cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasiWewe unafaa kuolewa na mwanaume mwenye element za kike la sivyo utakuwa unachezea mabanzi kila siku.