Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,154
- 11,211
U feminist ujue saa zingine unatutwisha mavitu ya ajabu sana vichwani mwetu adi tunaaribu maana yakeKama hujaolewa njoo tuoane mamaa ila hiyo kitu sijui u feminist sitaki kusikia
U feminist ujue saa zingine unatutwisha mavitu ya ajabu sana vichwani mwetu adi tunaaribu maana yakeKama hujaolewa njoo tuoane mamaa ila hiyo kitu sijui u feminist sitaki kusikia
Jela? Unaichukulia Kama Ni jehanum Fulani hv kwa mtazamo wako?? Mwanaume wa ukweli hawez kuogopa kwenda Jela mm tukidate naww hata kama itafikia hatua ya kwenda Jela ila nahakikisha nishakuachia funzo ambalo huwez kusahau maishani mwako!![emoji23][emoji23][emoji23]mkuu wewe unawezana na village girl, primitive in nature Sasa mie utaniwezea wapi zaidi ya kuishia jela ukaji mwambafai huko ka wewe Ni kidume kweli
Wewe ndio umewatoa vijijini Sasa Kama mtu hakupelekei maji bafuni kachoka mnamwita feminist tuwaejeweje nyie?Nadhani kwa uelewa wako umeisha watoa wanawake wa vijijini. Feminist mzuri lazima uangalie wa vijijini kabla ya wa mjini
Ayaaaa nlitaka nianze kuyafanyia kazi maandiko saivi[emoji23][emoji23]Huko katika kitabu cha mithali nadhani. Siko vizuri sana kwenye doctrines za kibiblia.
Ndo nakushangaa wewe unataka unyenyekewe kama mfalme HerodeKatika hilo sipingani na wewe, kila kitu husukumwa na upendo. Halafu ya nini kuishi kwa kuviziana kama chui na paka!!
Mie nadhan Kama hakuna maji ni wewe mwanaume unisaidie kujaza kwenye chombo diaba ili maji yatumike..nadhan ni sawa wewe kunisaidia kuchotelea maji bafuni..Huku Mimi napika...Raha ya ndoa kugawana majukumu na kusaidiana
Na anayekubali kupotoshwa kisa comments zangu hajielewi huyo kabisa, hafu mtazamo wako unavo uona wa maana Kuna mwingine anaona uko wrong kabisa na Wala halelewi kabisaNikuambie tu ukweli hiki unachokipigania humu Jf wala hata haukiishi ila uunawapotosha wenzako na kama unasema your baby is responsible kwenye kila sector basi huyo baby wako we ndo unamuweka mjini na ndo maana umesema mahali kua anakulilia lakn kama hiki unachokipigania Ni kweli huyo mwanaume wa kuishi naww ana shda kubwa sana
🤣🤣🤣Nisaidie iko kitabu mkuu kitanisaidia sana! Naenda nalewaaaaa mr akiuliza namfunulia mandiko namwambia nakunywa sababu ya umasikini
Yes utii ni muhimu kwenu hilo halina ubishi.Amu mimi hata sijui feminism ni nini?[emoji39] Ngoja nitafute tafsiri, japo najua kuna wanawake ni ngumu kuwa-handle as background zao zinawahukumu, wengine ni watii tu kwa waume zao, na hicho sisi vidume ndio tunataka, tunataka "mtutii" baaaas!!
Kuna nyakati watu tunabeba mengi vichwani, platform za namna hii zinatusaidia kupunguza msongo unaotukandamiza. Kila mtu anacheza mziki wake tofauti na mwingine katika hizi ndoa zetu, hakuna general rule.Watu kutoka povu utafikiri wamekunywa sumu ya panya
Mama yangu huwez jifananisha nae hata kidogo japo she is no longer ila huwez mfikia kwa namba yoyote ile by the way kama unahisi bila kumtaja mama yangu mjadala hujanoga endelea once moreWewe ndio umeanza dharau Mara vile single mother sijui Nini what is the difference btn ur mother and single mom unaye mzalilisha humu. Umepata taste of ur own medicine, Tena wataka nikutumie picha eti uijadili hivi ulikuwa serious?
Ufalme huo upi boss wangusidhani kama haya ndio issue, mambo madogomadogo kama haya sio issue saana balaa liko pale ufalme wa Mwanaume unapogushwa na wenzetu kutaka ufalme... lakini lazima tukubaliana anahandle ndoa ni mama si baba, how mama anahandle ndoa hapo lazima autukuze na kuutunza ufalme wa baba ndio kama hapo sasa shida ilipo kwa hawa feminist..
Jela mnaogopa vizuri tu mnajimwambafai tu humu nyuma ya fekero, halafu kabla hujanifanyia Jambo baya nakuwa mapema Sana kabla madhara hayajatokea tuone Nani zaidiJela? Unaichukulia Kama Ni jehanum Fulani hv kwa mtazamo wako?? Mwanaume wa ukweli hawez kuogopa kwenda Jela mm tukidate naww hata kama itafikia hatua ya kwenda Jela ila nahakikisha nishakuachia funzo ambalo huwez kusahau maishani mwako!!
Haf unaposema size yangu Ni wa vijijini usifikirie kua kila anaeish kijijini Ni primitive unavofikiria wako watu nawafahamu wako vijijini ila very smart ever!! We unaejifanya wa mjini ndo huna lolote la kujivunia
Unaweza kufanya hivyo lkn wasiwasi wangu ni kuwa mumeo atatafuta mboga kwa kufanya kazi ila wewe utaleta ugali kwa kudanga. Hapo ni kujidanganya tu.Naweza Sana kufanya hivo mwenyewe maana Ni mtu mzima kabisa
So ur right!! Go onNa anayekubali kupotoshwa kisa comments zangu hajielewi huyo kabisa, hafu mtazamo wako unavo uona wa maana Kuna mwingine anaona uko wrong kabisa na Wala halelewi kabisa
Hivi feminism imekataza ndoa ee??mafeminist wote wanaona wenzao walio kwenye ndoa na kuzihandle vizuri ni masnitch na huwa wanawachukia wenzao with their good life..
Ukiona mwanamke anakwambia mimi nataka nizae tu sitaki kuolewa ujue kahaba hilo...
Hiyo ni mfano tu mahaba. But ukimpeleka hakuna utakachopungukiwa hata kidogo..... Maana ni kama kumpelekea maji ya kuoga baba yako, kaka yako, mtoto wako. Kwani na hao ukiwapelekea ni unyanyasaji wa kijinsia au ni utoto wako tu unakuzidi nguvu.Ndagha bhabha!
Wakati nakua age Kama 18 dingi alikua anastukalisha Sana vikao of which I hatukua tunapenda kbs tulikua tunamuona mnoko..alikua anasema security kubwa ya mwanamke ni elimu( so anasisitiza tusome) na kazi nzuri( own your own)
Ndo haya aliyokua anayamaanisha .yaan unyanyasike kisa?yaan we Eli wewe unataka upelekewe maji bafuni ndo ujue nakupenda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na nilitumia huo mfano tu ili kuonyesha usipende mzazi wako aheshimiwe huku unatukana wanawake wengi akiguswa unafoka ka chatu mwenye hasira.Mama yangu huwez jifananisha nae hata kidogo japo she is no longer ila huwez mfikia kwa namba yoyote ile by the way kama unahisi bila kumtaja mama yangu mjadala hujanoga endelea once more
We Ni Malaya fulan hv aliekosa malezi na huna lolote la kujivunia zaid
[emoji23][emoji23][emoji23]So ur right!! Go on