Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maswali yako yamenichekesha Sana ka sio kunifuraisha ni Kama kwenye kuchagua kiatu, unatafta size yako kikiwa kikubwa unakiacha au kidogo na kinachokubana. So I mean ukiona mtu ana blame jinsia flani ujui kitu ana Cho date sio size yake
Gari haichagui driver,....... Driver ndie anachagua gari...... Thats why u show features we pay to own them......
 
Feminists wa nje nawakubali sana, wanapigania haki za msingi. Kwa mfano Iran kuna gaming stations ambazo ni wanaume tu wanaingia ila wa kike akitia mguu anapigwa ajabu na police anasimama pembeni wala hafanyi kitu. Njoo Bongo uone feminists wanachopigania [emoji23] [emoji23]
Wanapigania kudanga
 
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
Unajivunia kutoka na wanaume. Hii inamaanisha hujaumbwa kwa mwanaume bali wanaume
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wenzako wanaonilewa hunililia machozi maana ni wanaume wenye big heart na size yangu tunaelewana, our chemistry is everything so find a perfect combination
We ni muongo dear....... The way una project attributes zako mwanaume ambae atakubali kuwa na mahusiano ya utulivu na wewe ni aidha side sude, au mume wa mtu.....
 
Bado levels za maisha zinatofautiana sana, wakati wapo hawakumbuki kubeba ndoo kwénda bafuni na sio bafuni tu hata kuchota maji nje, bado wapo tunaooga kwenye bafu/vyoo vya passport size.

Kumbuka bado rate ya umasikini ipo juu sana pamoja na kuwa "uchumi wa kati-chini"!!!
Hiyo si point.
Point mabadiliko ya maisha.
Kuwekewa maji bafuni si sheri jamani.
 
Ukiona Hadi leo 10.08.2020 Kuna mwanaume anapelekewa maji bafuni amini kbs naye ni maskini tu Kama maskini wengine!
Mie nilikua utaongelea habari za mwanamke akimiliki ardhi aandike na jina la mumewe[emoji14][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeshangaa Sana kwa kweli nibebe maji kwenye ndoo ili iweje jamani
 
Owongooooo kweupeeeee...
Kwanza utakiwa ujue tofauti ya mwana_ mke na Mwana_mme..kila mmoja anakazi zake..mwanaume the head of the family yaani ni decision maker..ipo na itakua hivyo mpaka mwisho wa dunia...
Na kila mwana_mme anaijua saize yake..yaani anajua huyu atasikia huyu hapana..sasa ww ni mkulima wa mbiga huko unamahela yako then untaka kuoa Sepetu..hapo tunasema maji yatazidi unga..
So kila mwanaume anaowa wa size yake na ukizingatia wapo wachache basi hao wasanii na wanao jua sana watabaki angani tu
Hyo bilogical difference Kati ya me na ke inajulikana kabisa hapa tunaongelea kuhusa fursa mbalimbali za kijamii, na pia kwenye life kila mtu na size yake ka ilivo kuvaa nguo
 
We ni muongo dear....... The way una project attributes zako mwanaume ambae atakubali kuwa na mahusiano ya utulivu na wewe ni aidha side sude, au mume wa mtu.....
Ninaye wangu anipendaye kwa dhati na hunililia Hadi machozi so kila mtu hupata wa type yake mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]povu la Nini Mimi mtu ajibu hoja sio matusi, kwanini wanaume dhaifu hukimbilia matusi. Naomba ujibu hoja yangu baada ya matusi
Ni mpango wa Mungu mwanaume kutawala kwa hiyo unapoteza muda kumquestion mwanaume badala ya Mwenyezi Mungu
 
Fanya tumtafute basi,....
Hahaahaa!!! Unajua huyo dada miaka kibao sana sijamsikia, post yako ikanishawishi nim-Google nione kama amesha-surrender na zile harakati zake ilikuwa ni kwa ajili ya kazi tu, au bado yumo!!! Ukiangalia blog yake, unaona huyu mama kuwa alikuwa anasimamia anachokiamini bila kujali kama wengine tutaona she's right or wrong!!
 
Unajaribu kujenga hoja but in reality bado haujafaulu kuileta katika uhalisia..... Upo kinadharia sana.
That's my opinions whether you like it or not my dear it's not my responsibility to force you or impress you
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom