Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Kwanini baadhi ya wanaume hamuwapendi Feminists?

Status
Not open for further replies.
Yes utii ni muhimu kwenu hilo halina ubishi.
Hakuna mwanamke mgumu kumhandle ikiwa utasimama kama mwanaume na baba wa familia.
Tatizo wengi wanaokataa wanawake argumentative ni wale type "mimi ndo baba Yenu" mwanaume ana jitambulishe kwa watoto.

Type ya mwanaume huyu lazima atalazimisha awekewe maji bafuni ili aonyeshe ukidume wake na akikutaa hajawekewa atakoroma balaa.

Kuna wanawake sio rahisi kutengeneza maisha nao, sio kwa sababu baba ni argumentative la hasha. Wamekulia mazingira na maisha ambayo huwezi kuwamudu(kuwaongoza), ndio maana huwa tunasema sio kila mtu anapaswa kuoa/kuolewa kwa vile maisha ya ndoa sio ya kila mtu.

Maji bafuni huo ni mfano tu, tukiongelea issues muhimu ambazo kama mwanamke anatakiwa kusimamia nafasi yake hapo ndio utaona tofauti. Trust me kuna wanawake hawawatii waume zao regardless wanafanyiwa nini, apewe kila kitu lakini mlalamishi, haridhiki, mshari etc. Wa hivyo wanahitaji kuishi na aina ya watu watakaowezana nao au wabaki kama walivyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwanaume umeanza masharti kabla ya ndoa Sasa huko ndoani siutakuwa na masharti magumu ka ya mganga wa kienyeji
Hata usiogope mimi sharti langu ni moja tu hilo sitaki mambo ya u feminist mengine yote utafurahi mwenyewe.
 
Na mdada anayekubali kuolewa na mtu Hana nyumba yenye bomba ndani ajichunguze wanaume wasio na kitu ni vinara wa unyanyasaji Sana kwa wanawake hata mkitofautiana mawazo anaita ufelimism.
Ndio yeye anaweza ona kupelekewa maji ndio mke mwema Ila wengine hawafikirii hivo wao wapelekewe sawa hata wasipopelekewa it's okay
Hafu majority humu wanaamini mwanamke akitofautiana mitazamo basi ni feminist, Mara hivi Mara vile, ka JF ni great thinker lakini bado watu wako na narow mind tuna safari ndefu sana
Unaona sasa you know nothing kuhusu ndoa which unataka kunambia hapa Tanzania Ni familia ngapi zinaweza kumudu kujenga nyumba na kuweka maji ya bomba ndani??? Au your creating your own world to live sio?? Kwa akili yako utasubiria sana kuolewa na mwanaume mwenye nyumba
 
Ujue mapenzi ni kitu cha ajabu.
cariha wewe usishangae unaolewa na kijanaume mpaka sisi tunakushangaa.
Wengi wetu tunaoana tunakuwa hatujajenga nyumba achilia yenye bomba ndani.

Lakini hii haimaanishi kuwa kutengewa maji ndo umke bora.
Naaah nakataa.
 
Ooooh sikatai challenge maana maisha yangu Ni challenge tosha kabisa ila kuogopeshwa ndo siwezi kamwe in my entire life siwez kuogopa hiyo Ni principle yangu nliojiwekea
Hata ningekuwa nakujua ningeku challenge vizuri tu bila shida yoyote.
 
Na mdada anayekubali kuolewa na mtu Hana nyumba yenye bomba ndani ajichunguze wanaume wasio na kitu ni vinara wa unyanyasaji Sana kwa wanawake hata mkitofautiana mawazo anaita ufelimism.
Ndio yeye anaweza ona kupelekewa maji ndio mke mwema Ila wengine hawafikirii hivo wao wapelekewe sawa hata wasipopelekewa it's okay
Hafu majority humu wanaamini mwanamke akitofautiana mitazamo basi ni feminist, Mara hivi Mara vile, ka JF ni great thinker lakini bado watu wako na narow mind tuna safari ndefu sana

Hapo red sijui hata ulimaanisha kitu gani, unaweza kurudia ulichoandika?
 
Unaona sasa you know nothing kuhusu ndoa which unataka kunambia hapa Tanzania Ni familia ngapi zinaweza kumudu kujenga nyumba na kuweka maji ya bomba ndani??? Au your creating your own world to live sio?? Kwa akili yako utasubiria sana kuolewa na mwanaume mwenye nyumba
Na ujue anaweza asiolewe kabisa!!! Akabaki na kauli za sizitaki mbichi hizi
 
Ujue mapenzi ni kitu cha ajabu.
cariha wewe usishangae unaolewa na kijanaume mpaka sisi tunakushangaa.
Wengi wetu tunaoana tunakuwa hatujajenga nyumba achilia yenye bomba ndani.

Lakini hii haimaanishi kuwa kutengewa maji ndo umke bora.
Naaah nakataa.
Mimi staki kabisa kujitamkia kupata kitu kisichokuwa Bora, I want best in everything in my life, sio huyo aliyetaka kupima mke Bora kwa kupelekewa maji bafuni Ina maana na wao tuwakatae kuwa si wanaume Bora kisa hawana kitu.?
 
Ooooh sikatai challenge maana maisha yangu Ni challenge tosha kabisa ila kuogopeshwa ndo siwezi kamwe in my entire life siwez kuogopa hiyo Ni principle yangu nliojiwekea
Na hata Mimi sipendi kupangiwa Jambo au ku fosiwa au ku fake Jambo nisilolitaka that's never
 
MTABISHANA KUPOTEZA MUDA TU ILA UKWELI NI KWAMBA FEMINIST HAFAI KUA MKE , NDOA NI MUME NA MKE NA SIO MUME NA MUME , WANAUME HATUTAKI KUOA WANAUME WENZETU WENYE VIONGO VYA KIKE
 
Ufalme huo upi boss wangu

haya ni magumu kuyaeleza hapa lakini bila shaka tabia za mfalme zinajulikana...

