secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,839
- 8,652
Jamaa imepoteza kabisa identity you can't be a man like that...Kama hauna umri mkubwa katika ndoa ama hujaoa kabisa lazima uwaze hivyo
hata nyie wanawake nina hakika hampendi mwanaume zembe, zembe.....
asiwe mpigaji wala mnyanyasaji wa wanawake lkn awakemee in a gentleman way mnapokosea.....