Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Hakuna makubwa yanayozidi mtoto wa kike kuwa na mji wake kuolewa,ukizeeka ndio utajua maana yake
 
Kila mtu hupata size ya mtu wanayeendana naye maono kufikia malengo yao it's about chemistry na sio vile you don't believe on something basi wote wasipate kitu flani.
Kuna watu Wana Imani flani they they can meet and enjoy the life, shida Ni pale uwe na mtu hamuendani kimitazamo na kifikra lazima mahusiano hayo yawe hell on earth
Yeah... kama hii imani ya mtoa mada
 
That's according to ur perceptions and ur thinking capacity
Lazima ukubali unashida kwasababu ni Hatari Kama haujali wengine wanachofikiria.Sababu binadamu hayupo perfect . . .

Sasa Kama ukiwa na mtazamo wako halafu ukiwa sio sahihi. Hutasikiliza la mtu.

Kwa ufupi mtu wa namna yako hapaswi kuaminiwa.

Labda Kama ulisema hivyo kwa sababu ya hisia tu na kuijaribu kutetea hoja zako. Na sio kwamba unamaanisha na unaamini.

Ila Kama ni kweli unamaanisha, Basi itanifanya niamini feminist sio right company. Na wanao ishi nao wanashida ,, au wana"interest" zao
 
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.

Mentality yao siku zote ni kuwa wanaonewa na wanume,hata pale wanapokosea siyo rahisi kukubali kukosolewa.so huwa tunawaacha waendelee kuenjoy uhuru wao.Sababu wapo wanawake wengine wanyenyekevu na ambao wanafaa zaidi yao na ni wazuri pia.Nadhani hakuna tatizo hapo.Wanaume ni waelewa sana siku zote.na kama ulishao ukagundua mkeo ni feminist kwako,hapo ndiyo ugonjwa wa moyo kwa msongo wa mawazo,viharusi n.k. wengine uvumilivu huwashinda na huamua kuachana,ijapo hiyo siyo vizuri
 
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Unajua, haya majibu ya UNDER 27.... above 30 wenye mitazamo hii ni wale waliokata tamaa... time will tell
 
Hahaaa wanaume humu Mambo mengi hawaelewi even the concept of feminism.
Sasa dunia hii mtu unabebaje maji kwenye ndoo
Nadhani wewe ndie una lack the pure concept ya feminism. Sababu pure feminism inasapotiwa na wanaume wa kisasa na kupingwa na wale wanaume wa miaka ile ambao wanataka mwanamke awe slave wa nyumba.

Sio wanaume wa sasa tunaotaka mwanamke ambaye ana assume majukumu yake kwa 100%.....
 
Mama yangu??? Anahusikaje kwenye comment yangu?? Anyway sikufaham ila Ningekua nakufaham ningekutafuta popote pale na kukutembezea kichapo
Nyie ndo aina za wanawake wale waliojazwa mimba na kutelekezwa haf mnakuja hapa eti Ni feminists bahati mbaya Mimi ni miongoni mwa wale mwanaume wenye mifumo dume haswaa ukiniletea za kuleta unakula mkong'oto wa kutosha so usizoee kabisa kuongelea suala la Mama yangu umeniharbia siku tayari
[emoji23][emoji23][emoji23] hii comment yako imenichekesha Hadi machozi.
Hata ungekuwa unanifahamu huna Cha kunifanya mkuu, kwahyo ulivosema nikutumie picha yangu ulijua Mimi Ni tangazo had nikutumie au ulifikiria Mimi Ni mtu nisiyejielewa humu JF. Nilichokijibu was right kabisa kumbe usiyotaka kufanyiwa usimfanyie wengine, ka unavo mpenda mamako waheshimu pia wanawake wengine.
NB: hata Mimi ningekutama na wewe ningekupiga mpaka uchakae[emoji23][emoji23] tuone Nani zaidi
 
Inategemea na mji ulipo.... Kama unaishi nje ya mji huko na nyumba hata haina mfumo wa maji lazima utateka maji na kubeba kwa kichwa.
Mambo ya kuteka maji hayana nafasi kwangu Sasa hivi Tanzania tumeingia uchumi wa Kati na mindoo tupa kule
 
Nadhani wewe ndie una lack the pure concept ya feminism. Sababu pure feminism inasapotiwa na wanaume wa kisasa na kupingwa na wale wanaume wa miaka ile ambao wanataka mwanamke awe slave wa nyumba.

Sio wanaume wa sasa tunaotaka mwanamke ambaye ana assume majukumu yake kwa 100%.....
Yani wanawake tuwajibike huku nyie wanaume hamuwajibiki kwa lolote halafu tuwaache tu hivi hivi, mhhh
 
Feminism inatafsiriwa vibaya sana, maana mtu wa jinsia yoyote ile anaweza akawa ni Feminist. Bahati mbaya sana wanawake wengi wanaofuata hii falsafa hawafahamu hata undani wake ukoje. Kuwa muhanga wa unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hakukufanyi kuwa Feminist. Mimi binafsi ni muumini mzuri kabisa wa Falsafa ya Feminism: Naamini inaweza kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii nzima.

Sasa huwa tunachanganya mambo: Kuna wale wanawake wenye hasira ya maisha na wamekata tamaa na kuaamua kuwa na hasira ya kushambulia jinsia ya kiume ndiyo huwa wanajiita Feminist au tunawaita ni Feminists (This is very Incorrect). Mtu kazalishwa na mwanaume huko na akaachwa ,akaanza kuwa na hasira na wanaume wote anajiita Feminist AU mtu kalelewa na baba aliyemfanyia ukatili utotoni sasa amekuwa anachukia wanaume anajiita Feminist.