Mwanaume ndio head kwa maana ya mfalme, miongozo na uelekeo wa familia unatoka kwake na mama anabaki mshauri ni kama kamati kuu ya CCM na mwenyekiti wao, wanadiscuss chumbani hadharani bakora ni ya mwenyekiti..
Mlezi na malezi ya watoto ni la wote lakini mama genetically na kiimani ndiye anapashwa muda mwingi akae na watoto na kuleta taarifa kwa mfalme ambaye ni baba..
Kwenye uumbaji, lazima familia iwe na kiongozi na haina shaka lazima awe baba hii hata mnapokuwa watu wawili au zaidi lazima mmoja wenu awe kiongozi kulingana na utaratibu wenu na msaidizi huwa ni mama..

Ufalme wa mwanaume kuna wakati huja automatically hasa pale kwenye mambo magumu ambayo kimaumbile na mtazamo mwanamke hayawezi hapa mwanaume huja mbele na kumaliza ndio maana ya kiongozi..Katika hali hii ya mwanaume kuwepo mbele basi akinamama hubaki nyuma kusaidia vidogovidogo ambavyo maumbile yao huruhusu kama kuchota maji, kufua, kuwaimbia wanaume zao na kuwaburudisha..
 
Kama sio mwanamke wewe basi ni mwanaume uliepoa..... Sio kosa lako..... Umepewa ududu kama kitu cha kukusaidia kutoa taka mwili au mkojo ila sio kwa ile kazi original.
Nawe utakuwa unasumbuliwa na ushamba tu na wala si kingine!!

Ushamba unawafanya watu wadhani brutality ndio uanaume wakati huo ni ushamba tu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanaume asiyepiga mwanamke ni dhaifu!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone kupiga mwanamke ndo uanaume!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wakatae kuoa wasomi eti kwa sababu "wasomi wanajifanya kujua sana"!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani mwanaume anayemsikiliza wife/girlfriend wake huyo mwanaume ni dhaifu, na anapelekeshwa!!

Ushamba ndo unawafanya watu waone mwanamke akikubishia basi huyo ni jeuri hata kama ni kweli ulichofanya ni upumbavu lakini usipingwe eti kisa ni mwanaume!!!

Ushamba ndio unawafanya watu wadhani mwanamke hana sauti kwenye jamii!!

NI ushamba huu huu ndio unawafanya watu waamini wanaume ndio wanastahili kurithi na wanawake hawastahili!!!

Ushamba ndo unawafanya watu wadhani feminism ni ukorofi!!

My girlfriend or wife will always be MY BEST FRIEND!!

So, nitakuwa very stupid endapo nitataka my girlfriend or wife awe kama Msukule kwangu, anayekubali kila ninachosema au kutaka hata kama ni cha kipumbavu!!!

For me I'll feel blessed mwanamke akinikosoa, na nikiangalia nakubali kabisa kwamba she's right and I was not, kuliko unakuwa na mtu ambae mwanaume ukishatoa maamuzi hata kama ni ya kipumbavu, yanapita hivyo hivyo na kuja ku-backfire familia yako mwenyewe!!

Na nitakuwa very stupid nikianza kurusha ngumi kwa MY BEST FRIEND coz' kama alichofanya ni completely intolerable, my best option will always be to let her go, and trust me, she'll always be my best friend no matter what!!!

And guess what... am now in my 40's, lakini sijawahi kuachana na mwanamke kwa visa, and am proud of it coz' I know how to manage difficult situation!!!!

Na kama alivyosema cariha hapo juu, watu aina yenu mnasumbuliwa na insecurity and inferiority complex, na kwahiyo mnataka kutambulika kama wanaume not based on your responsibility as a man but by being physically TOO TOUGH over a woman... huo ni ushamba tu!!

I don't have to do anything stupid to prove my manhood which will always be judged based on my responsibility as a man!

Again, I love a feminist women, na sio mwanamke unayeweza kumpelekesha pelekesha tu kama msukule, na hajui hata haki zake!!

Na kama hajui haki zake, na hawezi kupigania haki zake at a family level, ni namna gani anaweza kupigania haki za familia wakati ambapo mumewe yupo kwenye mazingira yasiyomwezesha to stand for his family?!
 
Thanks dear for sharing this nice book. Nakipenda Sana hichi kitabu
Ni kizuri sana kilikuwa cha kwanza pia kukisoma. Nilishauriwa ni kizuri kwa introduction.
Pia hicho cha Bell hooks ni kizuri pia ukipata muda kipitie Cariha.
 
Hapo red sijui hata ulimaanisha kitu gani, unaweza kurudia ulichoandika?
Nilikua najibu comment ya kusema mke ubora wake unapimwa na kubeba maji Hadi bafuni, na Kama mnataka kubebewa maji Hadi bafuni na sisi tupime uanaume Bora kwa mwanaume kuwa na nyumba full na kila kitu ndani ndio aoe, maana ukitaka mke mzuri na tabia njema na wewe kuwa full package I'm husband material with everything Ila kuja kusema mke mwema unampima kwa kubeba ndoo bafuni wakati wengine hawabebi maji nyumba Ina kila kitu ndani kwani hyo imewaondolea uanauke Bora?
That's all I meant on my previous comment.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom