cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
I know a lot about feminism, Ila hicho kitabu ni kirahisi hasa kwa mada za humu JF vile watu hawajui chochote.Kwahiyo Chimamanda Adichie ndiyo rejea yako katika kuelezea kuhusu Feminism ???
I know a lot about feminism, Ila hicho kitabu ni kirahisi hasa kwa mada za humu JF vile watu hawajui chochote.Kwahiyo Chimamanda Adichie ndiyo rejea yako katika kuelezea kuhusu Feminism ???
Kwa huo ubishi inaonekana uko vizuri Sana kitandaniHahaaa Mimi sizai bila mpango aisee na Niko makini na Mambo yangu, nitazaa nikitaka na sio Mwanaume akitaka
Shida kubwa wanaharibu utamaduni, mila na desturi. Haiwezekani dunia nzima ikaishi kwa tamaduni za marekani au chinaHabari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Kabisa, it's all about taste... ndo vile wakati wengine wanaona wanawake wazuri kwao ni wale wa hewala hewala, sie wengine wa aina hiyo tunajionea taabu tu!That's my Chige umeelezea vizuri kabisa, kila watu huwa na taste na watu wa aina flani flani hivi
Yaani hapo hujawajibu kwa matusi ila wamefura hasiraMy dear huku shatukanwa matusi yote na wameanza ramli chonganyishi mapema kabisa, wanaume wa sikuhizi tuwaanzishie empowerment yao maana wanapotea mapema mno.
Mimi sio feminist Ni mtu wa kawaida tu mpinga maovu kwenye jamii, nasimamia haki za wote regardless of gender race, age, watoto na kila mtu. So kitu kisipokuwa sawa nitakisema tu.Nini maana ya ufeministi ???
Wewe ni mfeministi ???
Hao wanaume unao wangapi mamaHajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23]haku Mimi siji popote mieKwa huo ubishi inaonekana uko vizuri Sana kitandani
Njoo pm
Pesa ipo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] nipe contact[emoji23][emoji23][emoji23]haku Mimi siji popote mie
Uko sahihi kabisa kila mtu atafte taste zake ale maisha, shida Ni mtu hapendi taste flani then anaanza kushambulia taste za wengineKabisa, it's all about taste... ndo vile wakati wengine wanaona wanawake wazuri kwao ni wale wa hewala hewala, sie wengine wa aina hiyo tunajionea taabu tu!
Hapana I don't have contact
Si uzisimamie bila kuwa na mwanaume..!!Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
That's my brother from another madha!!Feminism inatafsiriwa vibaya sana, maana mtu wa jinsia yoyote ile anaweza akawa ni Feminist. Bahati mbaya sana wanawake wengi wanaofuata hii falsafa hawafahamu hata undani wake ukoje. Kuwa muhanga wa unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hakukufanyi kuwa Feminist. Mimi binafsi ni muumini mzuri kabisa wa Falsafa ya Feminism: Naamini inaweza kuleta mabadiliko chanya ndani ya jamii nzima.
Sasa huwa tunachanganya mambo: Kuna wale wanawake wenye hasira ya maisha na wamekata tamaa na kuaamua kuwa na hasira ya kushambulia jinsia ya kiume ndiyo huwa wanajiita Feminist au tunawaita ni Feminists (This is very Incorrect). Mtu kazalishwa na mwanaume huko na akaachwa ,akaanza kuwa na hasira na wanaume wote anajiita Feminist AU mtu kalelewa na baba aliyemfanyia ukatili utotoni sasa amekuwa anachukia wanaume anajiita Feminist.
Inabidi tukae tufundishane nini maana ya Feminism: Maana wanawake wengi ambao wana kazi nzuri, elimu nzuri na kipato kikubwa (Independent Women) hujidhania kuwa wao ni Feminists. Hawa humu jukwaani ndiyo wako wengi mno na wanakera sana.
Nijuavyo mimi Falsafa ya Feminism ni zaidi ya mwanamke kuelimika au kuwa na pesa ili kupambana na jinsia ya kiume ambayo ni kandamizi kiasili (Evil in Nature). Pia ndani ya Falsafa ya Feminism kuna makundi makubwa mawili ambayo ni Radical Feminists na Moderate Feminists: Ukiwauliza hawa wanaojiita Feminists wako kwenye kundi gani hawawezi kukupa majibu, hata wewe mtoa mada Sheillah Sheillah huwezi kunipa jawabu.
NB: Hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambaye atamchukia mwanamke Feminist. Ila tu huwa tunachukia wale wanawake wenye hasira na jinsia ya kiume kwasababu zao binafsi halafu wanavaa sura ya Feminism. Wengi wenu ni akili fupi sana na mnatukera sana(Wanaume na wanawake tunaofahamu haswa nini maana ya Feminism)
Kwahiyo hao wanaume wote unaokutanaga nao unawatestigi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maswali yako yamenichekesha Sana ka sio kunifuraisha ni Kama kwenye kuchagua kiatu, unatafta size yako kikiwa kikubwa unakiacha au kidogo na kinachokubana. So I mean ukiona mtu ana blame jinsia flani ujui kitu ana Cho date sio size yake
Feminist kwenye faida tu?? Mbona mengine ya usawa hamuyataki.Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Bora tu inipige chenga Mimi naishi ninavojiskia mkuu, hata dunia nzima ikiwa against me I don't care na hivi sijali mtu kunipa furaha ndio kabisa
I[ QUOTE]
Mkuu nakuona ulivyo feminist unajitetea ndi ila pengine unachokitetea hakipo ktk uhalisia emb nitumie picha yako ili nikupime uko kundi gan
You have a point, but....Hata nikizeeka Kuna shida nilizaliwa kufanya makubwa zaidi kuliko kufanya vitu visivo happy, Kuna watu wameoa, olewa with nothing to show zaidi ya viungo vya uzazi ambavyo kila mtu anacho.
So depending na uelewa wa mtu na mipango yake
Bado levels za maisha zinatofautiana sana, wakati wapo hawakumbuki kubeba ndoo kwénda bafuni na sio bafuni tu hata kuchota maji nje, bado wapo tunaooga kwenye bafu/vyoo vya passport size.Hivi bado kuna kuwekeaana maji bafuni?
Hiyo kwenye nyekundu, ndio maana ya feminism?Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.