Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script.

Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana makanisa haya 95% huwa ni wanawake.

Kwanini hata watu wao wa karibu wanaofariki bila script wanashindwa kuwafufua,
 
Wewe ni mchawi nini au wakuzimu? Mimi nakwambia Wafu wanafufuka ndio. Wale waliochukuliwa msukule au kupelekwa kuzimu, duniani unaonekana umekufa kumbe upo kuzimu unatumikishwa au upo dukani kwa mtu unauza duka. Hawa wanafufuka ila wale ambao ni kifo cha Mungu aliye hai yaan wakati wako wakauwepo duniani umeisha. Mungu akikuchukua ndio huwezi kurudishwa
 
Dah kumbe na Wewe akili huna kabisa ya kureason vitu , hakika Wewe ni mzigo kwenye familia
 
Hakuna Mungu Wala hakuna kitu kinaitwa Mungu , Bali hizo ni story tu za wanadamu juu ya uwepo wake lakini kiuharisia hayupo kabisa na hata ukifa juwa ndiyo unakuwa umekufa hivyo ,Hauna tofauti na kuku au mnyama yoyote yule akifa , juwa unavyokuwa unazikwa na kufukiwa pale juwa ndiyo hivyo hamna Cha story sijui kwenda mbinguni sijui kwenda moyoni ni uongo na unafiki tu wa wanadamu,, maa a hakuna mtu mwenye ushaidi wowote zaidi ya vitatu vilivyotungwa na watu wenye akili nyingi Ili kupumbaza ngozi nyeusi isiyo na akili
 
Mdomo koma, weka akiba.
 
weee usiniambie 😬😂😂🤒
 
Dah kumbe na Wewe akili huna kabisa ya kureason vitu , hakika Wewe ni mzigo kwenye familia
Dunia tunayoishi sasa hivi inaongozwa kwenye ulimwengu wa roho, na wanaoishi kwenye ulimwengu wa roho ndio watakaosurvive. Na kila kitu kimamzia kwenye ulimwengu wa roho. Sasa wewe endelea kukaa gizani
 
Hakuna Mungu Wala hakuna kitu kinaitwa Mungu , Bali hizo ni story tu za wanadamu juu ya uwepo wake lakini kiuharisia hayupo kabisa na hata ukifa juwa ndiyo unakuwa umekufa hivyo ,Hauna tofauti na kuku au mnyama yoyote yule akifa , juwa unavyokuwa unazikwa na kufukiwa pale juwa ndiyo hivyo hamna Cha story sijui kwenda mbinguni sijui kwenda moyoni ni uongo na unafiki tu wa wanadamu,, maa a hakuna mtu mwenye ushaidi wowote zaidi ya vitatu vilivyotungwa na watu wenye akili nyingi Ili kupumbaza ngozi nyeusi isiyo na akili
Nimejua wewe ni mpuuzi kabisa!
 
Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script.

Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana makanisa haya 95% huwa ni wanawake.

Kwanini hata watu wao wa karibu wanaofariki bila script wanashindwa kuwafufua,
ILI MTUME, NABII AFANIKIWE KUMILIKI WAFUASI,LAZIMA AWAFUNGE FAHAMU NA AKILI ZAO.
YEYE ANAKUA MTUNGAJI NA MTOAJI WA SHERIA,
WAFUASI WAKE KAZI YAKE NI KUTII, NA KUWA WA KWANZA KUMTETEA TAPELI WAO!

NA MWISHO WA SIKU WAFUASI NI MASKINI WA MALI, AKILI, NA IMANI!.
 
Back
Top Bottom