Kwanini DSTV ni ghali sana?

Kwanini DSTV ni ghali sana?

Alafu uwe unaangalia channels za HD

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Ni full starehe,HD channels za Super Sport ni balaa,tena uwe na Screen kubwa,unaona mpaka nyasi zinavyong,oka shuti likipigwa.DSTV ni wakongwe wa Digital.
 
Utajua nini wewe wakati hata mawazo yako yanaonekana ni ya kitumwa tumwa!

Mbona wewe unalialia upunguziwe bei ya kuangalia hizo channel za kitumwa?
Kama ni mzalendo nunua Star Times ya Serikali uangalie Chanel zisizo za kitumwa(Itv,Star TV,Clouds TV,TBC,Mlimani TV)
 
Alafu uwe unaangalia channels za HD

Sent from my iPhone using JamiiForums app

Yes mkuu and it's more than that just have a look of some of the features. This is DSTV explora bwana. Hiyo decoder ina HDD ya 2 terabytes just for smart recording pia kuna lots of movies kwenye catch up. It's real enjoyment.
 
Attachments

  • 1403253264787.jpg
    1403253264787.jpg
    48.3 KB · Views: 165
  • 1403253289122.jpg
    1403253289122.jpg
    76.6 KB · Views: 165
Ni full starehe,HD channels za Super Sport ni balaa,tena uwe na Screen kubwa,unaona mpaka nyasi zinavyong,oka shuti likipigwa.DSTV ni wakongwe wa Digital.

Sure mkuu yaani inapendeza sana kwa kweli kwa service ninayoipata I don't even regret the amount I pay ila kama watapunguza bei tutashukuru pia.
 
Mbona wewe unalialia upunguziwe bei ya kuangalia hizo channel za kitumwa?
Kama ni mzalendo nunua Star Times ya Serikali uangalie Chanel zisizo za kitumwa(Itv,Star TV,Clouds TV,TBC,Mlimani TV)
Kuna watu wanashangaza sana,nimemwambia hao DSTV wana packages tofauti tofauti kama ulivyoolezea kwenye moja ya post zako huko nyuma.Yeye anataka premium package wakati uwezo hana,akiambiwa ukweli anaishia kutokwa povu!
 
Yes mkuu and it's more than that just have a look of some of the features. This is DSTV explora bwana. Hiyo decoder ina HDD ya 2 terabytes just for smart recording pia kuna lots of movies kwenye catch up. It's real enjoyment.
Nafikiria pia kuchange from PVR to EXPROLA! Wengine starehe zingine tumegive up just to make my sitting room very entertaining,weekends ni kukaa kwenye TV switching from One channel to another,raha ya DSTV especially with Premium Package.
 
Just do it. Trust me explora is a very new experience and you wont regret your decision.I think we are very same on that category.
 
Hakuna cha Dstv wala zuku Mambo yote bein sport chanel zaid ya 10 za hd ligi zote kubwa duniani... dola 300 kwa mwaka
 
Kwa tuliopo Bongo tunaipataje hiyo service? Je pana channels zingine kama Documentaries,Movies na Cartoons for kids mbali hizo sports channels?
 
hata simu za mkononi zinatofautiana bei,
hata kuweka vocha za simu ni tofauti,
kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
 
hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
Wana vifurushi vya aina tofauti cha chini kabisa ni Sh. 16,500/= Baada ya hapo kuna cha 33,000/=, 53,000/= , 85,000/= ambacho unapata pamoja na nyingine nyingi pia S3 na S7 na kile cha juu cha 140,000/= ambacho wanatiririsha channels zote. Jiachagulie kulingana na uwezo. Ila kama ni mpenzi wa mpira jichukulie hicho cha 85,000/= Lakini ukweli wanatakiwa washushe bei kidogo. Mimi nyakati zisizo za ligi hasa ya Uingereza huwa natumia hicho cha chini cha 16,500/= na ligi ikianza huwa nahamia hicho cha 85,000/=
 
Mpenda bwerere wewe! Ukitaka kitu kizuri shurti ugharimike zaidi; Landrover 110 haiwezi kuwa na bei sawa na Discovery 4; wala Jaguar haiwezi kulingana bei na Vitz; katu CR7 na Messi hawawezi kulipwa mshahara sawa na Etoo au the so called Messi wa Simba ya Rage bana weeeee; wacha utani!! please be realistic; hata kama hupendi sports!!
Dstv ndio mpango wenyewe wengine wabangaizaji.
 
Mbona wewe unalialia upunguziwe bei ya kuangalia hizo channel za kitumwa?
Kama ni mzalendo nunua Star Times ya Serikali uangalie Chanel zisizo za kitumwa(Itv,Star TV,Clouds TV,TBC,Mlimani TV)

Utumwa kwako ni nini? Ni channels za TV kutoka nje? Pole sana! Back to the topic! DSTV wanawakamua makusudi watanzania. Nchi nyingi sana gharama za TV za kulipia ziko chini sana sana kulinganisha na Tanzania. Wewe pengine unapata fedha zako kwa njia ya mkato. Na inaonekana huna exposure ya kujua ni nini huduma za nchi nyingine kama hii hii ya DSTV zilivyo! Ndio maana umebaki kusifia DSTV. Kweli kipofu kaona mwezi. Jaribu kutembea uone ndugu yangu!
 
Ukiwa Arusha, Moshi, Mwanza, Zanzibar etc kuna ckampuni huwa zinasambaza hizi huduma kwa cable na wana chenel nzuri tu. Kama ni EPL utafaidi sawa na mwenye DSTV.Cha kushangaza Dar sijawahi ona, sijui kwa nini? Nahisi kuna mkono wa kifisadi hapa
 
Mpenda bwerere wewe! Ukitaka kitu kizuri shurti ugharimike zaidi; Landrover 110 haiwezi kuwa na bei sawa na Discovery 4; wala Jaguar haiwezi kulingana bei na Vitz; katu CR7 na Messi hawawezi kulipwa mshahara sawa na Etoo au the so called Messi wa Simba ya Rage bana weeeee; wacha utani!! please be realistic; hata kama hupendi sports!!
Dstv ndio mpango wenyewe wengine wabangaizaji.

Waafrika kitu kinachowaangamiza ni ubinafsi. Na wewe unaonekana ni mtu mbinafsi kuzidi waafrika! Watu hapa tunazungumzia fair play kwenye biashara wewe unataka kugeuza mada kuwa tunadai vitu vya bure!
 
Ukiwa Arusha, Moshi, Mwanza, Zanzibar etc kuna ckampuni huwa zinasambaza hizi huduma kwa cable na wana chenel nzuri tu. Kama ni EPL utafaidi sawa na mwenye DSTV.Cha kushangaza Dar sijawahi ona, sijui kwa nini? Nahisi kuna mkono wa kifisadi hapa

Mkuu hii kitu ni syndicate ya wahuni wasio na huruma kwa watanzania. Unajua fedha nyingi za DSTV Tanzania zinatoka serikalini. Yes... kuna mashirika ya uma na viongozi wengi serikalini ambao WANALIPIWA hizi gharama kutoka kwenye kodi yetu. Sasa hapo unganisha wewe mwenyewe uone huu uhuni usio na utu.....
 
Wana vifurushi vya aina tofauti cha chini kabisa ni Sh. 16,500/= Baada ya hapo kuna cha 33,000/=, 53,000/= , 85,000/= ambacho unapata pamoja na nyingine nyingi pia S3 na S7 na kile cha juu cha 140,000/= ambacho wanatiririsha channels zote. Jiachagulie kulingana na uwezo. Ila kama ni mpenzi wa mpira jichukulie hicho cha 85,000/= Lakini ukweli wanatakiwa washushe bei kidogo. Mimi nyakati zisizo za ligi hasa ya Uingereza huwa natumia hicho cha chini cha 16,500/= na ligi ikianza huwa nahamia hicho cha 85,000/=

Tunazungumzia mada A wewe unageuza kuwa mada B! Sishangai kwani wabongo wengi ndio tulivyo tunapokosa hoja! Hujaona kinacholalamikiwa kwenye hii post wewe? Soma tena!
 
Ukiwa Arusha, Moshi, Mwanza, Zanzibar etc kuna ckampuni huwa zinasambaza hizi huduma kwa cable na wana chenel nzuri tu. Kama ni EPL utafaidi sawa na mwenye DSTV.Cha kushangaza Dar sijawahi ona, sijui kwa nini? Nahisi kuna mkono wa kifisadi hapa

Mkuu Hata Hapa IRINGA MJINI Kuna Iringa Fible Network Wanasambaza Kwa Njia Za Nyaya Kwenye Mistimu ILA NDIO MIZINGUO TU
 
Back
Top Bottom