Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.
Arusha ni mkoa ambao 90% ni nguvu za serikali kuanzia kujengwa kwa mahoteli na bunge la east Africa...Twende mkoa kama mkoa una nn cha maana cha asilia ,Ebu angalia mavyuo ,ofisi kibao zipo huko zote ni juhudi za serikali na system nzima.

Hakuna kitu mnazlisha hata hayo madini ni ya kwenda nje ...Sasa jaribu hata kufikiria kuhusu mbeya na mora wanazlishwa ni ni maeneo potential kwa uchumi wa bongo wanalisha mikoa kibao kuanzia mazao mpaka matunda hayo yote ni kutokana na asili ya maeneo hayo kwa ajili ya kilimo..wanachangia GDP

Arusha mapto yote ni kutokana na biashara base zilizowekwa na hazina impacts kwa mtu mmoja mmoja kuliko kilimo kinagusa mpaka mtu mwisho hata maofisi ya dar mengi ni artificial yanaweza leo kuhamishwa dodoma na dodomq ikawa na mapto kuliko dar ...ila kwamwe ile ardhi yenye rutuba ya mbeya na Moro huwezi ipeleka Dodoma watabaki na ukame wao.

Huwezi kuzungumzia kwamba potential kuchangia how comes ? Dar iko 89% ya mapato yote sasa Kuna ulazima gani wa kuendelea hako kamkoa ...Dodoma inakuja mjiandae kwamba mko wachache wengi wanakimbia.
 
Nilishaandika Uzi hapa kuwa Arusha na Kilimanjaro kabla ya Uhuru tayari wakoloni walishainvest kwa kujenga shule, makanisa na vituo vya Afya.

Lakini kuanzia 1965 kuendelea kuna juhudi kubwa sana ya wananchi binafsi kwa kilimo cha kahawa chini ya ARCU na KNCU ambayo ilisomesha watu wengi na kufanya maendeleo ya miji mpaka Meru kule Akeri

Mimi sijui kama unajua kuwa mji mdogo ambao sasahivi ni Wilaya ya Monduli mwaka wa 1977 tayari Ukoo wa Sokoine walishajenga kiwanda cha Viatu vya ngozi na Serikali haikuendeleza

Sijui kama unajua Mpango mji wa Monduli ulibuniwa na watu wachache wa enzi hizo

Sijui kama unajua Kilimanjaro ilishakuwa na serikali yake na ikijiendeleza sana kabla Uhuru wa 1961

Sijui kama unajua shule ya Mringa na Enaboishu zilijengwa na Wananchi na Baadae kanisa kupitia KKKT wakafanya kuendeleza

Sasa kama watu wanachacharika ni kwanini serikali isiunge juhudi kwa Wananchi hao?
 
We endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe Ila ukweli unajulikana ,kwanza Arusha na Moshi soon tunaungana rasmi kuanzisha republic ya Arusha itaitwa(USA)~yaani United State of Arusha ,tujitegemee wenyew tuijenge Arusha na Moshi kwa mapato yanayotoka Arusha na moshi sababu tumechoka kutengwa na kubaguliwa tangu Uhuru mpaka Sasa hatukubali ujinga huu Tena mwisho unakuja
Acha ujuha wewe
Isemee Arusha tu
kwani ulisikia wachaga wanalalamika?

Arusha ni kamji kalikojengwa na serikari kwa miaka mingi
Ila haina potential ya kuwa business hub hivyo imedumaa

Ukitoa Arumeru, Arusha mjini, wilaya zilizobaki kama Longido, Loliondo na Monduli hakuna shughuli yoyote ya maana na watu wachache.

Unasema wewe Dar inajengwa kwa pesa toka Arusha?
Una akili wewe?
Hakuna mji unaonewa kama Dar ila Wana dar wenyewe ni baridi tu
Yote ni Tanzania, na sisi ndio wabongo
 
Nilishaandika Uzi hapa kuwa Arusha na Kilimanjaro kabla ya Uhuru tayari wakoloni walishainvest kwa kujenga shule, makanisa na vituo vya Afya.

Lakini kuanzia 1965 kuendelea kuna juhudi kubwa sana ya wananchi binafsi kwa kilimo cha kahawa chini ya ARCU na KNCU ambayo ilisomesha watu wengi na kufanya maendeleo ya miji mpaka Meru kule Akeri

Mimi sijui kama unajua kuwa mji mdogo ambao sasahivi ni Wilaya ya Monduli mwaka wa 1977 tayari Ukoo wa Sokoine walishajenga kiwanda cha Viatu vya ngozi na Serikali haikuendeleza

Sijui kama unajua Mpango mji wa Monduli ulibuniwa na watu wachache wa enzi hizo

Sijui kama unajua Kilimanjaro ilishakuwa na serikali yake na ikijiendeleza sana kabla Uhuru wa 1961

Sijui kama unajua shule ya Mringa na Enaboishu zilijengwa na Wananchi na Baadae kanisa kupitia KKKT wakafanya kuendeleza

Sasa kama watu wanachacharika ni kwanini serikali isiunge juhudi kwa Wananchi hao?
Kijan unaijua historia au unaongea ?? Kuwa honest maendeleo ya Arusha ni miaka kadhaa hapa nyuma ... honestly hujui mikoa mingine kabla na baada ya uhuru ilikuwaje tambua hata hospital hyo ya KCMC ilikuwa I'll bumbuli -lushoto - Tanga je unajua ? Ni kwamba hapakuwa na maajabu kuliko baadhi ya Mikoa tambua palikuwa na mikoa ya viwanda unajua Nan aliharibu? Je mkoa uliokuwa na maendeleo kuzidi Arusha nyuma ya dar unaujua na wao watasma nn na walitelekezwa yamebaki magofu..
 
Ukiacha hiyo kauli yako ya "sehemu kubwa ya miradi"

Nitajie mradi mmojawapo wenye kutumia fedha ya wenyeji wenyewe ambao serikali haikuweka mkono!.

Vinginevyo; hata kichaa akikaa kimya tutajua ana busara!
Wewe ndio Kichaa zumbukuku. Haya ninakutajia Mradi mkubwa wa maji uliopo Sekei Arumeru unaosupply maji mpaka wilaya ya Monduli....kisima kilichimbwa na Wananchi na chemchem zote ziliunganishwa mabomba na Wananchi tangu mwanzoni.

Jeshi ndio ikaja kuunganisha mabomba kwenda TMA

uliza lingine Dada.
 
Kijan unaijua historia au unaongea ?? Kuwa honest maendeleo ya Arusha ni miaka kadhaa hapa nyuma ... honestly hujui mikoa mingine kabla na baada ya uhuru ilikuwaje tambua hata hospital hyo ya KCMC ilikuwa I'll bumbuli -lushoto - Tanga je unajua ? Ni kwamba hapakuwa na maajabu kuliko baadhi ya Mikoa tambua palikuwa na mikoa ya viwanda unajua Nan aliharibu? Je mkoa uliokuwa na maendeleo kuzidi Arusha nyuma ya dar unaujua na wao watasma nn na walitelekezwa yamebaki magofu..
Mkuu, ukija kwenye historia ya Maendeleo kwa ukanda huu huwezi kunidanganya chochote.

Ni kweli maendeleo yalianzia Tanga kwa ukanda huu kwasababu ya miundo mbinu ya Barabara na viwanda, LWANDAI ndio ilijenga hospitali ya kwanza Lushoto kabla ya kuhamia KCMC

Tanga ilikuja kuacha kuendelea sio kwamba serikali iliwaacha isipokuwa Wananchi wa Tanga wenyewe walikuja kupoa katika maendeleo ya Mkoa wao wenyewe ambao ulipaswa uwe hata namba 2 hapa nchini kimaendeleo kwasababu ya Location

Wana ardhi kubwa yenye rutuba kuliko Arusha, wana madini, sasahivi wana Gypsum nyingi mno, cement na wapo karibu na bahari....tatizo lipo kwa Wanatanga wenyewe na wanaukimbia Mkoa wao....same kwa wanapwani wengine.
 
Kati ya mikoa inahujumiwa hapa Tanzania ni Mbeya. Miradi mikubwa ya maendeleo ikitaka kuletwa mbeya tunaisikiaga muda mrefuuu mara tunasikia huo mradi umepelekwa mkoa mwingine. Ngoja tuone hii ya barabara sita kama utakuja. Maana yake mingine yote ya vyuo vikuu na viwanda tulihujumiwa.
 
Toa ujinga wako kama sio serikali mngekuwa mnaishi porini ...kwa population gani basi vitu vyote 90% vya hapo ni artificial ni influence ya serikali na wawekezaji mna nn cha maana.

Serikali kitu gani wewe kenge?

Hapa tunajali maendeleo pekee, ujinga ujinga hatuna muda nao.

Tukiona hujuma za wazi basi fahamu tutafanya kitu.

Eti serikali inajenga Arusha? Huna adabu kwa watu wa waarusha wanaopambana kila ikiitwa leo kuletea maendeleo familia zao.
 
Mkuu, ukija kwenye historia ya Maendeleo kwa ukanda huu huwezi kunidanganya chochote.

Ni kweli maendeleo yalianzia Tanga kwa ukanda huu kwasababu ya miundo mbinu ya Barabara na viwanda, LWANDAI ndio ilijenga hospitality ya kwanza Lushoto kabla ya kuhamia KCMC

Tanga ilikuja kuacha kuendelea sio kwamba serikali iliwaacha isipokuwa Wananchi wa Tanga wenyewe walikuja kupoa katika maendeleo ya Mkoa wao wenyewe ambao ulipaswa uwe hata namba 2 hapa nchini kimaendeleo kwasababu ya Location

Wana ardhi kubwa yenye rutuba kuliko Arusha, wana madini, sasahivi wana Gypsum nyingi mno, cement na wapo karibu na bahari....tatizo lipo kwa Wanatanga wenyewe na wanaukimbia Mkoa wao....same kwa wanapwani wengine.
Sikiza bro sina tatizo mkoa wowote ule kwa bongo naweza kukaa kwa sababu ni Tanzania ila tuongee ule ukweli bila ya kuficha ..binafsi unaweza usifike hata Kilimanjaro mtu akaja huku kusema labda watu wa Kilimanjaro ni walevi...unaweza kufika na kukaa ukaona Pako tofauti labda jinsi walivyo.

Sikiza nikuambia babu yangu ameishi Tanga miaka ya mwanzoni kabisa enzi za ukoloni na alikuwa na cheo huko kweny ukoloni...kasema Watu Tanga walijaa pale town palikuwa na fursa ila baadae serikali iliona sio mkoa unapenda kuendeleza jumlisha na sera ya kijamaa kuua viwanda Yale mashamba ya mkonge mpaka Kilimanjaro ,viwanda kama vya majani ya chai huko lushoto na amani muheza..

Akiwa babu yangu ni mmoja wapo alikimbia huko Kilimanjaro akawa anafanya kazi kweny mashamba ya TPC vibarua ..tambua fursa ziliondolewa yakabaki magofu kwa nn watu wasikimbie waliondoka wengi.

Ukitaka kujua asili ya beach boy ukifika Tanga utaambiwa wale ni vijana walikimbia baada ya miradi na viwanda kufungwa wanazamini huko south wengine wako nje..hakuna mpya yamebaki magofu je uliona wapi mradi mkubwa ukiachana na WA gesi kupelekwa Tanga au mtwara...Ni kwamba watu wanafuata fursa.

Angalia population ya Arusha na maendeleo mnayojinasibu je yanareflect ..Pako ivi majengo kutokana na ofisi za biashara ,mahoteli ikiwa main target ni wazungu nina maana yeyote anaweza kuwekeza pale kwa target ya utalii kama hali ya hewa hata njombe ,mafinga ,Kuna sehemu kibao hata lushoto hali ya hewa ni nzuri ..je unaijua sera ya utalii katika kupromote huko mkoa..je Arusha Ina wachapa kazi kuliko mara , mbeya na mwanza kwamba eti wawe juu zaidi..

👉👉👉Kwa nn population ya chuga ni ndogo na Kuna mahoteli mengi na miundombinu safi plus recreation ? Jibu mji wa kitalii target ni watu kutoka abroad utalii ukiyumba basi hamna jipya na hata makampuni makubwa target ni watalii so wazawa wapo tu kuvaa mitumba na uhuni wa kishamba.
 
Serikali kitu gani wewe kenge?

Hapa tunajali maendeleo pekee, ujinga ujinga hatuna muda nao.

Tukiona hujuma za wazi basi fahamu tutafanya kitu.

Eti serikali inajenga Arusha? Huna adabu kwa watu wa waarusha wanaopambana kila ikiitwa leo kuletea maendeleo familia zao.
Maendeleo yapi ? Mbona stendi na airport mnalilia serikali viruu si mpambane !!
 
Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.

1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.

Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.
Toursm kwenda wapi? Au unasemea mlima meru na momela, na bwawa duluti

Maana mkijitenga kutakuwa na restriction hamuingii mikoa yatanzania mfano manyara tarangire, ngoro ngoro pia haipo Arusha , Serengeti ndo usiseme hivo watalii watashukia manyara kutakuwa na uwanja wa kimataifa Sasa sijui hizo war bus zenu mtapeleka wapi
 
Arusha ni mkoa ambao 90% ni nguvu za serikali kuanzia kujengwa kwa mahoteli na bunge la east Africa...Twende mkoa kama mkoa una nn cha maana cha asilia ,Ebu angalia mavyuo ,ofisi kibao zipo huko zote ni juhudi za serikali na system nzima.

