cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
Mkuu Dstv unaujua kweli au unadithiwa?
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
Dah !!! Kama ni kweli southafrica dstv wanachaji dola 30 na sisi huku dola 78 sio haki kabisa....😡
Wabongo tuna matatizo kweli,yaani mnataka kulipia subscription ya Premium kwa 50,000.Kwa nini hamlalamiki local channel zina vipindi vibovu mpaka mnashindwa kuangalia.Mimi nina DSTV nalipia Access 17,000 na baadhi ya miezi michache nalipia Compact Plus kwa ajili ya mpira below comfotable kabisa na huduma zao
Mkuu kuna vitu vingine hapa duniani vipo kwa ajili ya wenye fedha, DSTV ni mojawapo. Jamaa wale wapo kwa ajili ya ku-entartain watu wa kipato cha juu. Huduma zao ni bora hakuna mfano! Ukipata fedha tuonane multichoice.
Mkuu nahisi wewe una chembechembe za damu ya DSTV .... au una hisa hapo :sly:
DSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia japo ndio hivyo kununua hiyo decoder na kufugiwa ni 1,000,0000 tsh na malipo ya mwezi kwa premium ni 159,000 tsh but uta enjoy sana na features zilizopo humo.
Hawa jamaa ni wezi sana!
Wajinga ndio waliwao, wanashirikiana Na baadhi ya viongozi kuibia wananchi kwa kisingizio cha biashara huria!
Just imagine hata south Africa kwenyewe ambao wao wana pato kubwa kuliko watanzania malipo Yao ni madogo ukilinganisha Na Tanzania;
Mfano Premium package south Africa Na rand 665 Sawa Na dola za marekani 62!
Watanzania acheni ushamba na ulimbukeni! Unashangalia kukamuliwa? Au hizo fedha zako unazipata kwa wizi na hazina jasho? Nchi nyingi kabisa channels za kulipia ni rahisi kabisa. Na tena zina vikombolozwe vingi mpaka 3D channels. Ni Tanzanaia tu makaburu wameona umbulula wetu wakaamua kufanya watakavyo!
Mkuu when it comes to reality unakubaliana na hali ilivyo unless otherwise you have the way to change that. Kama huwezi kubadili mfumo then kubaliana nao . Mbona umeme uli panda bei hapa mwanzoni mwa mwaka tukalalamika lakini hakuna lililofanyika na ni ndani ya nchi hii hii. So hata Kama hiyo Pesa ni kubwa hakuna cha kufanya unless you can help us rectify it tutashukuru sana.
Sent from my iPad using JamiiForums
Sent from my iPad using JamiiForums
Hapana, sikubaliani na wewe mkuu. Hiyo sio ''reality'' bali ni ''acting''. Sasa hivi ukienda kwenye website ya DSTV South Africa utakuta bei zao ziko chini kabisa. Hiyo ndio reality na sio vingine. Acha mawazo ya enzi za mawe mtu ana chawa mwili mzima na anakubaliana ha hali.....
Tunaomba tumegee na cc wengine huo ujanja Queen.
Dah !!! Kama ni kweli southafrica dstv wanachaji dola 30 na sisi huku dola 78 sio haki kabisa....😡
Gap sio dunian tu ata mbingun kuna magap..ila ww mtoto wa kiume uskubali kumkubali mwenzio ana pesa ata ww ukihustle kiukweli utazpata 2