hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
King'amuzi 1mil?? Duuuuuuu ndio maana ufisadi hauishi tz.
na bado
King'amuzi 1mil?? Duuuuuuu ndio maana ufisadi hauishi tz.
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.
Bei zipo juu kwa kuwa raw materials zao ni ghali pia. Kupata haki ya kuonyesha La liga,EPL,Sirie A etc ni gharama kubwa sana,so ili wajiendeshe sufficiently ni lazima watoze gharama za juu,hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
Explora haifiki millioni, tumefunga kwa mzee juzi 720,000 Total, dish, explora na installation.
Bei zipo juu kwa kuwa raw materials zao ni ghali pia. Kupata haki ya kuonyesha La liga,EPL,Sirie A etc ni gharama kubwa sana,so ili wajiendeshe sufficiently ni lazima watoze gharama za juu,
Siyo kweli,niliwahi kuangalizia mpira Nairobi kwa rafiki yangu,bei ni zile zile. Kumbuka pia thamani ya pesa inatofautiana kwa nchi tofauti,Mbona nchi zingine za africa gharama zipo chini ? Au tz shamba la bibi ?
Siyo kweli,niliwahi kuangalizia mpira Nairobi kwa rafiki yangu,bei ni zile zile. Kumbuka pia thamani ya pesa inatofautiana kwa nchi tofauti,
Usiwatetee...bei zao ziko juu...na haziko fixed kila mda zinapanda.. ghali sana kwa mtanzania ambaye si FISADI
huyu nae wawapi tena.
huyu nae wawapi tena.
Bei zipo juu kwa kuwa raw materials zao ni ghali pia. Kupata haki ya kuonyesha La liga,EPL,Sirie A etc ni gharama kubwa sana,so ili wajiendeshe sufficiently ni lazima watoze gharama za juu,
kwa anayejua nikweli DSTV wamepunguza gharama yavifurushi vyao hadi chachini kabisa kufikia elfu50?kwamwenyekujua Msaada Tafadhali.
Nunua startimes decoder kwa shs.4,000/= pamoja na kifurushi kikiwa kimeungwa tayari.