Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Hizi kauli nilishawahi kuzisikia sana kipindi cha nyuma wahusika waliozisema hivi sasa sijui hata wametoa wapi hekima ila kwa kifupi hauko pekee yako wa mwenendo huo.
Uliziskia zamani hzo na kila mtu ana plans zake kwenye maisha so it's a matter of priorities basi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ttutawanyoosha
Hakuna utakae mnyoosha. Unapoteza muda tu na hizo fikra. Hivyo ulivyobebelea kichwani in 20 years from now vitageuka kuwa mzigo wa miba kichwani.
 
Hakuna utakae mnyoosha. Unapoteza muda tu na hizo fikra. Hivyo ulivyobebelea kichwani in 20 years from now vitageuka kuwa mzigo wa miba kichwani.
Mumenyooka ndio maana sikuhizi kulia Lia humu Mara Beijing Mara wanawake this and that's that's means sindano imeingia tayari
 
It depends on ur perceptions towards that issue, ni Kama zamani tu watu waliua twins na kuamini ni mkosi kumbe sio
Ni kweli kumbe siyo, kama ambavyo wewe unaamini unachokiamini juu hili na kumbe haipo hivyo... KUAMINI HALUIFANYI IMANI HUSIKA KUWA KWELI

Mtu analalamika kwanini wabaume wapo hivyo juu ya wanawake wa aina huyo, anapewa sababu za kwanini tupo hivyo bado anakataa... DAWA NI KUTOOLEWA TU NA AAMUE KIWA SINGLE MOTHER
 
Hivi kweli shangazi(Fatma karume anaeza kukuwekea maji ya kukoga bafuni.
Anaweza mnooo ile ni taasisi nyingine yenye makubaliano ya watu wawili ila makubaliano yao yamesimamiwa na mapenzi anaweza hata kumuogesha mumewe
 
Ni kweli kumbe siyo, kama ambavyo wewe unaamini unachokiamini juu hili na kumbe haipo hivyo... KUAMINI HALUIFANYI IMANI HUSIKA KUWA KWELI

Mtu analalamika kwanini wabaume wapo hivyo juu ya wanawake wa aina huyo, anapewa sababu za kwanini tupo hivyo bado anakataa... DAWA NI KUTOOLEWA TU NA AAMUE KIWA SINGLE MOTHER
Kila mtu hupata size ya mtu wanayeendana naye maono kufikia malengo yao it's about chemistry na sio vile you don't believe on something basi wote wasipate kitu flani.
Kuna watu Wana Imani flani they they can meet and enjoy the life, shida Ni pale uwe na mtu hamuendani kimitazamo na kifikra lazima mahusiano hayo yawe hell on earth
 
Siwezi kutuma picha yangu, unataka uifanyie Nini, ka wataka picha muombe hata mamako akutimie
Mama yangu??? Anahusikaje kwenye comment yangu?? Anyway sikufaham ila Ningekua nakufaham ningekutafuta popote pale na kukutembezea kichapo
Nyie ndo aina za wanawake wale waliojazwa mimba na kutelekezwa haf mnakuja hapa eti Ni feminists bahati mbaya Mimi ni miongoni mwa wale mwanaume wenye mifumo dume haswaa ukiniletea za kuleta unakula mkong'oto wa kutosha so usizoee kabisa kuongelea suala la Mama yangu umeniharbia siku tayari
 
Hafu sikuhizi hatubebi maji kwenye ndoo twaogea shower huo mda wa kubeba ndoo utoke wapi?
Hizo enzi za kubeba ndoo ilikuwa za mabibi ka huweza kujenga nyumba yenye kila kitu usioe utakuja kusingizia tu feminism humu
Inategemea na mji ulipo.... Kama unaishi nje ya mji huko na nyumba hata haina mfumo wa maji lazima utateka maji na kubeba kwa kichwa.
 
Ndo maana hauolewi na unajivunia kua sperm collector. Stupid and dirty feminist whore.
Mmmmmmhmn best taratibu usimtusi.... Tumuelimishe taratibu...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hajazaliwa wa kunipiga aisee never kabisa, Mimi natoka na wanaume matured, na sio waliokulia mifumo dume, so huwa Niko makini Sana kwenye selection, wanaume suruali kwangu hawana nafasi
Na wa wenzio wamo humo kwene list akiii
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom