Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
Hizo haki mmezitoa wapi?? we unazipraktizi nyumbani kwako na muomeo?? tupe mrejesho wa watokea
 
Ila hiyo ni kimahaba zaidi mkizinguana mbona anajiwahi kabisa na shuka lake anajifunika [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi vitu vinatakiwa vifanyike automatically..
Sawa wao wanataka kuforce
 
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!

For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubalia kabisa kwamba she's right and I was not kuliko unakuwa na jitu ambalo mwanaume ukishatoa maamuzi ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire kwa familia!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!!

Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!
Jamani . What a massage. Nimesoma nikafika mwisho nikascroll kujua hii akili ni Nani?
Jamani Kuna wanaume hapa duniani...nilikua nimejilaza Ila nimejikuta nakaa kabisa...
Kuna kipindi fulani nilipitia situation km uliyoandika hapa..mie sipendi kbs mtu anaiambie swag za ajabu ajabu...mfano wanaume wanaamini 100% wenyewe ndo wenye final say .yaan akisema usimchallenge. .Mimi siko hivyo hata nukta. Ukiniambia hii ni nyeusi nna Haki ya kukuambia mie naona hii ni blue ...sio mie nisema ni blue uanze kulalamika sikusikilizi ..alafu aliyewadanganya nyie ndo final say ni nyau gani huyo?
Kwamba wanaume hawakosei...nyie ndo mna brilliant ideas ..kwamba sis wanawake tupo kwaajili ya kuwastrehesha tu....na kuzaa tu..hivi alowadanya haya maujinga?
Hivi ni wapi mmesoma kuwa wanawake hatuna mawazo mazuri?hatuna ushauri mzuri? Eti mtu anafikia gatua anasema ufalme wa mwanaume usiguswe...??? Ufalme huo ni upi ..kwamba hutaki kuwa challenged? Utaula wa chuya kwa Wangari aisee...
Msikilize mkeo ideas zake msapoti unavyoweza... Kubaki kukanywa...masuala ya kutishana tishana oh Mimi ndo mwanaume ndo hatuendelei .( Mie nitendee dhambi zote nitavumilia Ila sio kuniletea masuala ya ufalme wa juha nop sitaweza)
Mimi Uhuru wa kutoa maoni nimeupigania Sana Sana ndoani kwangu . Nna miaka miwili naona Uhuru wa kutoa maoni na mawazo kwa mapana nauona...yaani siwez ishi na mtu nifate anayosema yeye hata Kama ni wrong kisa mume! Hapana aisee..sikilizaneni kosoaneni mambo yatakaa sawa...!

Wewe kaka Mungu akupe pumzi...upate mke mwema mwenye positive ideas mtasonga mbele haraka sana !achana na mahawayani haya! Ngoja nikufollow moyo wangu itulie!💕
 
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!

For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubali kabisa kwamba she's right and I was not, kuliko unakuwa na mtu ambae mwanaume ukishatoa maamuzi hata kama ni ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire familia yako mwenyewe!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!!

Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!
Comment ya mwanaume[emoji7][emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122]
Bro naomba nikununulie kinywaji tafadhali
 
Kazi ya mwanaume ni kuhandle mambo makubwa makubwa kwenye familia kama kuhakikisha watoto wanasoma shule nzuri, familia ina makazi bora yakuishi, familia inapata matibabu mazuri na kutengeneza future ya watoto na ndugu wa pande zote ikiwezekana..

Kuvifikia hivyo vyoye mwanaume ndio anakuwa fighter wa familia na mama anabaki kuwa mshauri mkuu ingawa naye atakuwa na vishughuli vyepesi vya hapa na pale..kwa mentality hii ya mwanaume kupigika na madhira anayokutana nayo kwenye mapambano mdio inarudi dhana ya falme karudi akute chakula mezani, afanyiwe massage na kulazwa huku akipewa pole nyiingi na kufarijiwa baada ya mihangaiko..

Hivi wewe samurai mie Sina haki ya kufanyiwa massage?

Kwamba Wangari Hana haki ya kufarijiwa...hivi anayewaambiaga na sisi hatupitii magumu ni Nani? Kwamba nyie mmeumbwa sie tuwafariji. Nifarij nami nakufariji..nimassage na mm siku nilitaka unimassage ufanye hivyo ..mjue na sisi tunachoka Tena zaidi yenu...unayopenda kufanyia na mkeo jua anapenda Sana tu
 
Hivi feminisim na single motherism ni ndugu wa kuzaliwa???
Embu jaribuni basi muwe mnasomasoma kupanua maarifa.
Kuna kijana mmoja muhaya.
Kwa mila za kwao huko Ibaraizibu mwanamke hata kiwi kurithi ardhi.
Kijana akapambana dada yake apewe akashindwa mwisho eneo lake akampa dada yake kumbuka hawa ni familia bora kabisa na kila mmoja wao amejenga huko kijijini.

Huyu anapambana na mila potofu ya mwanamke kurithi ardhi.
Huyu ni feminism pia.
 
Natamani hata michezo tukutanishwe tu ME vs KE
Yaani Madrid fc vs Man U QUEENS 🙂
Mike Iron Tyson vs Kidada flani cha Spain
Undertaker Vs Kimrembo flani cha portico
 
Hawa wa kwetu feminism waliipokea na waliielewa vibaya. Wao walijua feminism ni kushindana na mwanamme wakati zizi moja haliwezi kuwa na fahari wawili.
 
Habari?
Hebu Leo semeni ni kipi ambacho kinafanya mchukie feminism? Hamjiamini? Au mnaogopa kutawaliwa?.
Kuna tatizo gani mwanamke akijua haki zake na kuzisimamia?.
1.shida ni kwamba siku hizi hakuna feminist ila kuna wnawake wachache ambao wamepitia mahusiano ya kimapenzi ya hovyo sasa wanataka kuwalisha uelewa mbovu na wengine na kuonesha mabaya ya wanaume na huku nao wanawake kuna mabaya yao ya kila siku ila wanaume wanaumilia wakijua kwamba ni nature yao.
2.Pili wanaojiita feminist hata siku moja huwezi kuata anaongelea juu ya suala la kiuchumi la kifamilia kwa kisingizio cha kusema mwanaume ndio kichwa cha familia ndio anatakaiwa awe anatoa pesa na kila kitu ..ila yeye ukimuambia wewe inabidi uwe kama mke unisikilize mimi mumeo hapo ndo tatizo linapoanzia na huku anahitaji haki sawa
3. Na feminist huwa wanajiona wako perfect sana wakishindwa kutambua kwamba hapa duniani lazima kuna kusaidiana na kuna mmoja lazima atumikie mwingine kwa kipindi fulani kama katika maisha ndo maana hata mungu hakumuumba mwanaume pekee akajua kwamba huyu ana mahitaji fulani ndo maana akaseama nakuletea msaidizi maana yake yuko chini ya mwanaume katika mambo fulani fulani
 
Mimi staki kabisa kujitamkia kupata kitu kisichokuwa Bora, I want best in everything in my life, sio huyo aliyetaka kupima mke Bora kwa kupelekewa maji bafuni Ina maana na wao tuwakatae kuwa si wanaume Bora kisa hawana kitu.?

Hakuna asiyetaka the best, everyone wants the best. But the world doesn't offer the best in every situation. You actually get what you deserve. Huwezi kuwa na kila kitu, so probably getting married to a broke man haitakuwa ajabu, achilia mbali kuwa na nyumba yenye maji ndani.

Swala la maji bafuni was just a mere example, hata hivyo sio kila mwanaume anataka kunyenyekewa kiasi hicho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom