Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

 
Last edited by a moderator:
hahahahahah lol!!!! soda moja usiku mzima lol!!!! lakini ukitoka hapo roho kwatuuuu nawe umejirusha kwa raha zako lol!!!! We acha tu siye tukianza kukumbushana vituko vyetu enzi zile watu huwa wanavunjika mbavu dah!!!! Na vituko tulikuwa navyo aisee.

Lol ni kama vile nakuona ukiwa mdogo suruali ya mchele au?
Mie ilikuwa usafiri lazima gari moja litumike kwenda so petrol bure, kuingilia ndio lazima uwe na pesa maana kukaa nje na watu wanakupita kuingia ukiwa umezubaa au kama waliokuwa wanabembeleza hiyo ilikuwa mwiko kabisa. No pesa basi bola ulale au ndio utolewe sasa sie tulikuwa hata vi bf's vya kupiga story hatutaki watuhudumie za pm zao.
Ilikuwa fun viwanja viwili vitatu lazima kimoja no no. So soda moja kila venue tukiwa kumekucha mfukoni twanya zaidi siku zingine (ila kiingilio muhimu incase kuna sehemu ingine yakuendeka)
Was fun fun fun
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
Mchele mchele na mazaga zaga mengine kibao sijui raba mtoni khaaa....Sie pia gari ilikuwepo ila mnaomba Dingi asiwe na safari zake vinginevyo ndio kuanza kutafuta usafiri lakini ulikuwa haukosekani maana mtaani ilitokea bahati watu wa rika moja tulikuwa tele basi ni kiasi cha kuambiana tu leo tunazuka wapi na usafiri wa uhakika uliandaliwa. Mie viwanja pia nilikuwa navipenda ila vingine vilikuwa havikongi kiu yangu ya muziki kuliko hiki kiwanja kimoja ambacho nikitoka pale nafurahia leo nimejirusha kwa raha zangu. Halafu hiki kiwanja wadada walikuwa hawakipendi sana wakidai wahuni wengi na vyangu doa pia, lakini muziki wake kama umefuata muziki tu ulikuwa bomba sana basi mie na wenzangu wawili tuliweza kuwashawishi wadada mpaka wakakubali kile kiwanja ndio pakawa HQ yetu ya kujirusha.

Lol ni kama vile nakuona ukiwa mdogo suruali ya mchele au?
Mie ilikuwa usafiri lazima gari moja litumike kwenda so petrol bure, kuingilia ndio lazima uwe na pesa maana kukaa nje na watu wanakupita kuingia ukiwa umezubaa au kama waliokuwa wanabembeleza hiyo ilikuwa mwiko kabisa. No pesa basi bola ulale au ndio utolewe sasa sie tulikuwa hata vi bf's vya kupiga story hatutaki watuhudumie za pm zao.
Ilikuwa fun viwanja viwili vitatu lazima kimoja no no. So soda moja kila venue tukiwa kumekucha mfukoni twanya zaidi siku zingine (ila kiingilio muhimu incase kuna sehemu ingine yakuendeka)
Was fun fun fun
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Sie tulikumbushana ile mkienda club na kununua soda moja mnajisikia haswa sijui ilitoshelezaje hadi 4am siku zingine ila watu kiingilio ilikuwa muhimu zaidi.

Siku hizi naona vijana ma cocktail sijui pombe ile ya aina tofauti, hata soda glass itawekewa vikolobwenzo ionekana ya bei bila hizo wanajiona hawajaonekana wakinywa...shame.

Umenikumbusha mbali. Mambo yanaenda yakibadilika. Nakumbuka ezi hizo karibia na maeneo ya Bilcanas kuna "wamachinga" fulani walikuwa wanauza bia kwenye maboksi.

Kabla ya kuingia Bilcanas, watu tulikuwa tunapitia pale, tunapiga za kutosha. Baada ya hapo tunaingia Bilcanas tukiwa ndwiiii! Humo ndani mtu hanunui hata soda. Ni kujirusha tuu mpaka salaleeee.

Halafu enzi hizo madenti wa chuo kikuu ndiyo walikuwa na pesa ya kutesea. Enzi hizo ilikuwa inaitwa "Ngororo" (RIP Katibu wa wizara ya Elimu ya Juu wa enzi hizo Abdallah Ngororo) na siyo "Bumu" kama inavyoitwa siku hizi.

Enzi hizo mdada wa kitaa akikushtukia tuu kuwa wewe ni denti wa Mlimani au Muhimbili ilibidi kuwa mwangalifu nae maana unaweza kuliwa ngororo yote.

Siku hizi mambo yamebadilika, unawezakuta yanki hata kazi yake hajulikani hapa mujini lakini anakompiti na chief executive wa kampuni kubwa VIP au kwenye stuli ndefu, thanks to free trade ambapo sana mtu yoyote anaweza kufanya biashara yoyote atakayo bila zengwe.

Chezea kuwa "Down With O.P.M" – aka Other People's Money for the sake of OPP. Heri ya mwaka mpya.

[video=youtube_share;uFTBG1sae0M]http://youtu.be/uFTBG1sae0M[/video]
 
 
Last edited by a moderator:
You can never go wrong with ringing in the new year with a bottle of champagne.

Planning on poppin' a couple bottles tomorrow night while waiting to see the Peach Drop and the Ball Drop.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
FLORA+AND+SHILOLE+24.12.2013+AT+HOME+112.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom