD]
[TD="class: column-6"]Kshs. 7216 (US$82.76)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-8 even"]
[TD="class: column-1"]Mozambique[/TD]
[TD="class: column-2"]US$11[/TD]
[TD="class: column-3"]N/A[/TD]
[TD="class: column-4"]US$30[/TD]
[TD="class: column-5"]US$67[/TD]
[TD="class: column-6"]US$81[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-9 odd"]
[TD="class: column-1"]Nigeria[/TD]
[TD="class: column-2"]N1800 (US$11.20)[/TD]
[TD="class: column-3"]N3000 (US$18.66)[/TD]
[TD="class: column-4"]N5000 (US$31.10)[/TD]
[TD="class: column-5"]N7850 (US$48.83)[/TD]
[TD="class: column-6"]N11650 (US$72.46)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-10 even"]
[TD="class: column-1"]Ghana[/TD]
[TD="class: column-2"]GHC 23 (US$9.58)[/TD]
[TD="class: column-3"]GHC 46 (US$19.17)[/TD]
[TD="class: column-4"]GHC 76 (US$31.67)[/TD]
[TD="class: column-5"]GHC 120 (US$50)[/TD]
[TD="class: column-6"]GHC 189 (US$78.75)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-11 odd"]
[TD="class: column-1"]Tanzania[/TD]
[TD="class: column-2"]TSH 16500 (US$10)[/TD]
[TD="class: column-3"]TSH 33000 (US$19.99)[/TD]
[TD="class: column-4"]TSH 52500 (US$31.80)[/TD]
[TD="class: column-5"]TSH 85000 (US$51.49)[/TD]
[TD="class: column-6"]TSH 134000 (US$81.18)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-12 even"]
[TD="class: column-1"]Swaziland[/TD]
[TD="class: column-2"]E110 (US$10.33)[/TD]
[TD="class: column-3"]E175 (US$16.43)[/TD]
[TD="class: column-4"]E275 (25.81)[/TD]
[TD="class: column-5"]E440 (41.30)[/TD]
[TD="class: column-6"]E625 (58.67)[/TD]
[/TR]
[TR="class: row-13 odd"]
[TD="class: column-1"]Uganda[/TD]
[TD="class: column-2"]USH 354500[/TD]
[TD="class: column-3"]USH 360000[/TD]
[TD="class: column-4"]USH 380000[/TD]
[TD="class: column-5"]USH 401600[/TD]
[TD="class: column-6"]USH 425000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

NB:Hii price ilikuwa ni ya December 2013,South Africa mwaka huu bei imepanda zaidi ya hiyo inayoonekana hapo.Bei ya DSTV inapungua kadri idadi ya customer wanavyokuwa wengi kwenye nchi husika nakumbuka hili wakati DSTV walivyotaka kuonyesha ligi ya Tanzania,dau lao lilikuwa dogo wakidai kuwa Tanzania kulikuwa na wateja wachache wa DSTV

Unaweza kusoma zaidi hizi link
DStv Self Service | DStv pricing from 1 April 2014

DStv, Multichoice Kenya Accredited Installer: DStv Kenya Packages

DSTV Uganda Equipment Prices Slashed - Bigeye.ug

Hizo bei za Uganda zinatisha!
 
Back
Top Bottom