Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,657
- 7,277
Acheni ubinafsi na upumbavu mnatengwa kwa lipi au mnataka kila kitu kipelekwe kwenu je watu wa mikoa mingine wasemeje, mbona watu wa Mikoa mingine hawalii kama nyie, mnapenda sana mbeleko za kijinga.Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.
Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.