Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Owongooooo kweupeeeee...
Kwanza utakiwa ujue tofauti ya mwana_ mke na Mwana_mme..kila mmoja anakazi zake..mwanaume the head of the family yaani ni decision maker..ipo na itakua hivyo mpaka mwisho wa dunia...
Na kila mwana_mme anaijua saize yake..yaani anajua huyu atasikia huyu hapana..sasa ww ni mkulima wa mbiga huko unamahela yako then untaka kuoa Sepetu..hapo tunasema maji yatazidi unga..
So kila mwanaume anaowa wa size yake na ukizingatia wapo wachache basi hao wasanii na wanao jua sana watabaki angani tu
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Si unaona........

Am telling you. You have issues..... In fact we ni sadist in nature.... Check with yourself. U can't hide it ujue....
 
Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Vipi ambao wameolewa na wamefanya makubwa....... Dont be naive
 
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
Unajaribu kujenga hoja but in reality bado haujafaulu kuileta katika uhalisia..... Upo kinadharia sana.
 
Wanaume waoga na wasiojiamini ndio hupenda wanawake wawe chini. Inshort hao Ni insecure people wanaamini ili wawe wanaume kamili lazima wamnyanyase mwanamke, pia Mila na desturi nyingi bado ni tatizo hasa Africa.
Usipokua makini utaolewa na mganga wa Hadi ukishikilia misimamo ya haki sawa
 
Bora tu inipige chenga Mimi naishi ninavojiskia mkuu, hata dunia nzima ikiwa against me I don't care na hivi sijali mtu kunipa furaha ndio kabisa
Hizi kauli nilishawahi kuzisikia sana kipindi cha nyuma wahusika waliozisema hivi sasa sijui hata wametoa wapi hekima ila kwa kifupi hauko pekee yako wa mwenendo huo.
 
Si unaona........

Am telling you. You have issues..... In fact we ni sadist in nature.... Check with yourself. U can't hide it ujue....
Hyo sadist ni yako mkuu ur trying hard to project to me, I'm okay heal urself first before pointing ur finger to me.
By the way that's my opinions and I'm entitled to it.
 
Wanawake ni wazuri sana kusimamia na kuepusha ajali kwa familia zao na mataifa yao lakini sio familia za wenzao na mataifa ya wenzao!
Siku dunia ikiwa taifa moja hapo sawa kumpa mwanamke madaraka yale ya juu kabisa ila sio sasa mataifa na falme nyingi kuna kutoelewana.
Fikiria ukute rais wa jirani ni mwanamke na huku nchini kwetu ukute ni mwanamke alafu kuwe na chuki kati yao! Amini nakwambia vita lazima iibuke tu hata Yesu aje kuwapatanisha sio rahisi[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ahueni tunayoiona duniani leo ni matokeo ya vifua na makoromeo ya wanaume sababu ungekuta ni wanawake wanatawala wangeshaangamizana kitambo sana.
Hayo mataifa yanayo propagate feminism hadi leo hajathubutu mpatia mamlaka makuu mwanamke.....
 
Ndio mahusiano ni 50/50 ili kila mtu a fit Sasa mahusiano mengine kichomi, you have someone draining ur energy. Mahusiano mazuri ni Yale kila mtu ana gain kutoka kwa mwenzake
Sasa mbona upo kwenye logic kisha unabatilisha hiyo logic na maneno yako ya tambo?!

Hebu tupe maelezo ya kina juu ya hiyo 50/50
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom