Kuna topic iliwahi kuwekwa humu juu ya gharama kubwa wanayotoza hawa DSTV kwa package zake. Nafikiri ni kwa kuwa hawana mshindani. Otherwise hizo gharama haziko justified. Kule North Africa na middle East wanatumia Eljazeera Sports siku hizi inaitwa "be in sports" malipo ni dola 12 kwa mwezi na wanaonyesha channel zile zile za mpira na michezo mingine. Kwa nini hapa kwetu iwe zaidi ya dola 70?
Tiba
kawaulize TCRA ndo utajua kwann dstv gharama...