Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
50-50 inaua mahusiano mengi, dhana ya 50-50 ni nadharia tu, reality ni kuwa lazima mwanaume amtawale mwanamke, not necessarily harsh lakini kichwa cha nyumba ni mwanaume. Sasa hawa wanaokuja na hizi nadharia wanafanya maisha yawe magumu.
Tatizo wanaume wengi wanachukulia huko kutawala Kama advantage ya kuwanyanyasa wake zao.
Hawajui kama kuna kutawala kwa namna nzuri..
Inabidi kwanza wakajifunze maandiko ,walisema watakuwa kichwa Cha familia Kama kristo alivyo kichwa Cha kanisa..
Je! Hawa wanaume wetu ni vichwa wa namna hiyo??
Ndiyo maana wadada wamejikuta wanahsindwa kuvumilia manyanyaso na kuamua kupaza sauti.
 
Siwezi kutuma picha yangu, unataka uifanyie Nini, ka wataka picha muombe hata mamako akutimie
 
Tatizo wanaume wengi wanachukulia huko kutawala Kama advantage ya kuwanyanyasa wake zao.
Hawajui kama kuna kutawala kwa namna nzuri..
Inabidi kwanza wakajifunze maandiko ,walisema watakuwa kichwa Cha familia Kama kristo alivyo kichwa Cha kanisa..
Je! Hawa wanaume wetu ni vichwa wa namna hiyo??
Ndiyo maana wadada wamejikuta wanahsindwa kuvumilia manyanyaso na kuamua kupaza sauti.
Wanaume tunakosea katika hilo, kutawala hakumaanishi dictatorship, kutawala kwa maana ya kuongoza familia is what i'm all about.

Sasa tuje kwenye kutawala na kutawaliwa, mwanaume anaongoza familia lakini je mwanamke yupo tayari kuongozwa? Mwanamke aliongozwa sana kipindi hakukuwa na fursa sawa kwa wote baada ya mwanamke kuwa huru financially, hapo ndipo mambo yalipoanza kuharibika.

Kila mtu atambue nafasi yake ili maisha yaende.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ni wewe mwenyewe ulisema vimegunduliwa na wanaume, nikakwambia vitu vingi tunavotumia Africa and third world countries vimetengenezwa na wanaume wa dunia ya kwanza kwahyo wote ni wanawake[emoji23][emoji23][emoji23] Yale Yale ya muondelezo wa dharau Hadi ukajidharau mwenyewe kwa povu lako mwenyewe.
Hafu leo unafoka sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Bado levels za maisha zinatofautiana sana, wakati wapo hawakumbuki kubeba ndoo kwénda bafuni na sio bafuni tu hata kuchota maji nje, bado wapo tunaooga kwenye bafu/vyoo vya passport size.

Kumbuka bado rate ya umasikini ipo juu sana pamoja na kuwa "uchumi wa kati-chini"!!!
Mulezee mkuu anadhani watu wote wanaishi mikocheni labda.Ungehudhulia Maonesho ya kitaifa ya nanenane nyakabindi Bariadi mtu anaenda kwenye maonesho ananunua Chinees ili asirejee mikono mitupu
 
Wanaume tunakosea katika hilo, kutawala hakumaanishi dictatorship, kutawala kwa maana ya kuongoza familia is what i'm all about.

Sasa tuje kwenye kutawala na kutawaliwa, mwanaume anaongoza familia lakini je mwanamke yupo tayari kuongozwa? Mwanamke aliongozwa sana kipindi hakukuwa na fursa sawa kwa wote baada ya mwanamke kuwa huru financially, hapo ndipo mambo yalipoanza kuharibika.

Kila mtu atambue nafasi yake ili maisha yaende.
Mwanamke hakubali kuongozwa kivipi?
Halafu huwa mnataka mfanyiwe nini ili mjue Kama mmeongoza?

Wanaume wengi Wana inferiority complex tu ,yaani wanaanza kutengeneza hofu mapema kwamba mkewe akifanya kazi anaogopa atambadili nafasi Yake.
Sasa hii imepelekea hata maswala madogo tu yakitokea katika ndoa,wanaume wanaanza kuingizia hiyo feminism na wakati ni mambo ya kibinadamu tu ambayo hata wanawake wasiokuwa na fursa ya kufanya kazi wanaweza kuyafanya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom