Kwanini Bado una namba ya EX wako?

takataka🚮
 
Mimi Nina ma- ex zaidi ya 25.
Lakini Nina number za ma- ex kadhaa kwenye simu yangu kwa sababu hao nawachukulia kama okoa jahazi.

Yaani simu moja tu ex huyu hapa tunapasha kiporo afu kila mtu anarudi kuendelea na hamsini zake.
 
Wakikupa gono ipo siku utatuliza kikojoleo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…