Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Kama hujaolewa njoo tuoane mamaa ila hiyo kitu sijui u feminist sitaki kusikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume umeanza masharti kabla ya ndoa Sasa huko ndoani siutakuwa na masharti magumu ka ya mganga wa kienyeji
 
Jela mnaogopa vizuri tu mnajimwambafai tu humu nyuma ya fekero, halafu kabla hujanifanyia Jambo baya nakuwa mapema Sana kabla madhara hayajatokea tuone Nani zaidi
Ahaaaaaaaa I have nothing to scare my lady bahati mbaya hunijui ila ungekua unanijua personally wala hata tusingebishana hapa ila let life go on kila mmoja abakie na kile anachokiamini siwez kukulazmisha kuamini kile ninachokuambia
 
Mimi sio feminist Ni mtu wa kawaida tu mpinga maovu kwenye jamii, nasimamia haki za wote regardless of gender race, age, watoto na kila mtu. So kitu kisipokuwa sawa nitakisema tu.
Nakushauri Somea sheria nenda kafanye kazi mahakamani.

Kuna hakimu mmoja(mwanamke) mahakama ya mwanzo mkoa mmoja alimfurusha mwanamama mjuaji aliyeachika kwa kwa hiari yake hapohapo mahakamani, baada ya aliyekuwa mumewe kuugua sana alirudi kumuuguza baadae akafariki.

Ndugu wakaenda kuzika na kwenye mirathi akasema yeye ndiye atakuwa msimamizi familia ikakata kauli kutomtambua maana kisheria aliachika ila yeye kwa uelewa wake kwa sababu alimuuguza anayo haki kusimamia mirathi.

Shauri lilipelekwa mahakamani na hakimu (mwanamke) alimpasha sana pale mahakamani na kumfurusha akidai sheria haimtambui maana tayari alidai taraka na kumuacha mume kwa hiari yake. Ni vyema ujifunze na sheria kuongeza knowledge
 
Kiukweli kabisa Nimemshangaa sana.
Yaani kijana wa sasa anawaza Kuwekewa maji bafuni.
Inawezekana pia ni kigezo chake cha kuoa.
Lakini pia aliyemtolea mfano hajaishi maisha hayo na ameolewa ana ndoa yake ametulia.

Mtu kutetea ukandamizaji wa wanawake hakumfanyi yeye kuwa si mke bora.
Na mdada anayekubali kuolewa na mtu Hana nyumba yenye bomba ndani ajichunguze wanaume wasio na kitu ni vinara wa unyanyasaji Sana kwa wanawake hata mkitofautiana mawazo anaita ufelimism.
Ndio yeye anaweza ona kupelekewa maji ndio mke mwema Ila wengine hawafikirii hivo wao wapelekewe sawa hata wasipopelekewa it's okay
Hafu majority humu wanaamini mwanamke akitofautiana mitazamo basi ni feminist, Mara hivi Mara vile, ka JF ni great thinker lakini bado watu wako na narow mind tuna safari ndefu sana
 
Vivulana vya humu vikizidiwa hoja vinaanza tukana wanawake..🤣🤣
Sikutaka kucomment Ila imenibidi.
Hivo vischana vinacomment habari za ndoa wakati hata hawajawai kuolewa they know nothing kuhusu ndoa wanamihemko tu!! Kwenye mada kama hizi nilitegemea wake wanawake walioolewa waseme uhalisia wa ndoa kwa hivi vischana vinavojiita feminists wakati havijui ndoa Ni nn
 
Nakushauri Somea sheria nenda kafanye kazi mahakamani.

Kuna hakimu mmoja(mwanamke) mahakama ya mwanzo mkoa mmoja alimfurusha mwanamama mjuaji aliyeachika kwa kwa hiari yake hapohapo mahakamani, baada ya aliyekuwa mumewe kuugua sana alirudi kumuuguza baadae akafariki.

Ndugu wakaenda kuzika na kwenye mirathi akasema yeye ndiye atakuwa msimamizi familia ikakata kauli kutomtambua maana kisheria aliachika ila yeye kwa uelewa wake kwa sababu alimuuguza anayo haki kusimamia mirathi.

Shauri lilipelekwa mahakamani na hakimu (mwanamke) alimpasha sana pale mahakamani na kumfurusha akidai sheria haimtambui maana tayari alidai taraka na kumuacha mume kwa hiari yake. Ni vyema ujifunze na sheria kuongeza knowledge
Siwezi kujitesa kusoma Sheria nafanya Jambo linalo Nipa furaha, pia Mimi siwezi kulilia mirathi Mimi muumini wakufanya maendeleo yangu sitegemei kubebwa bebwa au kulilia Jambo lisilo langu.
 
Ili uweze kuelewa vizuri Soma kitabu Cha Chimamanda Adichie we should all be feminist it's a nice book utaelewa Mambo mengi mno
 
Attachments

  • Thanks
Reactions: amu
Hivo vischana vinacomment habari za ndoa wakati hata hawajawai kuolewa they know nothing kuhusu ndoa wanamihemko tu!! Kwenye mada kama hizi nilitegemea wake wanawake walioolewa waseme uhalisia wa ndoa kwa hivi vischana vinavojiita feminists wakati havijui ndoa Ni nn
Uhalisia wa ndoa kila mtu ana wa kwake, ndoa haina formula ivo tutavipoteza visichana ambavyo havijaolewa! Wacha kila mtu awe na imani yake ktk ufeminist wake!
 
Ahaaaaaaaa I have nothing to scare my lady bahati mbaya hunijui ila ungekua unanijua personally wala hata tusingebishana hapa ila let life go on kila mmoja abakie na kile anachokiamini siwez kukulazmisha kuamini kile ninachokuambia
Hata ningekuwa nakujua ningeku challenge vizuri tu bila shida yoyote.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom