Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 371
Akrrrrrrrrr! Ni wewe. Hata nikiangalia bar, chooni au msituni bado haibadilishi mada ya hii thread. Kila saa unalazimisha kusema ''nataka kila mtu akubaliane na mawazo yangu'' kumbe sivyo! Mimi nimeuliza tu swali: kwanini DSTV wanachaji gharama kubwa Tanzania kuliko South Africa kwa huduma ile ile? Tena kwa kutumia dola wakati nchi yetu tunatumia shilingi? Kama huna jibu la kuridhisha nenda sebuleni kashangae channels zao unazozisifia wacha wengine wajibu.
hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
He he he he Mzee wa "Exposure"
Bein Sport inapatikana wapi Kafiri Faby?
Utumwa kwako ni nini? Ni channels za TV kutoka nje? Pole sana! Back to the topic! DSTV wanawakamua makusudi watanzania. Nchi nyingi sana gharama za TV za kulipia ziko chini sana sana kulinganisha na Tanzania. Wewe pengine unapata fedha zako kwa njia ya mkato. Na inaonekana huna exposure ya kujua ni nini huduma za nchi nyingine kama hii hii ya DSTV zilivyo! Ndio maana umebaki kusifia DSTV. Kweli kipofu kaona mwezi. Jaribu kutembea uone ndugu yangu!
Nitembee kwenda wapi wakati maisha nayafurahia hapa hapa Bongo? Wewe uliyetembea umebaki na full stress za maisha ndio maana umebaki kulalama na vitu vidogo vidogo.Unashindwa kuona wizi mkubwa unaofanywa hapa Nchini unawatolea macho Multichoice wanaofanya ujasiriamali wao tena wala hujalazimishwa kutumia huduma zao? Hebu niende zangu kununua EXPROLA full HD! Kama vipi vimba mpaka upasuke,DSTV are here to stay! Mshweeeee!!!!Kabisa. Hata wewe unaweza kuwa mzee wa exposure na huo umbulula ukakutoka. Na usipumbazwe na channels za DSTV unashindwa hata kuona unavyoibiwa. Tembea uone wacha kujifungia uvunguni
Ndio maana nimesema wewe ni mbulula bin IQ seven. Kwani hao watu wanaotalii kila kukicha maisha hawayafurahii kwenye nchi zao? Mimi nalalamika kwa sababu nachukia wizi (uwe mkubwa au mdogo) na huwa sifumbii macho wizi wa aina yoyote! Kwa maoni yako (ulivyo mbulula) kama DSTV ni 1. Wajasirimali 2. wanafanya wizi mdogo mdogo 3. kuna wizi mkubwa serikalini... basi watu wakae kimya na tusiwaseme. Du ndugu yangu shule ulisomea wapi! Mwisho mimi sijakukataza kutumia huduma zao lakini wizi wao lazima tuuhoji.Nitembee kwenda wapi wakati maisha nayafurahia hapa hapa Bongo? Wewe uliyetembea umebaki na full stress za maisha ndio maana umebaki kulalama na vitu vidogo vidogo.Unashindwa kuona wizi mkubwa unaofanywa hapa Nchini unawatolea macho Multichoice wanaofanya ujasiriamali wao tena wala hujalazimishwa kutumia huduma zao? Hebu niende zangu kununua EXPROLA full HD! Kama vipi vimba mpaka upasuke,DSTV are here to stay! Mshweeeee!!!!
[h=1]Packages[/h]![]()
![]()
R 665.00
DStv Premium
Watch the latest blockbuster movies on 1 of 29 movie & entertainment channels including M-Net, M-Net Movies Premiere & M-Net Movies Showcase. Catch LIVE sport 24/7 on over 16 dedicated sports channels & access premium documentary, lifestyle, music, news & kiddies channels. DStv Premium offers all this & so much more. With an HD PVR decoder you get 14 HD channels.
View Package
View Package
![]()
R 399.00
DStv Extra
DStv Extra is for anyone who wants to enjoy great entertainment that offers great value. It has a variety of entertainment channels and value added services to suit every taste. This new package contains a number of channels not offered on the DStv Compact package such as: BBC Entertainment, Comedy Central, E! Entertainment, kykNET, Africa Magic Movies 1, FOX SD and more.
View Package
View Package
![]()
R 295.00
DStv Compact
Make your home the place to be with an unbelievable range of movies, sport, music, lifestyle, kiddies shows, religion and news. Bring home world-class channels as well as the best local channels and lots more.
View Package
View Package
![]()
R 185.00
DStv Family
The perfect selection of hot and happening channels. This option has Universal channel, Sony Max. Africa Magic Movies and more. DStv Family is tailored to suit your tastes.
View Package
View Package
![]()
R 99.00
DStv Access
With leading channels like Channel O, Magic World, AfricaMagic and BBC World News in the DStv Access Package, it's the affordable way to access a world of entertainment, music, news, religion and more.
View Package
View Package
![]()
R 29.00
DStv EasyView
An unbelievable start-up option. Get 16 channels for an affordable monthly subscription.
View Package
View Package
![]()
R 49.00
DStv Mobile
Get DStv anywhere, anytime on a compatible handset or with the new DStv Drifta.
View Package
View Package
![]()
R 297.70
DStv North Indian
Capture the ‘Spirit of India' on a choice of North Indian, South Indian or Combo North & South Indian packages.
View Package
View Package
![]()
R 225.80
DStv South Indian
Capture the ‘Spirit of India' on a choice of North Indian, South Indian or Combo North & South Indian packages.
View Package
View Package
![]()
R 523.50
DStv North & South Indian
Capture the ‘Spirit of India' on a choice of North Indian, South Indian or Combo North & South Indian packages.
View Package
View Package
![]()
R 297.70
DStv Portuguesa
A selection of channels specially packaged for the Portuguese community.
View Package
dstv wanyonyaji kama wanyonyaji wengine tukubali tukatae..maana hii nchi kila kitu kinageuza luxury ...kwaajili ya class fulani ..wakati simu zilipoingia issue ilikuwa hivi hivi...kwenye simu sasa wanatuumiza kwenye DATA huku ni balaa la wanajua watanzania wako desparate sana wanaona hawana pakusemea...
DSTV wamemonoply soko la paytv bongo simply ya haki mmiliki yakuonyesha soka kama EPL LA LIGA UCL etc...
nakuwa na tv content kama dsicovery,documentaries,histrory,na premium movies na music tunakubali kwamba wana quality nzuri kama wadau wanavyodai hapa...
jambo jingine wangestandardize bei ambayo inawezekana hasa kwenye mpira ambapo ndio wadau wengi wanaumia..
I wish Azam wapate haki mmiliki ya EPL tu halafu wachaji 50000 per month... (wakiweza kununua hii haki mmiliki) makaburu watashake kama kile kipindi cha gtv...
NYODO ya DSTV ni COORPARATE CUSTOMER hawa wanawalipa malipo kwa mwaka au mwezi sita.. hapo nyie wazee wakipato cha kati lazima mlie
CUSTOMER SERVICES MBOVU ... UNAPIGA SIMU UNALIPIA CUSTOMER SERVICES NA BADO HAWAPOKEI WANAKUSIKILIZISHA MUZIKI TUTAFIKA TU,, ANYWAYS....
DSTV ni habari nyingine! Acheni tu hawa jamaa wawe juu kwa malipo ya mwezi.
Hivi unahabari kuwa ile channel ya CI (170)kama sijakosea hawa jamaa wa DSTV wanailipia kwa mwezi TSHS million 47?
Sasa hapo hawajakuwekea malipo wanayolipia kuonyesha mechi moja ya premium league LIVE tena iwe big match like Arsenal na Man U...aise utakimbia yaani wanawalipa Sky sports ya UK zaidi ya TSHS million 70 kwa kuonyesha hiyo mechi.
Umegonga Ikulu Mkuu.. Huyu Mzee ana mkono pale DSTV.. Ila wapunguze kidogo gharama zao.. Halafu waondoe haya malipo ya in terms of dollar.. Hii ndo inaumiza sana.. Wanaweka rate kubwa halafu.. Imagine rate yao kwa karibia mwaka sasa ni dola 1 kwa TShs. 1687.5..!
naomba ufafanuz wa huyo mzee mkuu
Ami Mpungwe
Ami Mpungwe was Tanzanias first High Commissioner to South Africa in 1994, capping a distinguished career Tanzanias diplomatic service. He was instrumental in attracting a large volume of foreign direct investment from South Africa into Tanzania in the mining, telecoms, retail and financial services sectors and continues to be highly sought after as an advisor to government and the private sector on investment policy. Ambassador Mpungwe holds Directorships in several companies including mining, banking, shipping, manufacturing and insurance. He is the current Chairman of the Tanzania Chamber of Minerals and Energy.
Tatzo wa2 mnatak kulinganisha chui na paka..yaan mnalinganisha nchi zlizowapita kmaendleo kam south na Tz..mfano bei ya iPhone 5 south ni kam laki 9 had 1.M kwa apple agent ila apa bongo ni milion 1.2 na 50 kwa apple agent..uchumi wetu haujafika uko mtakapo wajomba acheni siasa bna..kodi yetu bdo ni tegemeo kubwa la serikali
nakubaliana na ww mkuu ...ndo maana niliuliza swali humu kwann ITV waliacha kuonyesha champions league au dtv enz walikuwa wanaonyesha premier league hii yote ts bcoz ya gharama ya kuonyesha hizo mechi....lets jst let dstv iwe DSTV great entertainment ya kutosha
Changamsha bongo yako ktk issues kama hizi kwanini DSTV ina haki ya kuonyesha hizo Ligi na bado inatumia nguvu za pesa kuhakikishaTaasisi kama TCRA inazizua Tv stations nyingine zisionyeshe hizo Ligi hata kama wanarusha kupitia Tv washirika wengine. Ni rushwa tu na umasikini na ujinga wa watawala wetu wakiungwa mkono na mtu kama wewe.
Kijana umesoma uchumi wapi? Mbona unatia aibu? Mtanzania analipia bei kubwa kwasababu ya Wizi unaofanywa na Wafanyabiashara kama hawa unaowatetea.
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.