KENGE 01
JF-Expert Member
- Mar 12, 2021
- 1,592
- 3,839
Na kenge,
Umewahi kujiuliza au kusikia kwanini watu wanaotajwa kuwa ni matajiri duniani asilimia kubwa wanabackground ya mambo ya programming(kugonga code)??
Programming ni ujuzi wa kutengeneza vitu vya kidigitali kama Kurasa za kuoeruzi(Website&blog) App(kama Facebook,IG,X,Mange App),Software kama(Adobe,MO, n.k)
Hawa ni baadhi ya mabillionea wa dunia wenye background ya programming:
1.Elon Musk:
Huyu ndio anatikisa dunia kwasasa wengi wamemfahamu baada ya propaganda za Twitter lakini huyu mzee.Akiwa na miaka 12 alibuni game(Video game) kuanzia mwanzo na safari yake haikuishia hapo ameendelea kufanya mambo mengi kwenye uwanja wa TECH mpaka kuwa Tajiri wa dunia
2.Bill Gates:
Huyu hata watoto wa chekechea wanamfahamu.Historia yake hakuna asiyeijua.Alitengeneza Operating system(mfumo endeshi) wa kompyuta miaka ya 90 akaingiza pesa mpaka leo amejikita kwenye TECH
3.Jeff Bezos:
Huyu aliacha kazi.Akatengeneza website ya kuuza vitabu.1995 aliuza kitabu cha kwanza kupitia website yake aliyoioa jina la Amazon.Wazo likamjia kwanini isiwe "Online store" ya vitu vyote?Akaongeza baadhi ya vitu website ya Amazon imeingiza pesa nyingi zaidi 2019 wakati wa janga la Covid mpaka kupelekea kushika namba moja ya kiumbe tajiri duniani.Watu wamezusha yeye ndio alietengeneza kirusi cha Covid-19 lakini ni maneno ya vijiweni na watu wenye IQ ndogo,wenye husda na vijicho.
4.Mark Zuckerberg:
CEO wa META kampuni inayomiliki mitandao ya kijamii.Mwaka 2006 alijitengenezea App yake ya Facebook.kwasasa ukiita mabillionea 5 lazima umtaje Zuck.
List ni ndefu mno kina Satoshi Nakamoto,Kuna Sergey Brin na mwenzie Lary Page wamiliki wa GOOGLE na wengine wengi
Kwenye top 10 ya billionea 6-7 wanajua programming ukitoa kina Buffet.Kinachofanya nilete uzi huu ni hasira.Napata hasira sana kuanzia vyuo vyetu vya Computer science,IT na the like.Hizi kozi kwenye programming wanapita juujuu tu unakuta unataka kushirikiana na mtu wa IT ila unakuta ni mweupe.Hata wewe self-taught unamzidi mbali.
Programming ni moja ya elimu/ujuzi mzuri sana ambao ukiwa nao kwa karne hii ya Utandawazi hakika uwezi kulala njaa.kwa nchi za Africa tuko nyuma mnoo kwenye nyanja hii
Tatizo kubwa linalopelekea sisi kuzidi kubaki nyuma ni BACKGROUND zetu.Unakuta nchi inaaminisha kilimo au madini.yani background yetu inatufanya tuamini ukifanya kilimo utatoboa,au ukifanya hiki utatoboa na hao wazungu,wachina Background yao inawaaminisha kwenye TECHNOLOGY yani piga ua mtoto anaaminishwa kujua mambo ya Tech.
Kwa namna yoyote hii industty kwa nchi yetu bado inahitajika sana.Wajinga bado ni wengi.Just imagine kwanini nasema ni BACKGROUND na EXtPOSURE ndo zinatufelisha??Kale kamdada kule IG Mange kimambi alianza mambo ya umbea kitambo sana miaka ya 2015 uko lakini naona ni uswahili ndio ulikia unamsumbua kwasababu mswahili na umbea ni pete na kidole.Miaka imeenda kutokana na Exposure aliyoipata huko US akaona fursa kwenye TECH .Kwakuwa waswahili wanapenda umbea akaamua afungue App ya kuuza umbea.Juzi ameshare mapato ya App yameingiza zaidi ya Billion 2 .Hii inaonesha Fursa hazijaisha kama ukijua programming ukaweza kubuni kitu cha kufurahisha,Kutatua tatizo basi lazima upate tu pesa.Pia marehemu Le mutuz nae alianza harakati za "Blogger" alivyowasili tu TZ hii inaonesha BACKGROUND ya huko state zinamfungua mtu akili kuona fursa zilizopo kwenye TECH.
Nashangaa pia watu wanaowalalamikia IT wa bongo(nikiwepo na mimi kenge)japo hao matajiri wa dunia wanabackground ya programming lakini pia wengi wao hawakwenda chuo kusomea labda IT wala CS ama CE.Wengi ni Self-taught tu.Hata wewe na mimi tukiamua kujitengea muda tukatafuta stadi hizi za kidigitali tunaweza.
Watu kama kina Maxmelo Co-founder wa JF, ni mfano mzuri wa self-motivated programmer..Lakini katika majukwaa ya hapa JF ambayo yanaongoza kwa "kudolola" basi la kwanza na ili la TECH why? Miaka ya nyuma angalau kidogo kulikua na yule mwanamama anaitwa Mama D(sikumbuki vizuri) na wachache walitisha sana jukwaa hili kwenye upande wa code na Tech kwa ujumla.
Bado tumelala sanabkwenye hii industry Africa nzima labda hao wanaija wanaokomaa na kutengeneza VPN na sisi wabongo tunatengeneza mafaili na proxy na hapo mtu anajiona IT master.Aisee tunakwama sana
Shida nini ndugu zangu??Tufanyaje kama wanajamvi na Taifa kwa ujumla kuzalisha wabunifu mbalimbali kwenye Programming??
.
Nawasilisha