Kwanini DSTV ni ghali sana?

Kwanini DSTV ni ghali sana?

Unallia nini kikla. Mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake mbona hulalamiki bia maisha club inauzwa 5000 wakati kitaa ni 2500?? Kama huwezi hamia bongo muvi chanel jiunge library Mia 5 tu au hamia vibanda umiza ukishindwa kabisa uende baa sh 600 tu ya soda unaona mechi zootee
watu hawajui maana ya tofauti ya ubora hata hizo tv ziko za hata 10m
 
Naona DSTV sasa wanaanza kuuza visimbuzi vyao mpaka barabarani..
Na bado mtufate majumbani mgonge milango na kutuuliza kama tunataka huduma zenu...

Wekeni bei zinazoendana na hali halisi ya kimaisha muone kama hamjapata wateja wengi.

Sio ghali kama unaiweka.
Ukilipa ya elfu 20 unaona La Liga.
Gharama zao za installations nazo ziko chini tu.
 
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.
Explora sasa hivi unaweza kupata vifurushi vya kunzia compact, compact + na premium
 
Bado.sana watazunguka adi uchochoroni
Na vibajaji.vyenu lkn
Wasipo rekebisha punguzo la package kuanzia premium.watasubiri
Sana kupata wateja wengi

Watu wataendelea kutafuta option.zengine za bei.poa mfano.watu wasokA wengi wamekimbilia canal+ afrique.wanaona epl,la liga,uefa na matakataka mengi kwa sh elfu40 permonth all mechi japokuwa macomenta.ni lugha ya kifaransa tu watu washazoea naivi karibuni canal imereta decoder hd sasa jiulize kwa nn kamuni kama canal wana channel ka za dstv japo wao canal izo channelzipo ktk mfumo.wa lugha ya france na wanaonyesha ligi kama walizo.nazo.dstv mult juice lkn.inaonekana canal wako fair kuliko matapeli dstv apo.kuna kitu
Alafu kingine kinacho fanya nishangae kwa nnn Bein sport wenye rights nyingi duniani za ligi na michezo na ch za maaana za entertain tena kama zile bein mobies hd zinazo onyesha new movie kwa huaraks zaidi pale itapotoka aipiti mwezi waweze kuonyesha ivyo vitu vyote kwa dollar 180 kwa mwaka
Alafu awa wa roho dstv washindwe waafrica wabibafsi
 
Back
Top Bottom