Hakuna kitu mnazlisha hata hayo madini ni ya kwenda nje ...Sasa jaribu hata kufikiria kuhusu mbeya na mora wanazlishwa ni ni maeneo potential kwa uchumi wa bongo wanalisha mikoa kibao kuanzia mazao mpaka matunda hayo yote ni kutokana na asili ya maeneo hayo kwa ajili ya kilimo..wanachangia GDP

Arusha mapto yote ni kutokana na biashara base zilizowekwa na hazina impacts kwa mtu mmoja mmoja kuliko kilimo kinagusa mpaka mtu mwisho hata maofisi ya dar mengi ni artificial yanaweza leo kuhamishwa dodoma na dodomq ikawa na mapto kuliko dar ...ila kwamwe ile ardhi yenye rutuba ya mbeya na Moro huwezi ipeleka Dodoma watabaki na ukame wao.

Huwezi kuzungumzia kwamba potential kuchangia how comes ? Dar iko 89% ya mapato yote sasa Kuna ulazima gani wa kuendelea hako kamkoa ...Dodoma inakuja mjiandae kwamba mko wachache wengi wanakimbia.

Arusha inajengwa na wakazi wa arusha na si serikali hohehahe. Sawa wewe jinga?
 
Si unaona kitu km hichi sasa? Hiki ndio kinafanya mnapigwa PIN, huu ujinga wakubwa wanaujua na ndio hawautaki ujinga km huu Arusha sio Nchi, mmemezeshwa mentality za kwamba Arusha ni Nchi kitu ambacho sio kweli Nchi ni moja tu JMT
cha Arusha sio Mchezo mkuu
 
Toursm kwenda wapi? Au unasemea mlima meru na momela, na bwawa duluti

Maana mkijitenga kutakuwa na restriction hamuingii mikoa yatanzania mfano manyara tarangire, ngoro ngoro pia haipo Arusha , Serengeti ndo usiseme hivo watalii watashukia manyara kutakuwa na uwanja wa kimataifa Sasa sijui hizo war bus zenu mtapeleka wapi

Ficha ujinga, onyesha werevu wako.

Arusha is the connecting point to tourists who are interested in visiting Mt Kilimanjaro, Ngorongoro, Serengeti, Lake Manyara, Tarangire na sehemu nyingine nyingi.

Unafahamu kuna tours agencies ngapi hapa Arusha?

Wewe ni jinga ndiyo maana unatetea serikali iliyofail miaka na miaka.
 
Sikiza bro sina tatizo mkoa wowote ule kwa bongo naweza kukaa kwa sababu ni Tanzania ila tuongee ule ukweli bila ya kuficha ..binafsi unaweza usifike hata Kilimanjaro mtu akaja huku kusema labda watu wa Kilimanjaro ni walevi...unaweza kufika na kukaa ukaona Pako tofauti labda jinsi walivyo.

Sikiza nikuambia babu yangu ameishi Tanga miaka ya mwanzoni kabisa enzi za ukoloni na alikuwa na cheo huko kweny ukoloni...kasema Watu Tanga walijaa pale town palikuwa na fursa ila baadae serikali iliona sio mkoa unapenda kuendeleza jumlisha na sera ya kijamaa kuua viwanda Yale mashamba ya mkonge mpaka Kilimanjaro ,viwanda kama vya majani ya chai huko lushoto na amani muheza..

Akiwa babu yangu ni mmoja wapo alikimbia huko Kilimanjaro akawa anafanya kazi kweny mashamba ya TPC vibarua ..tambua fursa ziliondolewa yakabaki magofu kwa nn watu wasikimbie waliondoka wengi.

Ukitaka kujua asili ya beach boy ukifika Tanga utaambiwa wale ni vijana walikimbia baada ya miradi na viwanda kufungwa wanazamini huko south wengine wako nje..hakuna mpya yamebaki magofu je uliona wapi mradi mkubwa ukiachana na WA gesi kupelekwa Tanga au mtwara...Ni kwamba watu wanafuata fursa.

Angalia population ya Arusha na maendeleo mnayojinasibu je yanareflect ..Pako ivi majengo kutokana na ofisi za biashara ,mahoteli ikiwa main target ni wazungu nina maana yeyote anaweza kuwekeza pale kwa target ya utalii kama hali ya hewa hata njombe ,mafinga ,Kuna sehemu kibao hata lushoto hali ya hewa ni nzuri ..je unaijua sera ya utalii katika kupromote huko mkoa..je Arusha Ina wachapa kazi kuliko mara , mbeya na mwanza kwamba eti wawe juu zaidi..

Kwa nn population ya chuga ni ndogo na Kuna mahoteli mengi na miundombinu safi plus recreation ? Jibu mji wa kitalii target ni watu kutoka abroad utalii ukiyumba basi hamna jipya na hata makampuni makubwa target ni watalii so wazawa wapo tu kuvaa mitumba na uhuni wa kishamba.
Umeandika mada nzuri ila umemaaliza kwa dharau na kashfa pia
 
Back
Top Bottom