Inabidi tukae tufundishane nini maana ya Feminism: Maana wanawake wengi ambao wana kazi nzuri, elimu nzuri na kipato kikubwa (Independent Women) hujidhania kuwa wao ni Feminists. Hawa humu jukwaani ndiyo wako wengi mno na wanakera sana.

Nijuavyo mimi Falsafa ya Feminism ni zaidi ya mwanamke kuelimika au kuwa na pesa ili kupambana na jinsia ya kiume ambayo wengi hudhani ni kandamizi kiasili (Repressive and Evil in Nature). Pia ndani ya Falsafa ya Feminism kuna makundi makubwa mawili ambayo ni Radical Feminists na Moderate Feminists: Ukiwauliza hawa wanaojiita Feminists wako kwenye kundi gani hawawezi kukupa majibu, hata wewe mtoa mada Sheillah Sheillah huwezi kunipa jawabu.

NB: Hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambaye atamchukia mwanamke Feminist. Ila tu huwa tunachukia wale wanawake wenye hasira na jinsia ya kiume kwasababu zao binafsi halafu wanavaa sura ya Feminism. Wengi wenu ni akili fupi sana na mnatukera sana(Wanaume na wanawake tunaofahamu haswa nini maana ya Feminism)
Hii comment ilitakiwa kuwa ya kwanza kabisa kabla ya zote. Ingesaidia sana kutoa mwanga kwa wanawake wanaoropoka hapa ndani.

Umeongea hoja za msingi. Na atakae kubishia aidha mwanamke au mwanaume basi ana matatizo ya akili na hakuna atakachoelewa.....
 
Unajua, haya majibu ya UNDER 27.... above 30 wenye mitazamo hii ni wale waliokata tamaa... time will tell
Wala haihusiani na kukata tamaa, it's about reality sijui kwanini wanaume hamukubali huu ukweli mnakuja na blah blah nyingi hivi
 
Dah! Mi sijui bhana lakini binafsi, mwanamke wa "hewala baba..." simpendi hata kidogo!!! Yaani mi wanawake aina ya Fatma Karume ndo huwa wananitia nyege kweli kweli kuliko wanawake aina ya Mama Samia Suluhu!

Raha ya demu, muwe mnabishana... tena mwanamke wa aina hii unadumu nae kweli kweli! Ukiniuliza my ex ambae hadi leo sijamsahau ni yule niliyekuwa nae college manake hadi classmates walikuwa wanashangaa nawezana wezana nae vp... kwanza alikuwa hapendi kuonewa no matter what!!

Haki tena, I miss her pamoja na kwamba miaka kadhaa imepita!!!
Kama sio mwanamke wewe basi ni mwanaume uliepoa..... Sio kosa lako..... Umepewa ududu kama kitu cha kukusaidia kutoa taka mwili au mkojo ila sio kwa ile kazi original.
 
Kimahaba anaweka ila kwa amri sidhani!
Nawe unamuwekea?

Sina tatizo na wapenzi/ wenza kufanyiana mambo mazuri mazuri ya kimahaba.

Tatizo ni kuwa na matarajio kuwa mmoja wenu ana wajibu wa kumtumikia mwenzake kama mtumwa.

Jibaba zima na misuli yako hata maji huwezi kujiwekea bafuni? Aibu!!

Kama hilo tu huwezi, kuoga mwenyewe utaweza kweli?

Au napo utasubiri uogeshwe?
 
Lazima ukubali unashida kwasababu ni Hatari Kama haujali wengine wanachofikiria.Sababu binadamu hayupo perfect . . .

Sasa Kama ukiwa na mtazamo wako halafu ukiwa sio sahihi. Hutasikiliza la mtu.

Kwa ufupi mtu wa namna yako hapaswi kuaminiwa.

Labda Kama ulisema hivyo kwa sababu ya hisia tu na kuijaribu kutetea hoja zako. Na sio kwamba unamaanisha na unaamini.

Ila Kama ni kweli unamaanisha, Basi itanifanya niamini feminist sio right company. Na wanao ishi nao wanashida ,, au wana"interest" zao
Feminism movement haihusiani na hizo hisia au mtu unachoamini, hebu msome kwanza hyo concept ilivo na muelewe kuliko kuchukia kitu kwa kudaganyana wanaume huko, maana Watanzania huwa hawapendi kusoma viti wao ni kudaganywa na kuchukia Jambo bila kufanya utafiti.
Halafu kwanini nijali wengine wanachonifikiria wakati Mimi Niko responsible na halmashauri yangu ya kichwa, Mimi Ni Mimi na wengine ni wengine kwanini ni fake.
 
Nawe unamuwekea?

Sina tatizo na wapenzi/ wenza kufanyiana mambo mazuri mazuri ya kimahaba.

Tatizo ni kuwa na matarajio kuwa mmoja wenu ana wajibu wa kumtumikia mwenzake kama mtumwa.

Jibaba zima na misuli yako hata maji huwezi kujiwekea bafuni? Aibu!!

Kama hilo tu huwezi, kuoga mwenyewe utaweza kweli?

Au napo utasubiri uogeshwe?
Akiii mwenzangu ata kujifunika shuka mwenyewe haezi adi afunikwe!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom