Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Bora tu inipige chenga Mimi naishi ninavojiskia mkuu, hata dunia nzima ikiwa against me I don't care na hivi sijali mtu kunipa furaha ndio kabisa
Usichukulie hasira bestie, kila mtu anamuhitaji mwenzake.
 
Na mdada anayekubali kuolewa na mtu Hana nyumba yenye bomba ndani ajichunguze wanaume wasio na kitu ni vinara wa unyanyasaji Sana kwa wanawake hata mkitofautiana mawazo anaita ufelimism.
Ndio yeye anaweza ona kupelekewa maji ndio mke mwema Ila wengine hawafikirii hivo wao wapelekewe sawa hata wasipopelekewa it's okay
Hafu majority humu wanaamini mwanamke akitofautiana mitazamo basi ni feminist, Mara hivi Mara vile, ka JF ni great thinker lakini bado watu wako na narow mind tuna safari ndefu sana

kipi kinaweza kukufanya ujivunie kuwa mke na kuitwa mke wa fulani?
Kwanini mke na kwanini mume, nini maana ya mwanamme kuoa mwanamke na mwanamke kuolewa?
 
Nilikua najibu comment ya kusema mke ubora wake unapimwa na kubeba maji Hadi bafuni, na Kama mnataka kubebewa maji Hadi bafuni na sisi tupime uanaume Bora kwa mwanaume kuwa na nyumba full na kila kitu ndani ndio aoe, maana ukitaka mke mzuri na tabia njema na wewe kuwa full package I'm husband material with everything Ila kuja kusema mke mwema unampima kwa kubeba ndoo bafuni wakati wengine hawabebi maji nyumba Ina kila kitu ndani kwani hyo imewaondolea uanauke Bora?
That's all I meant on my previous comment.
Aisee, nimekuelewa mkuu!!
 
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!
For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubalia kabisa kwamba she's right and I was not kuliko unakuwa na jitu ambalo mwanaume ukishatoa maamuzi ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire kwa familia!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!! Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!
Nadhani umeandika Mambo mazuri na hii comment yako ingewekwa pale juu, maana umemaliza kila kitu kwenye huu Uzi. Sina hata chakuomgeza umagusa kila Kona.
 
Wanaume kama hawa jamani!!!!!
 
Ni kizuri sana kilikuwa cha kwanza pia kukisoma. Nilishauriwa ni kizuri kwa introduction.
Pia hicho cha Bell hooks ni kizuri pia ukipata muda kipitie Cariha.
Naomba naomba unitumie hicho hata PM recently nasoma kitabu Cha laws of human nature by Robert Greene, na kitabu kingine. Itakuwa vizuri ukinitumia pia
 
Ufalme huo upi boss wangu

Kazi ya mwanaume ni kuhandle mambo makubwa makubwa kwenye familia kama kuhakikisha watoto wanasoma shule nzuri, familia ina makazi bora yakuishi, familia inapata matibabu mazuri na kutengeneza future ya watoto na ndugu wa pande zote ikiwezekana..

Kuvifikia hivyo vyoye mwanaume ndio anakuwa fighter wa familia na mama anabaki kuwa mshauri mkuu ingawa naye atakuwa na vishughuli vyepesi vya hapa na pale..kwa mentality hii ya mwanaume kupigika na madhira anayokutana nayo kwenye mapambano mdio inarudi dhana ya falme karudi akute chakula mezani, afanyiwe massage na kulazwa huku akipewa pole nyiingi na kufarijiwa baada ya mihangaiko..
 
Hawa ndo wale wale hawana sauti kwa wake zao ukimuomba akukopeshe hela mpaka mwanamke akubali mwanamke akigoma hupewi hafu hapa wanajifanya wako romantic for nothing!!
Yes....katika maisha ya ndoa mkiishi kwa makubaliano ni vizuri zaidi ya utemi, anamshirikisha mke kwasababu mke ndo sehemu ya maisha yake, sio rafiki wala kaka, wala dada, wala mama......kitu wasichokijua wanaume ni kwamba maelewano ktk mahusiano yanajenga sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii comment yako imenichekesha Hadi machozi.
Hata ungekuwa unanifahamu huna Cha kunifanya mkuu, kwahyo ulivosema nikutumie picha yangu ulijua Mimi Ni tangazo had nikutumie au ulifikiria Mimi Ni mtu nisiyejielewa humu JF. Nilichokijibu was right kabisa kumbe usiyotaka kufanyiwa usimfanyie wengine, ka unavo mpenda mamako waheshimu pia wanawake wengine.
NB: hata Mimi ningekutama na wewe ningekupiga mpaka uchakae[emoji23][emoji23] tuone Nani zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nawe unamuwekea?

Sina tatizo na wapenzi/ wenza kufanyiana mambo mazuri mazuri ya kimahaba.

Tatizo ni kuwa na matarajio kuwa mmoja wenu ana wajibu wa kumtumikia mwenzake kama mtumwa.

Jibaba zima na misuli yako hata maji huwezi kujiwekea bafuni? Aibu!!

Kama hilo tu huwezi, kuoga mwenyewe utaweza kweli?

Au napo utasubiri uogeshwe?
Aibu mno[emoji1787]
Aloyewaroga hawa nadhani alishakufa
 
Yes....katika maisha ya ndoa mkiishi kwa makubaliano ni vizuri zaidi ya utemi, anamshirikisha mke kwasababu mke ndo sehemu ya maisha yake, sio rafiki wala kaka, wala dada, wala mama......kitu wasichokijua wanaume ni kwamba maelewano ktk mahusiano yanajenga sana
You know what! Ktk familia kuna wakati Fulani inabidi uwe harsh kidogo kwa maslahi ya familia nzima ila ukisema kila kitu mshauriane uhakika utafeli hawa wanawake sio wa kuamini siku zote ishi nae kwa akili sana asije akajua unawaza nn for 100%
 
Wengi wenye inferiority complex ndo wanatumia nguvu kuishi ivo ila wenye uelewa na kutambua kuwa mwanamke ni binadamu kama mwanaume japo wanatofautiana kiuumbaji na baadhi ya majukumu hawanaga shida......
 
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!

For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubalia kabisa kwamba she's right and I was not kuliko unakuwa na jitu ambalo mwanaume ukishatoa maamuzi ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire kwa familia!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!!

Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!
Kungekuwa na option yakutoa like nyingi ningekupa 100k.
Tatizo la wanaume wa kiafrika wanajifanya wanayajua maandiko kuliko wazungu wenyewe walioviandika hivyo vitabu.
Hasa kwenye haya mambo ya kuwakandamiza wanawake.
Na tatizo kubwa ni hilo
INFERIORITY COMPLEX
Kudhani kwamba mwanamke akimkosoa hata kama he is really wrong basi anamvunjia heshima.
Na wanawake wa sikuhizi sio wanawake wale wa zamani, elimu imetukomboa
Hawezi kuona unaharibu akakaa kimya
Hawezi kuona unamnyanyasa akakaa kimya
Sasa wanaume wa kiafrika wanataka kulazimisha huyu mwanamke wa karne ya 21 aliyeelimika aact km yule mwanamke wa mwaka 47 ambaye toka utototni anaelimishwa kwamba umezaliwa ili uolewe na kuzaa watoto tu huna jukumu lingine duniani.
Ndomana mkwara wao mkubwa ni kwamba utazeeka bila kuolewa as if kuolewa ni favor kwa mwanamke aliyeelimika na kujitambua.
Nasisi wanawake tuelimike
Kusimamia haki zako sio kosa
Na ndoa sio favor kwa mwanamke 2 ni heshima kwa jinsia zote mbili.
Ndoa ni muhimu kwa mwanamke kama ilivyo kwa mwanaume tuache mitizamo ya kizamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom