Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Pacha yuko njiani Ablessed, I hope mtaweza kuongea kabla hujaondoka.
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point njoo huku umenialika uje uniambie muda muafaka wa kuja kula mahanjumati....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ha haaaa, jana na-discuss na binti yangu vyakupika kanigomea kabisa kuona pilau sikukuu hii, anasema kwani bila pilau sikukuu haiendi? yaani hapa nakuna kichwa nipike nini ili watoto na wakubwa wote mfurahi, msaada wako tafadhali..... na recipe, lol!
Muda wooooteee utakuwa wa kula na kunywa tu, yaani hata ukitaka kuja leo ulale hapa hapa karibu sana.
 
Hahahahahah... nakuja wacha nifungashe
 
Vile vya kuagiza hakuna leo!? Mie naomba pilau ya kuku wa kienyeji na chapati 🙂🙂

ha haaaa, jana na-discuss na binti yangu vyakupika kanigomea kabisa kuona pilau sikukuu hii, anasema kwani bila pilau sikukuu haiendi? yaani hapa nakuna kichwa nipike nini ili watoto na wakubwa wote mfurahi, msaada wako tafadhali..... na recipe, lol!
Muda wooooteee utakuwa wa kula na kunywa tu, yaani hata ukitaka kuja leo ulale hapa hapa karibu sana.
 
Last edited by a moderator:
Ushukuru ulikua na wazazi wapole ungempata mzee wangu ungesoma number chezea zee la kisukuma weye . Nakutakia kila la kheri na wewe . Hivi pacha wangu Fixed Point yu wapi wajameni kila nkimtafuta simuoni au ndo ashaanza sherehe za kufunga mwaka. Kuna sherehe nimesikia itaadhimishwa kesho ya kuikana empty wallet sijui umeisikia nina wasi wasi pacha huenda yuko huko.
nipo pacha.....
wiki ya xmas nilikuwa break ya mtandao, lol!
mwenzio hiyo sherehe ya kuikana empty wallet niliiadhimisha mwaka 1999, nilipoingia 2000 ni full wallet........ sina haja ya kuiadhimisha tena.
Nikutakie heri ya mwaka mpya pia my dearest pacha
 
Vile vya kuagiza hakuna leo!? Mie naomba pilau ya kuku wa kienyeji na chapati 🙂🙂
umenikumbusha chapati.....
kuku wa kienyeji wapo wa kumwaga, nitatengeneza supu na chapati......
ila sasa nataka mahanjumati mengine
 
hahahahahah lol!!!! Nimecheka kweli lol!!!! Tena ngoja nitafute card yangu kabisa nisije kuzuiliwa mlangoni 🙂🙂

Alafu ulivombishi yaani huwezi kukosa kwenda.... Fixed Point siku hiyo ntapika mie nitie chakula mapilipili tumkomoe🙄🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
ha haaa, BAK anapenda sana kudoea, lol!
tumwonee huruma rafiki, tumkaribishe tu. anavyopenda misosi anaweza atununie mwaka mpya ukiisha bila mwaliko

Mie simkaribishi hadi alike nkale nyama ugari sio ugari nyama...tena naweka toothpick kwenye handbag kabisaa...
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahah lol!!!! Haya banaaaa siku yako ya kujidai leo wacha tu nikuache uuage 2013 na kuukaribisha 2014 vizuri. Usije ukaanza kuangusha debe la machozi bure lol!!!! leo si siku nzuri ya kulia 🙂🙂

ha haaa, BAK anapenda sana kudoea, lol!
tumwonee huruma rafiki, tumkaribishe tu. anavyopenda misosi anaweza atununie mwaka mpya ukiisha bila mwaliko
 
Last edited by a moderator:
Weye si unanijua miye ninavyopenda pilipili!? Tafuta lingine la kunizuia kutozuka kwenye mnuso lol!!!

Alafu ulivombishi yaani huwezi kukosa kwenda.... Fixed Point siku hiyo ntapika mie nitie chakula mapilipili tumkomoe🙄🙄🙄
 
Naona umeamua kukesha leo lol!!!! Haya banaaaa we rusha madongo tu lol 🙂🙂

Hahahahahahahha ungejua nnavosinzia apa wala usingesema....najikaza tu ndio nafanya mazoezi kama kesho ntaweza kuona mwaka 2013-2014 nkiwa macho nashuhudia.....lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom